hati ya kiwanja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Lukuvi, sio lazima kisheria jina la mke na mme kuwa kwenye hati ya kiwanja

    NDG. LUKUVI, SIO LAZIMA KISHERIA JINA LA MKE NA MME KUWA KWENYE HATI YA KIWANJA. Na Bashir Yakub, WAKILI +255 714 047 241. Lazima tunapotoa kauli tuwe tunatofautisha matamanio yetu, na kile sheria inachosema. Tuangalie haya 6 kuhusu kauli ya ndg Lukuvi. 1. Mpaka sasa hakuna sheria...
  2. JAMBONIA LTD

    JamiiForums Tanzania Kubadilisha hati ya kiwanja ya kijiji/ kitongoji kuwa legal doccument

    Habari wataalam, Kuna sehemu nimeomba mkopo ila katika kipengele cha dhamana (Collateral) nina hati ya kiwanja kupitia serikali ya kijiji, wahusika wamenambia ili waikubali niipeleke kwa mwanasheria ili iwe legal doccument. Sasa nnachotaka kujua hii hati yangu nikiipeleka kwa mwanasheria...
  3. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja chenye hati kinauzwa Morogoro Mjini Tshs Milioni 3

    Ninauza Kiwanja number 36 kilichopo Mkundi, Morogoro mjini, umbali mita miambili toka Dodoma road. Kina hati rasmi, siyo squatter. Gharama ya kubadilisha jina la hati itakuwa juu yako ambayo haizidi laki mbili na nusu. Ukubwa wa kiwanja ni 400 mita za mraba ( 20 kwa 20) . Bei ni Milioni tatu...
Back
Top Bottom