Tumia nyenzo za kidigitali kubainisha eneo halisi ilipopigwa picha hii amba mdau aliuliza "hii ni sehemu gani bongo?" Je, umetumia nyenzo gani kujua eneo halisi?
Kwa kutumia nyenzo za kidigitali zinazokuwezesha kuthibitisha uhalisia wa video, bainisha eneo halisi video hii iliporekodiwa huku ukieleza Nyenzo uliyotumia.
Ujumbe wa Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango alioutoa Agosti 11, 2025 katika Mkutano Mkuu wa mwaka wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi uliofanyika mkoani Kilimanjaro, unatukumbusha kuwa makini dhidi ya Taarifa Potofu mtandaoni hasa wakati wa uchaguzi.
Ni muhimu kuthibitisha uhalisia wa kila...
Kabla ya kuamini na kusambaza picha au video unazokutana nazo mtandaoni jiridhishe uhalisia wake au unaweza kuwasilisha kwenye majukwaa ya uhakiki wa taarifa kama JamiiCheck.com ili kupata uhalisia wa maudhui husika.
Ujumbe huo unaakisi kauli ya Mkurugenzi wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano...
Mkurugenzi wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano kwa Umma wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Rolf Kibaja, kupitia kipindi cha Jambo Tanzania cha TBC Agosti 07, 2025, anawakumbusha watu wote kuepuka kusambaza taarifa zisizo za kweli pasipo uthibitishaji ili kuzuia madhara yanayoweza...
Ujumbe wa Jaji Asina Omari, Mjumbe wa Tume Huru ya Uchaguzi (INEC), alioutoa wakati akizungumza na wawakilishi wa vijana, kwenye ukumbi wa mikutano Mlimani City Dar es Salaam, unasisitiza kuepuka utumiaji wa Akili Unde kutengeneza taarifa potofu ili kuzuia upotoshaji wakati wa uchaguzi.
Kuzuia...
Hii ni sehemu sahihi ya kuwekeza, au ni upigaji mpya.
=================
Ufuatiliaji uliofanywa na JamiiCheck kwa kutumia utafutaji wa maneno muhimu (Key word search) umejiridhisha kuwa video hiyo imepotoshwa kutoka kwenye video halisi ambayo ni sehemu ya matangazo mbashara ya kipindi cha...
Wapotoshaji wanaweza kuhariri video halisi kwa kukata vipande vidogo vidogo na kuviunganisha kwa ajili ya kuharibu maana na hivyo kuleta maana tofauti yenye lengo la upotoshaji.
Thibitisha mara kwa mara iwapo utakutana na video unayoitilia mashaka, inayoonekana kuungwa ungwa, yenye mjongeo...
Unapobaini kuwa Taarifa uliyokutana nayo Si ya Kweli, epuka kuisambaza kwa wengine kwani inaweza kuwa chanzo cha Migogoro na Taharuki katika Jamii.
Zuia Taarifa Potofu kwa kufanya Uthibitishaji wa kila Taarifa unayokutana nayo ili kuchochea uwepo wa Taarifa Sahihi wakati wote.
Uthibitishaji wa Taarifa ni jukumu la kila mmoja katika jamii ili kupambana na madhara ya Upotoshaji kwa kuhakikisha jamii inapata Taarifa Sahihi na kwa wakati.
Unaweza kupata maarifa zaidi kupitia Jukwaa la JamiiCheck.com ili kujua mbinu muhimu zinazokuwezesha kubaini uhalisia wa Taarifa...
Wakati mwingine Mtazamo, Hisia au Itikadi juu ya jambo huweza kuathiri maamuzi wakati wa kutafuta Ukweli wa jambo.
Unapofanya Uhakiki wa Taarifa yakupasa udhibiti Hisia, usiwe na Upande au Mtazamo wako ili uweze kupata majibu sahihi juu ya Uhalisia wa Taarifa Unayohakiki
Pia soma:Yoon Suk...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.