hamza johari

Tan Sri Tengku Razaleigh bin Tengku Mohd Hamzah (Jawi: تڠکو غزالي بن تڠکو محمد حمزة; born 13 April 1937) is a Malaysian politician who served as the Member of Parliament (MP) for Gua Musang from August 1986 to November 2022 and for Ulu Kelantan from August 1974 to August 1986. He is the longest-serving MP by serving from 1974 to 2022 for 48 years. He is sometimes referred to as the Father of Malaysian Economic Development for playing a pivotal role in establishing and implementing key foundations and policies in Malaysian economy. A descendant of Malay royalty, he is a great-uncle of the current Sultan of Kelantan, Sultan Muhammad V.
He was the Minister of Finance (1976–1984), Minister of International Trade and Industry (1984–1987), former chairman of Asian Development Bank, former chairman of Islamic Development Bank, founding Chairman and Chief Executive of Malaysian oil company, PETRONAS, and chairman of the 33rd Board of Governors of the World Bank and IMF. He is now the longest serving MP in Malaysia. His popularity has earned him nicknames such as "The People's Prince" and "Ku Kita" (Our Tengku). He is affectionately known as Ku Li, derived from the last syllables of Tengku Razaleigh; a common custom in the Kelantan dialect.

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    PostGE2025 Mwanasheria Mkuu wa Serikali: Rais Samia ni chaguo la walio wengi

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari, amesema mchakato wa kidemokrasia umeonyesha kwa dhahiri kuwa Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ni chaguo la walio wengi katika nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Amesema hayo leo tarehe 13 Novemba, 2025 Bungeni Jijini Dodoma wakati...
  2. Doctor Mama Amon

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali , Hamza Johari ameanza gwaride kwa mguu wa kulia: Tatizo Liko Wapo Wakati Huyu Jamaa ni Kipanga?

    UTANGULIZI Taarifa ya maandishi, ya tarehe 07 Oktoba 2025, kutoka "Ofisi ya Mkuu wa Jeshi la Polisi, Makao Makuu ya Polisi," huko Dodoma, ambayo "Imetolewa na Msemaji wa Jeshi la Polisi Nchini," lakini isiyosainiwa wala kuonyesha jina la mwandishi wake, inahusika na imeambatanishwa hapa chini...
  3. figganigga

    Hamza Johari, kabla ya Mange Kimambi, tuanze na ya Mdude&Polepole

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali, amejiapiza kumkamata Mwanaharaakati Mange Kimambi. Ila kuna watu wepesi ambao angeanza nayo, ambayo hayaitaji Majadiliano na Serikali ya Marekani Tunaomba Uwakamate waliomteka Mdude na Polepole. Pia wafikishwe mahakamani waliomuua Mzee Kibao. Hapo kweli ndo...
  4. McLaren

    PostGE2025 Mwanasheria Mkuu wa Serikali baada ya kuapishwa na Rais, aapa kumkamata Mange Kimambi. Anasema kapewa maelekezo!

    Wakuu, Hii nchi kuna changamoto kubwa sana kwenye priorities. Anyway wenyewe ndo wanajua zaidi. ---------------------------- Baada ya kuapishwa na Rais Samia leo, Mwanasheria Mkuu wa Serikali Hamza Johari amepania Mange Kimambi lazima akamatwe!
  5. PAYE

    Rais Samia kuendelea na Hamza Johari kama Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Amemtea tena leo kushika Wadhifa huo

    Tangazo kwa umma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Bw. Hamza Saidi Johari kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Bw. Hamza Saidi Johari ataapishwa kesho kutwa Jumatano tarehe 5 Novemba, 2025 saa 4:00 asubuhi Ikulu Chamwino, Dodoma. Imetolewa na...
  6. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 AG Hamza Johari: Uchaguzi unaweza kusogezwa mbele endapo nchi kuwa vitani au kukosekana kwa wagombea

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari ametoa onyo kali kwa watu au makundi yanayopanga kuandamana, kuleta vurugu au kuzuia wananchi kutumia haki yao ya kikatiba ya kupiga kura akisema kuwa vitendo hivyo ni kinyume cha sheria na vitachukuliwa kama makosa ya jinai. Johari ametoa onyo hilo...
  7. DuaZaMama

