halmashauri ya handeni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa Halmashauri ya Handeni acheni kutelekeza familia

    Habar za wakati huu.!Mimi ni mdau na mwananchi na mtumishi katika taasisi ya serekali kero yangu ni moja hasa katika Wilaya ya Handeni katika Halmashauri ya Mkata(handeni)Watumishi wa hapa wamekuwa wakitembea na wake za watu na pia waume za watu wamekuwa wakitembea na wajirani wapya au mabinti...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kuomba uhamisho Halmashauri ya Handeni ni kama umetangaza vita na mabosi

    Kero yangu ni suala la uhamisho Halmashauri ya Mji Handeni limekuwa kama vita, maboss wanakalia barua za Watumishi za uhamisho kuhama imekuwa kipengele kikubwa hapo.
  3. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia azindua jengo la Halmashauri ya Handeni

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Jumanne Februari 25, 2025 ,amezindua rasmi Jengo la Halmashauri ya Mji wa Handeni huku akisisitiza uwajibikaji kwa watumishi wa umma kote nchini. Rais Samia amewataka watumishi wa halmashauri kuzingatia majukumu...
Back
Top Bottom