hamas

Hamas (Arabic: حماس Ḥamās, an acronym of حركة المقاومة الاسلامية Ḥarakat al-Muqāwamah al-ʾIslāmiyyah [Islamic Resistance Movement]) is a Palestinian Sunni-Islamic fundamentalist but pragmatic, militant, and nationalist organization. It has a social service wing, Dawah, and a military wing, the Izz ad-Din al-Qassam Brigades. It won the 2006 Palestinian legislative election and became the de facto governing authority of the Gaza Strip following the 2007 Battle of Gaza. Israel and Hamas have since engaged in several wars of varying intensity. Canada, the European Union, Israel, Japan and the United States classify Hamas as a terrorist organization. Australia, New Zealand, Paraguay and the United Kingdom classify only its military wing as a terrorist organization. It is not considered a terrorist organization by Brazil, China, Egypt, Iran, Norway, Qatar, Russia, Syria and Turkey. In December 2018, the United Nations General Assembly rejected a U.S. resolution condemning Hamas as a terrorist organization.Hamas was founded in 1987, soon after the First Intifada broke out, as an offshoot of the Egyptian Muslim Brotherhood which in its Gaza branch had previously been nonconfrontational toward Israel and hostile to the Palestine Liberation Organization (PLO). Co-founder Sheik Ahmed Yassin said in 1987, and the Hamas Charter affirmed in 1988, that Hamas was founded to liberate Palestine, including modern-day Israel, from Israeli occupation and to establish an Islamic state in the area that is now Israel, the West Bank and the Gaza Strip. Since 1994, the group has frequently stated that it would accept a truce if Israel withdraws to the 1967 borders paid reparations, allowed free elections in the territories, and the right of return of Palestinian refugees.Hamas's military wing has launched attacks against Israeli civilians and soldiers, often describing them as retaliatory, in particular for assassinations of the upper echelon of their leadership. Tactics have included suicide bombings and, since 2001, rocket attacks Hamas's rocket arsenal, though mainly consisting of short-range homemade Qassam rockets with a range of 16 km, also includes Grad-type rockets (21 km by 2009) and longer-range (40 km) if unreliably aimed rockets that have reached major Israeli towns such as Beer Sheva and Ashdod, and some that have struck cities like Tel Aviv and Haifa. Human Rights Watch has condemned as war crimes and crimes against humanity both Hamas and Israel for attacks on civilians during the conflict, stating that the rationale of reprisals is never valid when civilians are targeted.In the January 2006 Palestinian parliamentary elections, Hamas won a majority in the Palestinian Parliament, defeating the PLO-affiliated Fatah party. After the elections, the Quartet (the European Union, Russia, the United Nations and the United States) made future foreign assistance to the Palestinian National Authority (PNA) conditional upon the PNA's commitment to nonviolence, recognition of the state of Israel, and acceptance of previous agreements. Hamas rejected those conditions, which led the Quartet to suspend its foreign assistance program and Israel to impose economic sanctions on the Hamas-led administration. In March 2007, a national unity government headed by Prime Minister Ismail Haniyeh of Hamas was briefly formed, but this failed to restart international financial assistance. Tensions over control of Palestinian security forces soon erupted in the 2007 Battle of Gaza, after which Hamas took control of Gaza, while its officials were ousted from government positions in the West Bank. Israel and Egypt then imposed an economic blockade of the Gaza Strip on the grounds that Fatah forces were no longer providing security there.

View More On Wikipedia.org
  1. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Uingereza yapanga Kutambua Taifa la Palestina Septemba Ikiwa Israel Haitasitisha Vita Gaza

    Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer, ametangaza kuwa ifikapo Septemba mwaka huu, Uingereza itaitambua rasmi Palestina kama taifa huru endapo Serikali ya Israel haitachukua hatua madhubuti kukomesha vita na janga la kibinadamu katika Ukanda wa Gaza. Taarifa hiyo imetolewa Julai 29, 2025...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Utawala wa Wapalestina Wawataka Hamas Kusalimisha Silaha. Wasema Hawaungi Mkono Ugaidi

    Utawala wa Wapalestina, mjini Ramallah, umesema kuwa wao ndio mamlaka halali ya utawala wa eneo lote la Wapalestina, na kwamba Kundi la kigaidi la Hamas, lisalimishe silaha zake kwa utawala halali, na wasijihusishe na chochote kwenye utawala wa wapalestina. Waziri mkuu. Mohammad Mustafa ...
  3. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyau adai Gaza hakuna njaa, wamekuwa wakiruhusu misaada kipindi chote cha vita

    Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amesema hakuna mtu anayekufa kwa njaa Gaza na kwamba Israel haijawahi kuwa na sera ya kuwanyima Wapalestina chakula “Tunaruhusu misaada ya kibinadamu kuingia Gaza wakati wote wa vita la sivyo, kusingekuwepo na Wapalestina Gaza,” alisema Netanyau...
  4. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Hamas wakionesha Utaalamu wa hali ya juu katika nyanja hizi. Gaza wanateswa na wao wenyewe.

    Hamas wanaiba chakula na kwenda uza na kingine kutumia kwa majidai makubwa kabisa bila kujali wenzao.
  5. H

    JamiiForums Tanzania Dunia Nzima imeshindwa Kuwasaidia Wapalestina wa Kawaida Wasiendelee Kufa Pamoja na Magaidi ya Hamas?

    Sasa ni zaidi ya mwaka, operation ya kijeshi ya Israel kuwaangamiza magaidi ya Hamas inaendelea, huku tayari wapalestina zaidi ya 57,000 wakiwa wameuawa, na wengi wakitajwa kuwa ni wananchi wa kawaida. Magaidi ya Hamas, ili kuhakikisha hawauawi kiurahisi, muda wote wamekuwa wakijificha katikati...
  6. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Makamanda 9 wa Hamas waangamizwa katika kipindi cha Wiki mbili tu

    Makamanda hawa wa Hamas kwa sasa ha tuko nao baada ya kuangamizwa na majeshi hodari ya Israel
  7. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Yasser Abu Shabab, kiongozi wa wanamgambo wenye silaha wanaopigana na Hamas awahutubia wakazi wa Gaza!!!

    Yasser Abu Shabab, kiongozi wa wanamgambo wenye silaha wanaopigana na Hamas wenye makao yake makuu mjini Rafah, anawahutubia wakazi wa Ukanda wa Gaza katikati ya matakwa ya Hamas katika mazungumzo kuhusu Ukanda wa Morag: “Hamas haitatia saini mkataba huo. Morag Corridor inawatia hofu. Hawataki...
  8. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania Duru zinasema kundi la Hamas limekubali kuwaachia huru mateka 10 wa Israel

    Duru zinasema kundi la Hamas linalotawala Ukanda wa Gaza limekubali kuwaachia huru mateka 10 wa Israel ikiwa ni sehemu ya majadiliano ya sasa ya kusitisha vita kwa muda wa siku 60. Hata hivyo bado kuna mkwamo kuelekea kufikiwa mkataba kutokana na msimamo wa Hamas wa kutaka Israel iondoe vikosi...
  9. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Magaidi wa Hamas wajaribu kumteka askari wa Israel huko Khan Younis na kushindwa!!!

    Askari wa akiba aliuawa huko Khan Yunis baada ya kuhangaika na magaidi waliojaribu kumteka nyara. Kulingana na uchunguzi wa awali, wakati wa operesheni za IDF huko Khan Yunis, magaidi waliibuka kutoka chini ya ardhi na kushambulia kitengo cha IDF. Wakati wa shambulio hilo, magaidi hao...
  10. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Ngome kongwe ya magaidi wa Hamas huko Rafar yaangamizwa

    https://x.com/vividprowess/status/1941863828561498329?s=61
  11. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Netanyahu: Israel haiyakubali mapendekezo ya Hamas

    Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema Kundi la Wanamgambo wa Kipalestina la Hamas linatafuta mabadiliko "yasiyokubalika" kwa pendekezo jipya la kusitisha mapigano huko Gaza Ukanda. Netanyahu amenukuliwa na Shirika la Habari la DPA, akisema mabadiliko ambayo Hamas inataka kuyafanya...
  12. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Hamas inashauriana na vikundi vingine vya Palestina juu ya mpango wa kusitisha mapigano

    Hamas inasema inashauriana na makundi mengine ya Wapalestina kabla ya kutoa jibu rasmi kwa pendekezo la hivi punde la usitishaji vita upya huko Gaza na kuachiliwa kwa mateka lililotolewa na Marekani. Rais Donald Trump alisema Ijumaa asubuhi kwamba alitarajia kujua ndani ya saa 24 ikiwa Hamas...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Kihistoria Israel Huwa anashambulia viongozi wakubwa kuanzia Goliath mpalestina, hamas, Hizbolah na Iran ni kuponda kwanza nyoka kichwa