    PreGE2025 Mwanasheria mkuu wa serikali ashangazwa Kauli za No reforms No election, asema reforms zimeshafanyika

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari amesema anashangazwa na kauli ya “No reforms, no election” ikizingatiwa kuwa mabadiliko ya kisheria yaliyopendekezwa na vyama vya siasa tayari yamefanyika. Akizungumza leo Jumamosi Juni 21, 2025, kwenye kongamano la kwanza la kitaifa la kisheria...
  8. Waufukweni

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari awasilisha muswada wa marekebisho ya Sheria Tisa (9) Bungeni, agusa Bandari na Uhujumu Uchumi

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari akiwasilisha maelezo ya Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali wa Mwaka 2025 (The Written Laws (Miscellaneous Amendments) Bill, 2025) Juni 5, 2025 Bungeni Jijini Dodoma. Aidha mara baada ya kuwasilisha maelezo hayo, Mjumbe wa Kamati ya...
  9. D

    Mfahamu Hamza Johari kwa jambo moja kabla ya kumfahamu kama Mwanasheria Mkuu wa Serikali

    Jambo moja ama mawili: 1. Hamza Johari ni Mzanzibari, na amefundisha Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) na baadaye akawa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA). 2. Hayo mawili ya juu siyo muhimu. Jambo kubwa kumhusu Hamza Johari ni kuwa huyu ndo binadamu aliyesimamia...
  10. J

    Mwanasheria mkuu wa Serikali ameapa kiapo cha uaminifu Bungeni

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari, ameapa kiapo cha uaminifu bungeni leo Agosti 27, 2024. Ameapa mbele ya Spika wa Bunge la Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Dk Tulia Ackson, katika kikao cha kwanza cha Mkutano wa 16 wa Bunge. Hamza aliteuliwa na Rais, Samia Suluhu Hassan kushika...
  11. kibori nangai

    Huyu Hamza Johari CV yake ikoje na ni kabila gani

    Ndugu Watanzania wenzangu Wikiendi imeenda vyama sana. Embu kwenye kumjua Hutu jamaa wa DP World kwa Tanzania embu naomba atusadie Nadhani sio mimi pekee nisiyemfahamuu vyema . Maeneo ya msingi 1.Historia take 2.Tasisi alizowahi kuhudumu 3.na sasa nini Nani chini Mwisho elimu yake...
  12. H

    Ni hatari sana kwa nchi kutegemea ushauri wa Legal Officer (Hamza Johari), na kuiingiza nchi kwenye mkataba

    Utangulizi: Katika taaluma ya sheria kote dunia, na kwa kipekee hapa nchini Tanzania, ili mtu akidhi vigezo vya kuwa mshauri, au kuwakilisha watu mahakamani, au kushauri mambo msingi ya kisheria , au kuhakiki nyaraka mbalimbali ni lazima awe na taalum hiyo katika ngazi au nafasi ya uwakili...
  13. S

    Hamza Johari anahusiakaje na Mkataba wa Bandari?

    KUNA mwanasheia mmoja anaitwa HAMZA JOHARI ndiye anayetolea ufafanuzi vipengele vya Mkataba wa Bandari kunaopigiwa kelele na watanzania kila siku kwenye vyombo vya habari. JE YEYE NDIYE MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI? Au ni Nani sijaelewa Hamza Johari UPDATE (Agosti 14, 2024) - Hamza Johari...
  14. ChoiceVariable

    Hamza Johari: Timu ya Uchunguzi wa Mkataba wa DP World iliteuliwa na Hayati Magufuli, Rais Samia anaendeleza mchakato

    😂😂😂😂 ya ndani yanazidi kuwekwa Wazi Swahili times - “Timu ya uchunguzi [kuhusu bandari] iliteuliwa na Hayati Magufuli. Kimsingi ni mwendelezo wa kazi, sio kitu ambacho kimekurupuka ghafla, ni mchakato wa muda mrefu wa serikali kuhakikisha tunakuwa na bandari yenye ufanisi.” Habari zaidi...
Back
Top Bottom