halima

Halima Xudoyberdiyeva (Cyrillic Ҳалима Худойбердиева; pronounced [halima χudɒjberd̪iˈjeβa]; 17 May 1947 – 17 August 2018) was an Uzbek poet whose themes at different times of her career have dealt with Uzbek nationhood and history, liberation movements, and feminism. She was awarded the title People's Poet of Uzbekistan.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    Halima Mdee tubu yaishe lakini eleza ukweli wote Covid 19

    Halima Mdee tubu yaishe lakini eleza ukweli wote Covid 19. Amegoma kwenda CCM sasa atubu kwa uwazi kabisa kuhusu Covid 19 kabla hajakubaliwa kurudi kama mwanachama wa kawaida. Bila kutubu asiruhusiwe
  2. M

    Halima Nyakanga afungiwa na BASATA kwa miaka 3 na faini ya Tsh milioni 3

    Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemfungia Halima Haji wa Kibaokata kutojishughulisha na sanaa kwa miaka mitatu kwa kosa la kusambaza video isiyozingatia maadili. Aidha, BASATA imemtaka msanii huyo kulipa faini TZS milioni 3 ndani ya siku 14 tangu kutolewa kwa adhabu hiyo, pamoja na kuondoa...
  3. Halima Mdee huyu ni Binti niliyempenda katika maisha yangu.

    Halima Mdee nilimfahamu akiwa tayari amejiunga na CDM ni mwanamama nilimpenda sana japo hajui. Miaka flan huko nilijiunga na chuo flan dodoma lengo nimuone Kwa ukaribu. Kuna wakati alikuwa akinunua matunda sehemu flan Dodoma na mimi nikasogea kununua matunda wakati sikuwa na bajeti nayo...
  4. Halima Mdee: Ndugai alipigania Haki za Wabunge 19

    Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum, Halima Mdee amesema Spika wa Bunge Mstaafu, Hayati Job Ndugai alipigania haki za wabunge 19 waliokuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
  5. M

    GE2025 Nimesikitika sana Halima Bulembo kupitishwa Ubunge

    Mzee Bulembo yeye ana hekima sana na Busara lakini kwa huyu Binti yake kwa kweli hapana. Halima busara yake ni sifuri(0) na ni karopokaji sana. Mzee wetu Bulembo una watoto wengi tu wanaojitambua, sijua ni kwanini hukumchagua mmoja ndie afuate nyayo zako badala yake ukamchagua huyu Binti...
  6. L

    Jesca Magufuli Atakata Kwa kushika nafasi ya Pili Nyuma ya Ng'wasi ,huku Halima Bulembo Aking'ara nafasi ya tatu Ubunge Viti Maalumu vijana Bara.

    Ndugu zangu Watanzania, Jesca Magufuli mtoto wa Rais wa Awamu ya Tano Hayati Dkt John Pombe Joseph Magufuli Ameibuka kidedea na kutakata katika Kuwania ubunge wa viti maalumu Tanzania Bara kundi la vijana kwa kushika nafasi ya pili Nyuma ya Mwanadada machachari Ng'Wasi Kamani aliyeshika nafasi...
  7. G

    Nilipoona barabara ya kuelekea kwenye nyumba za Halima Ndege na Ester Bulaya inaanza kujengwa kuwa ya kisasa, jibu nikawa nalo

    Barabara hiyo ilikuwa mbovu, kama zilivyo nyingi maeneo ya Mbweni Mpiji. Siku za karibuni imeanza kujengwa kwa kasi ya ajabu huku nyingine zikiendelea kubaki kama zilivyo. Sasa wenye akili za asili, sio AI, tumeshapata majibu. Tuendelee kuchukua fomu.
  8. PreGE2025 Halima Mdee: Kuchukulia kauli za Kisiasa kuwa ni uhaini basi wote tutakuwa Wahaini

    Mbunge wa Viti Maalum, Halima Mdee, amehoji mantiki ya kesi ya uhaini inayomkabili mwanasiasa na Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, akisema kauli za kisiasa haziwezi kufasiriwa kama uhaini bila ushahidi wa ziada. Akizungumza kuhusu kesi hiyo, Mdee alisema “Katika mazingira ya kawaida, kauli za...
  9. PreGE2025 Halima Nabalanganya wa ACT atangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Mtwara mjini

    Mwanachama wa chama cha ACT-Wazalendo, Halima Yusuph Nabalanganya, Mei 22, 2025 amechukua fomu ya kugombea ubunge wa Jimbo la Mtwara Mjini kupitia chama hicho. Akizungumza mara baada ya kuchukua fomu, Halima amesema hatua hiyo inalenga kuomba ridhaa ya wanachama wa ACT-Wazalendo ili aweze...
  10. VIDEO: HALIMA Mdee amekiri CHADEMA wako sahihi kutokusaini kanuni za maadili kwani hakuna kanuni inayoweza kuwa juu ya Sheria na Katiba