    Israel inakuwa na specific target ambazo wanafikia kwa asilimia kubwa na kwa akili kubwa Ndivyo ilivyotokea kwa Iran Ofisa wa usalama wa Taifa na msaidizi wake Makamanda wakuu wa jeshi Wanasayansi wa Nyuklia Ayatollah kama sio Kuombewa na Trump anggeliwa kichwa pamoja na kuhama hama mashimo...
  14. Ritz

    JamiiForums Tanzania Netanyahu; Malengo yake ya vita Iran kashindwa, ameshindwa tena Palestina amerudi kukaa meza moja na Hamas kamaliza vita

    Wanaukumbi. Rais Trump siku ya Jumapili alitoa wito wa makubaliano kuhusu vita vya Israel huko Gaza na mateka wanaoshikiliwa katika eneo hilo waachiliwe. "FANYA MAKUBALIANO NA GAZA. RUDISHA MATEKA!!! DJT," Trump alisema katika chapisho la mapema asubuhi kwenye Ukweli wa Jamii. Malengo ya vita...
  15. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Kunazuka kikundi kingine gaza kinachoundwa na koo ambazo watu wao wamefanyiwa ukatili na hamas na wanaapa kufanya revenge dhidi ya hamas

    Wana gaza wameanza kuamka sasa wanaona hamas ni utapeli uliopindukia.
  16. MK254

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa jeshi la Iran ambaye huratibu shughuli za HAMAS auawa na Israel

    Israel endelea kupeleka moto, msijali hata Iran wakilenga apartments za raia, hiyo gharama ya kulipa kwa ajili ya vizazi vyenu vya baadaye, maana mkifaulu kusambaratisha Iran, ndio mtakua salama nyie na watoto wenu maana maana Iran tu ndio ilikua imesalia kama tishio kati ya mataifa ya waislamu...
  17. Tauceti Rigel

    JamiiForums Tanzania Kwanini Iran haitumi majeshi Gaza (Hamas) na Lebanon (Hezbollah)? : Ifahamu zaidi nchi hii inayopigana vita mtawanyo (asymmetric warfare)

    Kwanini Iran Haijapeleka Majeshi Moja kwa Moja Palestina na Lebanon? Ni swali muhimu kwa yeyote anayeangalia siasa za Mashariki ya Kati. Licha ya Iran kuwa na uwezo mkubwa wa kuingiza silaha, pesa, wakufunzi na hata kuathiri maamuzi ya makundi kama Hezbollah na Hamas, bado haijawahi kutuma...
  18. kavulata

    JamiiForums Tanzania Israel imekosea kama Hamas ilivyokosea

    Wanasema Israel ni taifa la Mungu lakini inaonekana kama ni taifa Marekani tu. Haimtegemei Mungu kwa Kila kitu bali inamtegemea Marekani kwa Kila kitu, hailindwi na Mungu inalindwa na Marekanani. Je, ni taifa la Mungu? Hamas walianzisha ugomvi na Israel ikapata sababu ya kupiga hadi Leo. Sasa...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Hamas ndio walitoa Upinzani wa Kweli. Hawa Iran ni Vibushuti

    Sio kwa ushabiki! Angalau Hamas walitoa upinzani wa Kweli. Ingawaje ni kakikundi kadogo kalikokosa Nguvu ya kifedha, miundombinu na vifaa vya kutosha lakini angalau wao tuliwaona wakifurukuta. Mbinu yao ya kujificha kwenye mahandaki na kuwageuza raia kuwa ngao yao kulichelewesha kushindwa kwao...
  20. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Israel kuhusu tukio la octoba ilituchezea akili. Ilishirikiana na Hamas wahuni kuteka wale watu ipate sababu

    Israel haikuwa inawataka wale mateka.hawa jamaa ni wahuni sana.walijitekesha ili wapate sababu ya kutupiga Hamas na Hirizbola. Ndo maana hawakutaka hata kuwatafuta Israel haikushindwa wapata mateka.sema imewatoka kafara ili sasa ipatikane sababu ya kuichakaza Gaza,Hamas na Hirzibollah. Na sasa...
Back
Top Bottom