harambee

Harambee is a Kenyan tradition of community self-help events, e.g. fundraising or development activities. The word means "all pull together" in Swahili, and is the official motto of Kenya, appearing on its coat of arms. The word was assimilated into the Swahili language from Hindi at the time of the building of the Uganda Railway from Mombasa to Kampala. Indian labourers used the phrase "har har Ambey," or, "hail Ambey"–an exhortation to Amba, the Hindu Goddess – when performing difficult tasks that often required more than one person to be involved, such as lifting heavy loads.Harambee events may range from informal affairs lasting a few hours, in which invitations are spread by word of mouth, to formal, multi-day events advertised in newspapers. These events have long been important in parts of East Africa, as ways to build and maintain communities.

View More On Wikipedia.org
  1. O

    Siasa Zafika Hospitalini? Chair wa The Nairobi Hospital Asummoniwa Harambee House Kuunda 3 Board Vacancies!

    Kuna mvutano mkubwa ndani ya board ya The Nairobi Hospital baada ya madai kuwa baadhi ya maafisa wa serikali wanajaribu kuingilia uongozi wa hospitali hiyo ya kifahari. Ripoti zinaonyesha kuwa mwenyekiti wa board, Dr. Barcley Onyambu, aliitwa katika ofisi za serikali na kupewa majina ya watu wa...
  2. N

    PostGE2025 Vikwazo vya umoja wa Ulaya: CCM kuanzisha harambee kwa wafanyabiashara lengo kukusanya bilioni 100 kila mwezi

    Wataalumu wa uchumi wa chama cha mapinduzi wamependekeza ianzishwe harambee ili wafanyabiashara wenye mapenzi na chama watakuwa wanachanga bilioni 100 kila mwezi. Lengo la kukusanya pesa hizo ni kukabiliana na vikwazo vya umoja wa Ulaya, wanadai kama iliwezekana kukusanya bilioni 100 ndani ya...
  3. Kinoamiguu

    Bora Tonetone ya Hiari kuliko Harambee ya Mabwenyenye na Walanguzi

    Habari wanajamvi Kampeni/matamasha yanaendelea watu walewale wanaendelea kusombwa kwa malori kutoka sehemu moja kwenda nyingine. Akiwa kwenye mkutano mmoja wa kampeni juzi, mgombea wa CCM Bibi SAMIA alisema " SISI SIYO WALE WA TONETONE" Bila shaka raisi ameelewa maana ya tonetone ama hajaelewa...
  4. Michael Dudicoff

    GE2025 Uhalisia ndani ya harambee ya CCM

    Habari za muda huu. Niende kwenye mada Moja kwa moja. Chama Cha Mapinduzi hakijakosa hela kiasi cha kuandaa harambee ya watu kukichangia pesa za kuendesha shughuli za uchaguzi. Miaka yote chama kimekuwa kikishiriki uchaguzi pasi na kuhitaji watu kukichangia. Lengo kuu la harambee ile ilikuwa...
  5. GENTAMYCINE

    Kwa Ushahidi huu hakika nakubaliana na Uongozi wa Yanga SC kusema kuwa Yanga SC haijachangia Hela yoyote ile katika Harambee ya CCM na Inasingiziwa tu

    Yanga SC kupitia Msemaji wao wamekanusha vikali kuwa hawajachangia Shilingi Milioni 100 kwa CCM na kusema kuwa aliyechangia ni GSM na wala siyo Yanga SC. Lala salama Ruge Mutahaba kwani ile Kauli yako uliyosema kuwa hapa duniani tuogope sana Vitu viwili Mungu na Teknolojia inaishi na itaishi...
  6. Stephano Mgendanyi

    Turky Group of Companies (Vigor) Yachangia Tsh. Milioni 600 Harambee CCM Gala Dinner 2025

    TURKY GROUP YACHANGIA TSH. MILIONI 600 HARAMBEE CCM GALA DINNER 2025 Turky Group of Companies (VIGOR) imechangia jumla ya Shilingi Milioni 600 katika Usiku wa harambee ya CCM Gala Dinner 2025 iliyoendeshwa na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  7. K

    CCM walipe kodi kwa hiyo harambee yao

    Walipe Kodi kwanza 86 b bila Kodi ni wizi
  8. erasto Samwel

    Kwenda kukopa nje na kufanya harambee kwa maendeleo kipi bora

    Naendelea kushangaa inafanywa harambee kwa ajili ya kampeni badala ya kufanya harambee ya kununua hata kipimo cha kuwapimia wajawazito damu bule kila wanaporudi kliniki badala ya sasa kila wanaporudi lazima uwe na 3000. inawezekana kumbe tunaweza kufanya harambee ya kutengeneza miundo mbinu za...
  9. Idugunde

    Harambee ya nini wakati CCM haina mshindani? Hayati Nyerere au Magufuli asingekubali haya

    Kama kungekuwa na uoinzani hapo sawa kuchangisha hayo mabilioni. Sasa hakuna upinzani. CCM ilishashinda uchaguzi hata bila ya kufanga Kampeni. Hizi pesa zilipaswa kupelekwa kusaidia watu vijijini ili wapate maji, shule na huduma za afya.
  10. M

    Harambee ya CCM kilele cha kiburi na dharau kuu kwa Watanzania

    Ndugu zangu Watanzania. Mmeona, mmeona wenyewe. Chama kile alichokiasisi Nyerere, kinaandaa karamu ya wenye fedha, kuiweka mbele, kila mmoja anapigana vikumbo kukaa mwza kuu ili Kumtafuna mama Tanzania. Mmeona wenyewe ndugu zangu, CCM na serikali yake hawana hofu, hawana aibu. Wanaalika mtu...
  11. M

    Simba tumeshajiandaa kisaikolojia na figisu ligi kuu za kukosa ubingwa misimu kadhaa kwa kutochangia harambee, tumesimama imara !

