hafai

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Boniphace Mwabukusi ni kibaraka na pandikizi la CCM. Hafai kuaminika hata kidogo

    Ukisikiliza mpaka mwisho utakubaliana na mimi Idugunde 👇
  2. R

    JamiiForums Tanzania Baba Levo: Umeishi na Mwanamke ndani anakusingizia Ujauzito, wapo Wanawake amesomeshwa akishamaliza kusoma anamuona yule mwanaume hafai

    Mbunge wa Kigoma Mjini Clayton Revocatus (Baba Levo) akichangia hoja bajeti ya Wizara ya maendeleo ya jamii leo Juni 1, 2026 Bungeni Dodoma "Huwezi kuwa umeishi na mwanamke ndani, anakusingizia ujauzito unalea miezi tisa, anazaa mtoto unamlea mtoto anafikisha miaka kumi, baadaye mnakosana...
  3. JamiiForums Tanzania Kiongozi mwenye kuukumbatia umaskini hafai kwa nyakati hizi

    "Mimi nimetokea familia maskini", "Mimi nimelala kwenye ngozi ya ng'ombe badala ya godoro".... "Mimi sina biashara yoyote na kiasi nilicho nacho benki hakizidi hata Tsh 20m".... viongozi wenye kauli za aina hii HATUWATAKI. Hakuna ufahari wowote kwenye umaskini. UMASKINI NI LAANA. Ninaandika huu...
  4. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jenerali Jacob John Mkunda Hafai Hata Kuwa Mkuu wa Sungusungu

    Nadhani baada ya kifo cha Rais Magufuli, mrithi wake alitafuta jenerali dhaifu zaidi jeshini ili ampe nafasi ya ukuu wa majeshi ndipo alipomteua ndugu Jacob John Mkunda mzaliwa wa Morogoro na kumpa jukumu hilo kubwa kuliko uwezo wake. Huyu bwana amejikuta akitumika kulinda maslahi ya dola na...
  5. JamiiForums Tanzania Muondoeni Julio timu ya taifa, hafai hafai kabisa

    Leo kocha morocco katangaza timu ya taifa,mimi simchukii lakini ni dhahiri hana uwezo wa kufindisha timu ya taifa na hata kuongea hawezi,nimemsikia leo ni wa kumhurumua tu. Nadhani ni mradi wa mtu fulani hapo tff kumpa yeye ukocha ili wagawane mshahara. Kituko cha mwaka ni julio alichoongea...
  6. JamiiForums Tanzania Kuna uzuri wa mwanamke ambao mwanaume maskini hafai kuutamani?

    Kwenye maisha ya sasa, kuna wanaume wanajishusha kutokana na hali zao za kifedha – wakiamini kwamba uzuri fulani wa wanawake hauwahusu, yaani zile pisi kali tuwaachie watu flani wenye kipato. Wengine wanasema: “Uzuri ni wa wale wenye uwezo wa kuutunza.” Swali: Kuna uzuri ambao mwanaume maskini...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Kumbe mwanamke hafai kupewa uhuru kamili ndani ya nyumba?

    leokunasehemu nimeshinda nimerudi saamoja jioni nakuta nyumba iko pekeyake shemeji yenu hayupo😐 nimesubiri hadi saa tatu ndio akarudi nimekasirika kishenzi. Namuuliza umetokawapi haeleweki nimempiga vibaya sana nakesho namtimua nyumbani kwangunilitaka nimuone nimeahirisha hilozoezi sijui...
  8. JamiiForums Tanzania Mwanamke hafai kuwa Kiongozi kwenye Taasisi zisizo na misingi Imara, kuna maamuzi ya busara zaidi ambayo uwa ndani ya uanaume hutumika

    Mnisamehe sana dada zangu mko hapa huu uzi utakuwa mchungu sana hasa kwa wanaotaka ufeminist na pia wale wa Mitano Tena nao Utagusa mifupa ya uti wa mgongo Toka enzi za mababu wana sababu za kufanya mme kuwa kichwa cha familia, ndo maana samahan kusema hili (Familia nyingi ambazo wamelelewa na...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Dr Tulia kuwa wabunge walipochangia mtafaruku wa Tanzania na Kenya walikiuka maadili na kanuni za Bunge umeonyesha Naibu Spika hafai kabisa!

    Naibu Spika, alisimamia michango ya "waheshimiwa" Wabunge walipokuwa wakibwabwaja na kutoa kauli za kitoto na kijinga katika suala lililoanzishwa na Raisi Samia kuhusu wanaharakati wa Kenya kuja Tanzania. Wakati huo Dr Tulia hakuwapo bungeni. Wengi wetu tulishitushwa sana na kauli zilizotolewa...
  10. JamiiForums Tanzania CEO JKT Tanzania ameiabisha taasisi ya umma kwa uchawi michezoni, hafai

    Hakuna jambo kubwa linaloweza kufanyika ndani ya taasisi bila CEO kufahamu na kuruhusu lifanyike. Kama anafahamu anajua na kama hafahamu anajua pia kuajibika kuko palepale. JKT Tanzania wameonesha vitendo vya ushirikina michezoni kwenye mechi ya nusu finali na yanga. Hii sio sawa kwa timu ya...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Huyu mtu hafai atakutesa sana na kufanya usione thamani yako

