hakunaga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    PostGE2025 Hakunaga Ukombozi wa siku Moja, kupoteza pambano sio kushindwa vita. Leo wao wameandamana barabarani badala ya kambini

    Ukisoma historia za ukombozi hazikuwa za siku Moja Wala mwaka mmoja. Sina haja kutoa mifano Iko wazi hata uhuru wa Tanganyika haukutafutwa siku Moja . Jambo Moja watawala wanapaswa wajue huwezi kushindana na wananchi wako mwenyewe ukawashinda. Leo Majeshi yote yamejikuta yanaandamana dhidi ya...
  2. Duniani kote hakunaga maandamano ya hivyo

    Kabla haujasoma ninachotaka kusema, embu tuelewane kidogo. Sijawahi kuisifia wala kuitetea CCM na serikali zake. Siungi mkono vitendo vyovyote vya unyanyasaji, utekaji, mauaji na uminywaji wa haki na uhuru wa raia wa Tanzania. Baada ya kusema hayo, naomba niendelee na mada yangu ya leo. Hauwezi...
  3. Tesha ni kanjanja tu hakunaga mwanajeshi wa hivi JWTZ

    Wanaukumbi. (✍️ na mchambuzi wetu) TESHA NI KANJANJA TU HAKUNAGA MWANAJESHI WA HIVI JWTZ Nimemsikiliza huyu mtu aliyejivalisha nguo za JWTZ na anajiita Kepteni Tesha nimebaki najiuliza maswali mengi sana kama hii ndiyo aina ya wanajeshi wetu basi tuna wanajeshi vilaza sana kwenye JWTZ...
  4. Serikali iliyoshindwa kuendesha Mwendokasi ingeweza Mgodi? Rostam kweli anakwepa Kodi hakunaga muhindi anae penda KULIPA kodi

    Rostam ni muhindi kama walivyo wengine Ni miongoni mwa magenge ya wahuni walioingia kwenye siasa Ni miongoni mwa wanasiasa wapiga dili Najiuliza serikali ya ccm iliyoshindwa kuendesha mradi wa MWENDO Kasi wangeweza kuendesha Mgodi, ni mradi Gani uliwai simamiwa na serikali ujafanikiwa...
  5. Kwa hio hakunaga singofaza?🤔

    Kwani aliemzalisha singomaza alafu yeye bado yuko single anapaswa kuitwaje? Au usingofaza ni hadi pale mwanaume anapo achiwa watoto na mzazi mwenza? Single dads mpo?
  6. Hakunaga usawa baina ya mwanamke na mwanaume

    Anayekwambia ukweli, jua anataka upone. Maisha yetu yameandamwa sana na siasa kiasi kwamba sasa hata vitabu vya dini tunavipiga teke. Ndiyo! Tunataka kila mtu apewe usawa, watu wote wawe sawa kwenye nyanja mbalimbali. Lakini ukweli ni kwamba, anguko kubwa la mwanaume linaanzia kwa mwanamke...
  7. Hivi nyie wanawake, hakunaga option nyingine zaidi ya madera

    Habari la jioni dada zangu wapendwa. Mada hii inawahusu wanawake ambao asubuhi mchana jioni madera tu. Unakuta mtu siku nzima anashinda na dera halafu ndani amevaa ribukta la man united au Yanga. Halafu hayo yote sijawahi ona masaki wala ostabay utakuta ni huku kwetu Buguruni, Mbagala na...
  8. I

    Wasafi TV kwanini wanapiga nyimbo za Msanii aliyekataa nyimbo zake kupigwa

    Hapa naangalia Wasafi TV. Naona wanaplay nyimbo ya HAKUNAGA ya Suma Lee ambaye kwa sasa ni mfia dini alisilimu muda mrefu sana. Imekuaje wamepiga hii nyimbo wakati mwenyewe alizuia hili suala. Je, kuna kosa kama ataamua kuwashtaki wanasheria mnijibu hapa. Nawasilisha
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…