    Mbunge wa Viti Maalum, Halima Mdee halimamdee amesema kuwa hoja za vyama vya upinzani hasa CHADEMA ChademaTz na ACTwazalendo kuhusu kudai reforms kuwa ni sahihi na zina uzito mkubwa. Mdee amesisitiza juu ya usahihi wa CHADEMA kutokusaini kanuni za maadili kwani hakuna kanuni inayoweza kuwa juu...
  11. Halima Mdee na Tulia Ackson wakiwa na vibe kama lote Dodoma leo

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson, akifurahi jambo na Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA, Mhe. Halima Mdee Jijini Dodoma leo tarehe 26 Januari, 2025.
  12. M

    Lissu aonyeshe Uongozi katika suala la akina Halima Mdee na Wenzake,aachane na hayo mambo yake

    Nimemuona Lissu anawashambulia sana akina Halima Mdee na wenzake badala ya kutengeneza Mazingira rafiki ya kurudisha wale Viongozi ambao CHADEMA imetumia muda wake mwingi kuwaandaa, na hasa ukichukulia toka wameisaliti hawajawahi kuisema vibaya Taasisi wala Viongozi wao. Uongozi siyo Sheria tu...
  13. Jibu la Halima Mdee kuhusiana na msimamo wa Lissu juu ya Wabunge 19 (COVID 19)

    Kiongozi wa baadhi ya wabunge 19 kutoka chama cha demokrasia na maendeleo Chadema Halima Mdee ametuma emoj ya kucheka baada ya Mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu kusema wanatakiwa kueleza nani alisaini mchakato wa wao kuingia bungeni huku akisema yupo tayari kuwapokea wabunge hao . Kauli ya...
  14. LGE2024 Dodoma: Halima Mdathiru ameshinda nafasi ya mwenyekiti Katika mtaa wa Kisabuje

    Moja wapo ya mambo ambayo nilitamani kuyaona katika uchaguzi huu, ni kuona wanawake nao wanashinda katika nafasi walizawania. Hongera sana na kafanye kazi haswa kwenye mtaa wako! ================ Katika mtaa wa Kisabuje Halima Mdathiru ameshinda nafasi ya mwenyekiti wa mtaa, ameeleza namna...
  15. Hongera Halima VunjaBei Kwa Kupata Ushindi Wa K.O

    Hongera Halima VunjaBei Kwa Kupata Ushindi Wa K.O Dhidi Ya Mpinzani Wako Nchini Ujerumani, Umeipeperusha Vyema Bendera Ya Tanzania.
  16. Idugunde wa Igunga: ujumbe muhimu kwa wanaYanga toka kwa Halima Mdee.

    Mpira uko hivi
  17. Halima Mdee: Kisarawe imeshindwa kukusanya Tsh. Bilioni 6 ya Ushuru kutoka Yapi Merkez

    Mbunge Halima Mdee akizungumza wakati wa mjadala wa Taarifa za Kamati ya PAC na LAAC kuhusu Ripoti ya CAG katika Mkutano wa 17 wa Bunge la 12 ulioanza leo Oktoba 29, 2024 na kutarajiwa kuendelea hadi Novemba 8, 2024, amesema mapato Tsh. Bilioni 61.15 hayakukusanywa katika vyanzo muhimu Amesema...
  18. M

    PreGE2025 Ushauri kwa Halima Mdee, kurudi CHADEMA ni kujidanganya

    Ukiangalia account zote za wapinzani utakuta picha ya Free nani, Free nani, kwa Mdee yeye kwake picha za simba na Yanga. Naamini 100% mdee hata akisamehewa basi ni kujidanganya, moyo haupo kabisa upizani. bora tu uwende CCM ukamlizie siasa zako, maana CCM tupo wengi kwenye foleni tunataka nafasi
  19. Kilichomponza Mwanakwerekwe, ni dada yake Halima kukata mauno mbele ya wakwe zake!

    Jamaa walitoa tahadhari mapema wakasema,mikong'oto heavy ni Kwa ajili ya Vibaka na Walanguzi walioshindikana hapa Barani Afrika,yeyote atakaye ingia kati wakati mikong'oto hiyo ikiendelea, atajikuta anapokea kichapo kisichokuwa na huruma kama Paka shume aliyekunya kwenye debe la Unga wa uwele...
  20. K

    Dakika 47 ya Halima Mdee wakati wa kupitisha bajeti ya Wizara ya Ujenzi

    Kwanza kabisa nikupongeze Mhe. Halima Mdee wewe ni jembe. Leo umemfanya Mwigulu - Waziri wa Fedha, Bashungwa - Waziri wa Ujenzi na Mbarawa - Waziri wa Uchukuzi. Leo umewafanya waonekane si chochote mbele ya hoja yako. You have reduced them to nothing. Hakika wamepwaya. Nije kwenye mada. Mhe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…