    1.Ambaye muda wote anakukosoa kana kwamba hakuna hata siku moja umewahi kupatia hii ni dalili kuwa wewe sio yule akutakaye 2.Muda wote anakulaumu tu kana kwamba hakuna hata siku moja umewahi kuwa mwema kwake hii ni dalili HANA MUDA NA MAZURI YAKO 3.Mara nyingi anakutishia kuwa kuna watu...
  12. JamiiForums Tanzania Lissu Hafai ni Radical: Hadidu kwa Wajumbe

    Katika siasa za kisasa, uongozi wa taasisi za kisiasa unahitaji mtu mwenye busara, hekima, na uwezo wa kuunganisha watu wenye mitazamo tofauti kwa ajili ya kufanikisha malengo ya pamoja. Ndiyo maana kwa muda imekuwa ikisemwa sasa CHADEMA ihame kuwa vuguvugu la harakati na kuwa taasisi. Hata...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Lissu utalinda heshima gani ya Mbowe aliyobakiza ambaye umemdhihaki kwa kumuita mla Rushwa, msaliti wa chama, hafai kuongoza etc etc?

    Nadhani umetambua makosa yako ya kumsingizia mambo mabaya Mbowe ua UONGO leo unasema utalinda heshima yake. Utalinda heshima gani aliyobakiza? Umemchafua makusudi , guility consciousness inakutanga moyoni! Nani akuamini? c&p Guilty consciousness is haunting you Lisu! A guilty conscience...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Diwani Arusha: Mbunge Mrisho Gambo ni matatizo tunayotembea nayo, hafai

    Diwani wa kata ya Themi Labora Mkoani Arusha kwa tiketi ya CCM Ampiga Spana Mbunge Mrisho Gambo, amuomba msamaha Rc Paul Makonda
  15. JamiiForums Tanzania Hii ndiyo “CV” ya Shetani. Hafai kuajiriwa popote!

    Watu wengi wanamsikia Shetani, na wanaamini yupo, lakini hawajui yeye ni nani, alitoka wapi, anafanya nini na malengo yake ni nini. Ifuatayo ni “CV” yake. Imeandikwa kwa Kiingereza. Ukiona lugha iliyotumika ni ngumu, google translator itakusaidia kupata tafsiri ya Kiswahili: Name: Satan (aka...
  16. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe ndiye aliyepambania Uhai wa Lissu kwa Jasho na Damu Mpaka Kumvushia Nairobi Kenya lakini leo Lissu anampaka matope na kumuona hafai

    Ndugu zangu Watanzania, Tenda Wema nenda zako na wala usisubiri shukurani,ni bora Umfadhili Mbuzi kuliko Mwanadamu.Duniani hapa Watu wanaumizwa na Wameumizwa sana na watu wale wa karibu sana yaani wale ambao waliwasaidia kwa jasho na Damu lakini Mwisho wa siku wamegeuka na kubakia Maadui...
  17. Z

    JamiiForums Tanzania Ukimsikiliza dkt Slaa vizuri, utabaini kuwa Mbowe hafai tena kuwa Kiongozi wa Chadema.

    Msikilize kwa makini. https://youtu.be/bm-1VGPLwdo?si=Iv2yOqYETyA72i3z
  18. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu anatafuta uongozi ndani ya Chadema kwa njia za uongo, hila, uchonganishi, uropokaji, hafai hasta kidogo

    Kwa sababu ameaminisha watu kuwa eye ni mkweli, anaongea hasta mambo ya vikao vya Kamati Kuu, anatuhumu wenzake kwa mambo ya uongo kabisa ambayo anajua kabisa kuwa anawachafua wenzake ili kujenga Imani kwa wanachama aonekane mkweli. Anatafuta uongozi kwa kuwadanganya watanzania kuwa yeye ni...
  19. JamiiForums Tanzania Kiongozi yeyote anayedhani bila yeye chama hakiwezi kupiga hatua huyo hafai kabisa

    Kama wewe ni kiongozi katika chama cha siasa au taasisi yoyote kubwa na chini yako kuna wafanyakazi wengi kufikifi kuwa bila wewe kampuni au chama kitakufa basi wewe ndio utakuwa tatizo katika hiyo taasisi. Kiongozi mzuri ni yule anayeandaa watu kuwa viongozi anajua kuna kufa, kuugua...
  20. JamiiForums Tanzania Ufafanuzi: Kwanini tuliona Lissu anafaa urais 2020 na sasa hafai Uenyekiti?

    Ipo hoja inaendelezwa kutoka kwenye Makala yangu ya juzi licha ya kuijibu vizuri katika makala ile ya kwanini Tundu Lissu hana sifa ya kuwa Mwenyekiti wa Chadema taifa, Wanajenga hoja ya kujirudia Kwamba Lissu chama kilionw anafaa kuwa Rais wa Jamhuri yenye Majeshi JWTZ, Usalama wa Taifa, TRA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…