hakika

Mwanga Hakika Bank (MHB), whose official name is Mwanga Hakika Bank Limited, is a commercial bank in Tanzania. It is licensed by the Bank of Tanzania, the central bank and national banking regulator.

View More On Wikipedia.org
  1. Kwa hakika Yanga Imeonewa kwa ukubwa sana japo mimi ni Simba ila ukweli usemwe kuwa lile ni goli

    Kama umetazama Mpira utagundua Lile lilikuwa ni Goli safi walilofunga yanga lakini Refa Na VAR ya kizushi imekataa. Naibu waziri wa michezo kasema Mhe Hamisi Mwinjuma au Mwanafalsafa kasema kuwa hilo watalifanyia kazi. Sasa Nakukaribisha na wewe Uangalia Kweli hili sio goli?
  2. Hakika CCM haina watu tena, Wote walioteuliwa leo hawana Jipya ni wepesi kuliko pamba

    Kwanza kabisa ni kwamba mipango yote ya ccm inapangwa na watu walewale na kiukweli ccm haiwezi kutunza siri , taarifa ya Jokate, Mongella na Makalla nimevujishiwa jana saa 5 usiku, nilinyamaza tu kwa vile niliona labda kila mtu anajua kwahiyo haitakuwa habari, Kitendo cha Chama hiki...
  3. G

    Kwani kuna wa kupinga? Tanzania na Afrika Mashariki hakika Ghb Don ndiye Mfalme wa michezo ya pikipiki

    MUHIMU: MICHEZO HII NI HATARI SANA, BILA UMAKINI NA MAFUNZO WENGI WAMEPOTEZA MAISHA Ni mwamba GHB DON ni fundi na mtalam wa kuchezea pikipi, Tanzania na Afrika Mashariki hakuna mwenye uwezo wa kuchezea pikipiki namna anavyofanya, Tumezoea kuona wengi wakiweza kutambia style ya kuinua tairi tu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…