halima

Halima Xudoyberdiyeva (Cyrillic Ҳалима Худойбердиева; pronounced [halima χudɒjberd̪iˈjeβa]; 17 May 1947 – 17 August 2018) was an Uzbek poet whose themes at different times of her career have dealt with Uzbek nationhood and history, liberation movements, and feminism. She was awarded the title People's Poet of Uzbekistan.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    Kwanini Kanda ya Ziwa walio CCM ndio wanawatetea sana Halima Mdee na wenzake?

    Kea sasa watetezi wakubwa wa akina Halima Mdee na wenzake ni wanaccm kutoka Kanda ya Ziwa. Bado sijaelewa ni kwanini!!!
  2. Halima Mdee na vijana wengine mlio kwenye siasa, kuna maisha nje ya siasa!

    Swala la Halima linasikitisha na kufundisha pia. Halima wengi tunamfahamu kama shabiki kindakindaki wa CHADEMA tangu akiwa university nilipomfahamia Mimi. Wengi tunayafahamu yaliyotokea kwenye uchaguzi 2020. Ni mjingaa pekee anaweza kusema kwamba hawa Covid 19 waliingia bungeni kwa baraka za...
  3. J

    Ben Kigaila: Nimekabidhi barua ya kuwavua uanachama Halima Mdee na wenzake kwa Spika saa 2:42 asubuhi!

    Naibu Katibu mkuu wa CHADEMA mh Benson Kigaila amesema amekabidhi barua ya kuwavua uanachama Halima Mdee na wenzake kwa Spika wa Bunge leo saa 2:42 asubuhi Barua amekabidhiwa Katibu muhtasi wa Spika kea dispatch Source: ITV
  4. Je, Ajira ya Tsh 34m kwa mwezi ilikuwa sawa na rushwa kwa Halima Mdee? Alikuwa sahihi kuikataa?

    Wakuu nimetuliza sana akili na kufikiria kauli ya Mbowe kwamba alimwomba aachie ubunge kwa madai kwamba tayari alishamtafutia ajira ya kulipwa USD 15000 kwa mwezi. Kuna maswali kadhaa nimejiuliza nikaona nilete thread hapa huenda tukapata majibu yaliyojaa facts toka kwa wafuasi wa Chama Cha...
  5. Halima Mdee: Mbowe alikuwa anatafuta huruma tu, hajawahi kuzungumza na Wazazi wangu

    "Freeman Mbowe aliamua kutafuta huruma tu kwa wajumbe wa Baraza Kuu kwa kunitajia wazazi wangu, hajawahi kuzungumza na wazazi wangu hata siku moja kuhusu sakata hili, Nilisikitika, na sikuwa na nafasi ya kujibu," kauli ya Halima Mdee mara baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kusema...
  6. Q

    Halima Mdee na wenzake watinga Bungeni licha ya CHADEMA kutangaza kuwafukuza rasmi

    Dodoma. Baadhi ya wabunge kati ya 19 waliofukuzwa uanachama na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wakiingia bungeni tayari kuendelea na shughuli za Bunge jijini Dodoma, leo Ijumaa Mei 13, 2022. Jumatano ya Mei 11, 2022 Baraza Kuu la Chadema lilitupilia mbali rufaa za wabunge hao 19...
  7. M

    Najiuliza nini kilimsibu Halima Mdee mpaka kukisaliti chama

    Najiuliza maswali mengi nashindwa kupata jibu,hivi Halima Mdee nini kilichomsibu,siamini kama ni tamaa za ubunge au kuna kingine cha ziada, huyu alikuwa Mwenyekiti wa Bawacha mtu mkubwa ndani ya chama ,akizunguka Tanzania na nje ya tz kukipigania chama. Hawa wenzake walimpa nini mpaka...
  8. J

    CHADEMA kuwasilisha barua rasmi ya kuwavua uanachama Halima Mdee na wenzake kwa Spika

    Chadema kesho watawasilisha barua rasmi ya kuwavua uanachama Halima Mdee na wenzake 18 kwa Spika wa binge na Msajili wa vyama vya siasa Aidha Halima Mdee na wenzake wanayo haki ya kuiomba mahakama irejee maamuzi ya baraza kuu Mkurugenzi wa kituo cha haki za binadamu mama Henga amesema...
  9. F

    Baada ya uamuzi wa jana CHADEMA na Halima wana mtihani mkubwa

    Hii sakata ya Halima na wenzake inatoa fursa kwa Chadema kujisahihisha. Kuna uwezekano mkubwa kuwa Halima aliamua kufanya alichofanya baada ya kuhisi kuwa kuna orodha mbadala ilitayarishwa tofauti na ile ambayo yeye na wenzake waliona kuwa ni ya haki. Wasiwasi huo usingekuwa bure kwa sababu...
  10. Halima Mdee na wenzake kulamba asali hivi karibuni

    Heshima sana wanajamvi, Baada ya Wabunge 19 kutimuliwa chamani, ahadi yao ya kupewa ulaji mkubwa na heshima kubwa ipo wazi ni suala la muda tu. Ni wazi Halima Mdee ni kiongozi wa kundi la wanawake walioamua kujipeleka Mjengoni pasipo ridhaa ya chama wala baraka za viongozi wakuu. Ni wazi pia...
  11. Q

    Halima usishupaze shingo omba radhi urudi kundini, jifunze kwa Sofia Simba na Membe

    Mifano iko mingi, najua Chadema unaipenda na Chadema inakupenda pia tatizo ni wewe kujiona unauwezo kukizidi chama, viongozi wako unawaita wahuni? Jishushe, bado naiona future yako ndani ya Chadema na si kwingineko. Membe, Lowassa, Kinana, Makamba sr, Nyalandu, Sumaye walijaribu kutofautiana na...
  12. Halima Mdee na Wenzake 18 nawaonya wasijaribu kwenda Mahakamani, "Kibatala na wenzake" bado wapo

    Halima na wenzake wasipoteze muda kutaka kwenda Mahakamani,kwani wanatuhumiwa kughushi sahihi za Viongozi wa chadema Hata kama hawakughushi wao,aliewasaidia kughushi yupo. Kwa hiyo kama wakitaka kwenda Mahakamani Mimi Sina wasiwasi kabisa. Nina Imani na kikosi Cha Askari maaalum kabisa cha...
  13. Mbowe: Halima Mdee na Wenzake waache mambo ya Kihuni

    Kufuatia Baraza Kuu la CHADEMA kutupilia mbali rufaa ya Wabunge 19 wakiongozwa na Halima Mdee, kauli za majibizano baina ya pande mbili zimeendelea kutolewa, Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe amewaambia waliofukuzwa kuwa waache mambo ya kihuni. Awali Mdee alinukuliwa akisema...
  14. Q

    Halima Mdee: Walichofanya wajumbe wa Baraza Kuu CHADEMA ni Uhuni! Mimi ni CHADEMA, nitaendelea kuwa CHADEMA

    Dar es Salaam. Aliyekuwa mwanachama wa CHADEMA, Halima Mdee amesema hakukuwa na uhuru kwa wajumbe wa Baraza Kuu la chama hicho katika upigaji wa kura na kwamba, kilichofanyika ndani ya Baraza hilo ni uhuni. Na Mbowe anajua ni Uhuni. Nitaongea siku nyingine kwa Urefu leo sio siku mwafaka. Mimi...
  15. Halima Mdee na Wenzake walikosea kwenda na waandamanaji

    Wakati akina Halima Mdee wanakuja ukumbini, walisindikizwa na wanawake Kama 30 ambao sio wajumbe wa mkutano, wakawa wanaimba tunamtaka Halima wetu. Hilo lilikuwa dosari kubwa Sana. Hata Kama Kuna wajumbe wa baraza kuu walikuwa na lengo la kuwasamehe baada ya kuona kile kitendo, wakaamua...
  16. Baraza Kuu la CHADEMA laridhia kufukuzwa kwa Halima Mdee na wenzake 18. Asilimia 97.6 waafikiana na maamuzi

    HALIMA MDEE NA WENZAKE 18 WAFUKUZWA RASMI CHADEMA Baraza Kuu la #CHADEMA limezitupilia mbali Rufaa za Halima Mdee na wenzake 18 wakipinga kufukuzwa uanachama na Kamati Kuu ya chama hicho kwa kukubali kwenda kuapishwa na kuwa wabunge wa Viti Maalumu bila baraka za chama ====== UPDATE: Halima...
  17. For Political Survival, Halima Mdee na wenzake wahamie ACT Wazalendo

    Kazi ya mwanasiasa ni kufanya siasa. Maamuzi ya mwisho ya kuwavua uwanachama wa CHADEMA wabunge Halima Mdee na wenzake 18 baada ya rufaa yao kukataliwa, huenda yakawatoa rasmi kwenye siasa za vyama, hivyo kulazimika kutetea ubunge wao mahakamani kwa ajili ya kusogeza siku mbele kuelekea 2025...
  18. Wabunge 19 wa CHADEMA watinga Mlimani City

    Zikiwa zimesalia saa kadhaa mkutano wa baraza kuu la Chadema Kuanza,wabunge 19 wa bunge la Jamhuri ya Muungano wanaotokana na Chama hicho wamewasili maeneo jirani na kunapofanyika mkutano huu hapa Mlimani City. Awali kulikuwa na sintofahamu ikiwa watahudhuria mkutano huo,walioalikwa kwa barua...
  19. Q

    Majina 19 yanayotajwa kuwarithi Halima Mdee na wenzake bungeni

    Sakata la kuvuliwa uanachama wabunge 19 wa Viti Maalum wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) linaendelea kushika kasi baada ya tetesi zinazodai kuwa kuna uwezekano mkubwa wa chama hicho kupeleka majina mengine ya wabunge wa viti maalum ili kuchukua nafasi yao. Majina yanayotarajia...
  20. F

    Hili sakata la akina Halima Mdee na wenzake ndo linadhihirisha udhaifu wa CHADEMA kama taasisi!

    Ukiangalia kwa makini utaona CHADEMA ni Chama dhaifu sana ambacho hakina dira yoyote zaidi kutanguliza siasa za kibabe, maslahi binafsi, ukabila,ukanda na siasa za utoto utoto tu! CHADEMA kwa zaidi ya miongo mitatu (miaka 30) imeshindwa kabisa kujenga taasisi imara yenye mifumo imara na chain...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…