harufu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tembosa

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kupoteza uwezo wa kunusa (Kutosikia harufu): Fahamu chanzo na namna ya kutibu tatizo hili

    Mimi nina takribani siku 6 sasa, sijui harufu ya kitu chochote wala sisikii taste ya chochote. Siumwi homa, wala mafua. Hii ilitokea gafla tu baada ya kumeza Alu (mseto). Kuna wenzangu humu? Baadhi ya Maoni yaliyotolewa Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom