hadithi fupi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zirconium

    Maisha ni hadithi fupi

    Kutoka kuitwa Mheshimiwa ama Boss mpaka kuitwa Marehemu, kutoka kuvaa cheni za Dhahabu na vidani vya Almasi mpaka kuveshwa Mataji, kutoka kutupia Pamba kali mpaka kuwekwa pamba puani. Kutoka kupokelewa VVIP Airport mpaka kusubiriwa sehemu za mizigo ili Jeneza lako liwasili, kutoka kulala hotel...
  2. Lycaon pictus

    Hadithi fupi: Hadithi ya Wakurya wa Tanganyika

    Na D. Kingdon. HADITHI YA WAKURYA WA TANGANYIKA WAKATI ule mvua ilikwishaanza; lakini majani yalikuwa yangali makavu, ingawa sehemu zingine zilikuwa na majani mabichi. Vivuli vya mawingu vilitanda juu ya miinuko ya nchi, na ukiangalia kwa mbali, utaona milima kama imefunikwa na moshi, kwa...
  3. O

    Mfahamu Oresta Mhungulu, mtunzi na mwandishi wa mashairi, hadithi fupi na ndefu, hadithi za watoto na makala za kielimu na kijamii

    Mwandishi, hadithi, mshairi
  4. Wildlifer

    Hadithi Fupi: Ni kiwango gani cha Ardhi anachohitaji mwanadamu

    Wapenzi wa simulizi, hii ni Simulizi iliyotoka mwaka 1886 huko Urusi iliyotungwa na Nguli wa Fasihi, Leo Tolstoy. Mwanafasihi huyu ameandika Riwaya na Hadithi fupi fupi nyingi sana. Riwaya zake Maarufu ni Anna Karenina na War and Peace. Hadithi hii fupi iliitwa : WHAT AMOUNT OF LAND DOES A...
  5. Abtali Mwerevu

    Hadithi Fupi: Vita vya Maji Mengi

    Na: Mwalimu Makoba "NI hadithi kama hadithi za sungura na fisi. Haihusiani na tukio lolote halisi." Sehemu ya Kwanza Hapo zamani za kale watu kutoka mbali waliwavamia Wenyeji. Watu hawa waliwachukua na kuwauza kama anavyouzwa mbuzi mnadani. Ili kujihakikishia Wananchi hawafurukuti au...
  6. Bujibuji Simba Nyamaume

    Hadithi fupi kuliko zote: Alaumiwe Yunge

    Yunge kamuua Mzee Buhabi Yunge kamuua Nzehe Yunge kamuua Tatu Yunge kamuua Yunge mdogo. Kabaki Yunge na bibi na wachawi wengine kijijini. https://www.jamiiforums.com/threads/true-story-babu-yangu-kama-mshikaji-wangu.2071926/
  7. Stavros Myles

    Simulizi: Anguko La Aibu

    ANGUKO LA AIBU Mwandishi: Duarte Simulizi Fupi. "Nina imani na wewe. Nategemea mrejesho mzuri" aliongea Mr.Deus na kukata simu. Mr.Deus alirejea chumbani kwake ambako hawali alimwacha mkewe ambaye kwa muda huu alikuwa amelala. "Mke wangu, mke wangu!" Mr.Deus alijaribu kumuita mkewe...
Back
Top Bottom