haipatikani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Figusi tayari: TikTok haipatikani Tanzania hata uweke VPN

    Naona figusi Tayari. TikTok Haipatikani Tanzania bado Instagram, X, Thread na Facebook. Tanzania yangu nakupenda
  2. Bawabu wa pili

    Wakuu vipi huko Tanzania, JF mnaipata bila pipieni au bado haipatikani?

    familia mlioko TZ vipi JF mnaipata vyema huko? Maana burn yao walisema inaisha leo, au bado hamuipati mpaka mhame nchi? Maana serikali yetu hii bila kukumbushwa hamna kazi hapo.
  3. Inside10

    Wakuu mbona Instagram haipatikani.?

    Kama Uzi unavyosema ni kwangu tu?
  4. ndege JOHN

    Natumia yas nampigia mtu wa Airtel hapatikan ila inajibu asante kwa kutumia Vodacom namba unayopiga haipatikani

    Nimejiuliza sana mitandao yenye watalaam unaruhusu kitu km huku katika biashara..mimi natumia yas 0678 na uhakika asilimia 100 na niliyempigia mshikaji wangu Sana na NI Airtel hata Jana nimetoka kumrushia hela kwa wakala 0695 sijui alikuwa ameishiwa chaji ikajibu asante kwa kutumia Vodacom namba...
  5. R

    Maria space leo haipatikani, naona hata VPN haifanyi kazi. Kwenu vipi? Hata JF kufunguka ni shida

    Maria kama inawezekana uwe una rwecord unatuwekea kwenye youtube. Naona wamebinya walposikia Heche atahutubia........ tumekwisha
  6. Stuxnet

    Pamoja na kuwa na VPN naona masaa 2 sasa Twitter (X) haipatikani.

    Natumia Norton VPN toka last week, ila kufika saa 7.30 leo naona Twitter haifunguki. Je na nyinyi mnapata shida kama ya kwangu?
  7. Bird Watcher

    Website ya Mahakama Kuu Leo haipatikani

    Wakuu nimejaribu kuaccess website ya mahakama Kuu ya tanzania leo hii tarehe 19 may 2025 Saa 10:08 Asubuhi bila mafanikio Domain ya site hio ni www.judiciary.go.tz Nimefanya Ivo ili nione kama kunaweza Kuwa na Update zozote juu ya Case ya Tundu Lissu inayotarajiwa kusikilizwa leo mahakama ya...
  8. Faana

    Kipanya: Unga bei juu, Mafuta bei juu, Dola haipatikani

    Kudadeki!! 🤣
  9. A

    KERO Namba ya Huduma kwa Wateja ya Wizara ya Ardhi haipokelewi, siku nyingine haipatikani

    Kumekuwa na shida sana kwenye Namba za Huduma kwa wateja kwenye baadhi ya Wizara za Serikali, kama namba ya huduma kwa wateja Wizara ya Ardhi , mwananchi unapata shida ili upige simu upate msaada wa kitaalamu unakuta namba haiiti na wameitangaza kwenye website ya wizara, au namba inaita ila...
  10. Traveller TM

    Huduma ya Airtel ya Esim Haipatikani

    Wakuu, Nimetembelea stores kadhaa za Airtel ku acces huduma ya esim bila mafanikio yoyote yale, Inashangaza hata Matawi makubwa kama Mlimani City nako hakuna huduma ya esim kabisa Airtel Tanzania
  11. Miss Zomboko

    Hospitali inapomwambia Mwanachama wa NHIF Dawa fulani haipatikani kwenye Bima, Mgonjwa anathibitishaje kwamba ni kweli?

    Baada ya misukosuko ya Serikali na Hospitali binafsi kwenye Huduma za Afya kwa Wanachama wa Bima ya Taifa ya NHIF kuna kama utaratibu umeibuka wa kunyimwa baadhi ya Dawa kwa kigezo kwamba hazipatikani kwenye Bima Sasa Me natamani kufahamu Hospitali wanaponiambia Dawa fulani siwezi kuipata kwa...
  12. B

    Kulikoni leo huduma za Simbanking na ATM za CRDB hazifanyi kazi tangu asubuhi?

    Kama heading inavyosema Huduma hizo hakuna kabisa, watu wanahangaika wanataka kutoka pesa kwa ajli ya Eidd, wanadhondwa.
  13. BARD AI

    TCRA yadai Clubhouse ilipotea kwasababu ya Kiufundi, sasa ipo hewani

    Siku moja tangu utokee mkwamo wa upatikanaji wa mtandao wa Clubhouse nchini, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema haikuufungia bali kulikuwa na changamoto za kiufundi, lakini umesharejea. Mtandao huo ambao watu huutumia kuwasiliana kwa sauti, kufanya mikutano na mijadala mbalimbali...
  14. profesawaaganojipya

    Tovuti ya Nacte haipatikani leo asubuhi 19/7/22

    Kila nikifungua website ya Nacte leo asubuhi haifunguki,au tatizo ni simu yangu tu, zingine hamna shida, wenzangu vipi na nyie mnaipata?
  15. Jacobus

    King'amuzi cha Azam kunani E-FM haipatikani?

    Ni muda sasa radio ya E-FM haipatikani kwenye king'amuzi cha Azam, kunani?
  16. limbende

    NMB Mobile haipatikani

    Wandugu habari za leo Samahan NMB Mobile Application inaniambia huduma hiyo kwa sasa haipatikani vipi wenzangu na nyie uko hivihivi au mim mtu. Msaada tafadhali kwa anaejua
Back
Top Bottom