GTs
Hivi leo ninaangalia mjadala kuhusu vyombo vya ulinzi nchini na historia inanikumbusha tukio la ukatili wa kisystem uliofanywa na vyombo vya usalama vya Adolf Hitler dhidi ya Wayahudi na wengine.
2️⃣
Hitler alitumia polisi wake, wanajeshi na mashirika ya usalama kuwateketeza wananchi...
Imefikia mahali ambapo viongozi wa upinzani, viongozi wa kidini, taasisi za kijamii za ndani na nje, ofisi za ubalozi, watu binafsi mmoja mmoja au kama vikundi, nk, wakatamka jambo lolote kama mashauri au kukosoa kuhusu mustakabali wa uongozi nchini Tanzania wenye kuboresha haki, uongozi bira...
Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko amewataka wadau wa uchaguzi kuendelea kuzingatia sheria, kanuni, taratibu na miongozo mbalimbali iliyowekwa kwaajili ya Kusimamia shughuli za uchaguzi wa serikali za mitaa.
Mrindoko ameyasema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake...
HATUWEZI KUHUBIRI
HAKI NA USAWA
HUKU TUKIWA WENYEWE
HATUFANYI
HAKI NA USAWA WENYEWE
TUKILAZIMISHA MUONEKANO TUSIO NAO TUTAKUWA WANAFIKI
Nilisikika katika Ulimwengu wa kiroho huko Ndotoni nikitoa somo ili kubadilisha mentality za Uchawa na upigaji.
Nikaanza
Mwenyezi Mungu ametupatia Akili ili...
Ni jambo ambalo nimelishuhudia na sijui kama watu wengine wanaliona, kwamba katika awamu hii ya utawala wa Raisi Samia kumekuwa na masuala mengi sana yanayohusu wanasheria hawa mawakili wetu. Labda niseme wazi kwamba haijawahi kutokea katika jistria ya Tanzania mawakili wakawa busy kama hivi...
Hii nchi iko hapa ilipo kwa sababu ya Wakusanya kodi wa hii nchi, chini ya CCM. hawa ndio wanafanya maisha yawe magumu sana.
Hawa wakusanya kodi ndio wanao dalalia nchi kwa Waarabu na Wazungu na sio Wapinzani.
Hawa ndio wanao chota pesa BOT, na kwingineko.
Wakusanya Kodi ndio wanao sabanisha...
Makala hii ni muhimu katika kuangazia mienendo mbalimbali ya nchi zinazofuata na kuongozwa na demokrasia na katiba guru Kati ya watawala na watawaliwa, pia makala hii inasisitiza upatikanaji wa demokrasia kupitia misingi iliyowekwa ya haki na usawa kwa wote, Uhuru wa vyombo vya habari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.