harambee stars

The Kenya national football team, colloquially known as the Harambee Stars, represents Kenya in association football. It is controlled by the Football Kenya Federation, the governing body of football in Kenya, and competes as a member of the Confederation of African Football (CAF) and the Council for East and Central Africa Football Associations (CECAFA). The team plays its home games primarily at the Nyayo National Stadium in the capital, Nairobi.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania Kenya Haiwezi Kushinda AFCON Hata Kama Mkinipa Mamilioni ya Dola; Kocha wa Harambee Stars, Benni McCarthy

    Kocha mkuu wa Harambee Stars, Benni McCarthy, anaamini kuwa Kenya bado ina safari ndefu kabla ya kuweza kushindana kwa uhalisia na vigogo wa soka barani Afrika kuwania ubingwa wa AFCON. McCarthy amesema kuwa kwa sasa Kenya haina rasilimali za kutosha wala kikosi chenye wachezaji wengi wenye...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Benni McCarthy: Kenya haiwezi kushinda AFCON hata mkinipa Mamilioni ya Dola

    Kocha mkuu wa Harambee Stars, Benni McCarthy, anaamini kuwa Kenya bado ina safari ndefu kabla ya kuweza kushindana kwa uhalisia na vigogo wa soka barani Afrika kuwania ubingwa wa AFCON. McCarthy amesema kuwa kwa sasa Kenya haina rasilimali za kutosha wala kikosi chenye wachezaji wengi wenye...
  3. W

    JamiiForums Kenya Hatimaye, wamekubali! Harambee Stars warejea kambini baada ya mgomo

    Baada ya kususia mazoezi kwa takriban wiki moja kutokana na madai ya kutolipwa posho zao, Timu ya Taifa Harambee Stars hatimaye imewasili Nyayo Stadium kuanza maandalizi ya kufuzu AFCON 2027 dhidi ya Eritrea, Siku ya Jumamosi September 26. Kwa hiyo watakuwa na 'session' moja pekee ya mazoezi...
  4. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Harambee Stars wagoma kufanya mazoezi, posho na maslahi ya wachezaji zazua mvutano

    NAIROBI: Maandalizi ya Harambee Stars kuelekea mechi ya kufuzu AFCON 2027 dhidi ya Eritrea yameingia doa baada ya wachezaji kususia mazoezi wakilalamikia kutolipwa posho na changamoto za maslahi wanapokuwa kwenye timu ya taifa. Wachezaji waliokuwa wameingia kambini jijini Nairobi walikataa...
  5. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Harambee Stars Left Stranded in Pretoria Hotel Lobby

    Kenya's national football team, the Harambee Stars, was reportedly left waiting in a hotel lobby for several hours upon arrival in Pretoria, South Africa, ahead of their two-match friendly series against Lesotho. According to sports journalist Kevin Teya, the squad was initially taken to a...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wa Harambee Stars kupata zaidi ya Tsh 48 million kila mmoja iwapo wataifunga Zambia Jumapili

    Hakika Mpira unalipa sana Baadae Mlale unono 😄🙏 Source Citizen TV
  7. A

    JamiiForums Tanzania Rais Ruto amechachamaa huko kila mchezaji Harambee stars kala mgao wa milioni 21, hiyo ni ya Ushindi wa kwanza tu..Viongozi igeni hii

    Unaambiwa baada tu ya mechi kuisha, Wachezaji wamekula mgao wa milioni 21 kabla hata jasho halijakauka.. Na akaahidi mzigo mwingine kama huo endapo watashinda kila mchezo ulio mbele yao. Ni muhimu Rais wetu akashauriwa kuwa anapotoa ahadi, awe anatoa ahadi ambazo zipo too specific. Ukiahidi...
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania CHAN: Rais wa Kenya aiahidi Harambee Stars zawadi ya hela Bil 11 ikibeba ndoo

    Taarifa Kamili hii hapa ================= Rais wa Kenya, William Ruto ameahidi zawadi ya shilingi za Kenya milioni 600 [TZS bilioni 11.79] iwapo Harambee Stars itatwaa ubingwa wa Michuano ya Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN). Mashindano hayo yanatarajiwa kufunguliwa leo Dar es...
Back
Top Bottom