Jaji Mkuu wa Tanzania, George Masaju, ameziagiza Mahakama za Wilaya na Mahakama za Hakimu Mkazi kuhakikisha zinamjulisha kila mtuhumiwa iwapo kosa linalomkabili linastahili dhamana, kama sehemu ya haki yao ya kikatiba.
Masaju amesema kuwa kutowajulisha washtakiwa kuhusu haki ya dhamana ni moja...
TAARIFA KWA UMMA
WITO KWA JESHI LA POLISI MKOANI PWANI WILAYA YA MKURANGA KUWAPA HAKI YA DHAMANA VIJANA WANNE (4) WANAOSHIKILIWA KATIKA KITUO CHA POLISI MKURANGA
15 Agosti 2025, Dar es Salaam
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimepokea taarifa kutoka kwa wananchi wa Wilaya ya...
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimetoa wito kwa mamlaka zinazohusika na usimamizi wa haki kuhakikisha Dkt. Wilbroad Slaa anapatiwa haki yake ya dhamana, kufuatia kukamatwa kwake tarehe 9 Januari 2025 kwa tuhuma za kuchapisha taarifa za uongo kinyume na Sheria ya Makosa ya Mtandao...
Habari waungwana,
Kuna jamaa yangu fulani anatuhumiwa kutenda kosa la kumshambulia mtu ambaye ambaye walizozana kidogo. Shida imekuja kuwa anaendelea kushikiliwa kituo cha Polisi huku suala la kumdhamini likiwa limegonga mwamba. Hii ni kumnyima haki ya msingi jamaa yetu.
Ibara ya 13(6) (b)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.