    Tumeshajiandaa kwa lolote hasa msimu huu mpya unaweza kuwa mgumu sana kwa kushindwa kuchangia chochote ccm walioenea kila idara za michezo. hata tukose kombe misimu kadhaa ijayo haitakuwa jambo la kushangaza. kwa upande mwengine Yanga wanaweza kuwa na msimu mwepesi sana kuanzia ratiba, marefa...
  12. Bird Watcher

    GE2025 Harambaee imejaa ‘watu Fulani Mafisadi’

    Wakuu, Hii harambee ya Chama tawala imejaa genge Fulani la watu wachafu tu na hawana interest na taifa letu, Urais ni cheo cha juu kabisa na nadhani ni vyema kika serve interest ya umma kuliko Kuhuduma kwa cartel Fulani la watu wachache, power inakuja na Kuondoka ila generation zetu zitakuwa...
  13. Ritz

    GE2025 No Reforms, No Election imekufa rasmi leo tarehe12 August 2025 baada ya harambee ya CCM

    Wanaukumbi. No Reforms, No Election imekufa, rasmi leo tarehe 12 August 2025 baada harambee ya CCM. Ikiangalia watu kutoka maeneo mbalimbali wanavyomchangia Rais Samia kwa ajili ya kampeni utaona kabisa mapenzi makubwa waliokuwa nayo kwa Rais Samia. Rais Samia anachangiwa na kila...
  14. L

    GE2025 Rais Samia akiwasili kwa Bashasha na Tabasamu Mlimani City katika Harambee ya Kuichangia CCM Billion 100. Watu Waandaa Maburungutu ya Pesa kuimiminia

    Ndugu zangu Watanzania, Hivi Ndivyo Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge...
  15. Baraka Mina

    GE2025 Harambee ya kuchangia kampeni za CCM 2025, Mlimani city (CCM gala dinner 2025) wamekusanya Bilioni 86.31

    https://www.youtube.com/live/Kl7JY-zdy0c?si=TWJ9NKMmXZrdQII6 Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka Mlimani City jijini Dar Es Salaam ambapo leo tarehe 12 Agosti 2025 Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinafanya harambee ya kuchangia Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wawakilishi, Wabunge na...
  16. Waufukweni

    GE2025 CCM kufanya harambee ya Kitaifa Agosti 12,2025 kukusanya bilioni 100 za kampeni

    Wakuu! Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, na Mwenza wa Urais wa chama hicho, Emmanuel Nchimbi, akizungumza na Wanahabari leo Agosti 11, 2025 katika ofisi ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba amesema, "Tukipokea kila aina ya mchango tutaainisha inapotoka." "Lakini hatutapokea...
  17. A

    Rais Ruto amechachamaa huko kila mchezaji Harambee stars kala mgao wa milioni 21, hiyo ni ya Ushindi wa kwanza tu..Viongozi igeni hii

    Unaambiwa baada tu ya mechi kuisha, Wachezaji wamekula mgao wa milioni 21 kabla hata jasho halijakauka.. Na akaahidi mzigo mwingine kama huo endapo watashinda kila mchezo ulio mbele yao. Ni muhimu Rais wetu akashauriwa kuwa anapotoa ahadi, awe anatoa ahadi ambazo zipo too specific. Ukiahidi...
  18. DuaZaMama

    Harambee stars yajiondoa kwenye mashindano ya CECAFA

    Shirikisho la Soka la Kenya (FKF) linapenda kuujulisha umma kuwa timu ya taifa ya soka ya Kenya, Harambee Stars, imejiondoa rasmi kwenye mashindano ya CECAFA Four Nations yanayofanyika nchini Tanzania. Uamuzi huu umetokana na mapendekezo na ushauri kutoka kwa benchi la ufundi la timu...
  19. Just Pray

    PreGE2025 RC Njombe akabidhi shilingi milioni 30 kwa niaba ya Rais Samia, harambee ya ujenzi wa kanisa la Makao makuu (KKKT) - Dayosisi ya Kusini Kati

    Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) - Dayosisi ya Kusini Kati limefanikiwa kupata zaidi ya shilingi milioni 210 katika harambee ya ujenzi wa kanisa la Makao makuu iliyofanyika leo Juni 7,2025 ambapo Mgeni Rasmi alikuwa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu...
  20. Stephano Mgendanyi

    Matokeo ya Harambee ya Mbunge wa Jimbo ya Ujenzi wa Nyabakangara Sekondari ya Kijiji cha Nyamboro

    Tarehe ya Harambee: Jumanne, 25.3.2025 Mahali: Kitongoji cha Kamatondo, Kijijini Nyambono, Kata ya Nyambono Washiriki wa Harambee: *Wanakijiji *Wazaliwa wa Kijiji cha Nyambono *Viongozi mbalimbali wa CCM na Jumuiya zake *Wadau wa Maendeleo wa Kijiji cha Nyambono *Mbunge wa Jimbo, kiongozi wa...
Back
Top Bottom