habari

  1. JamiiForums Tanzania Habari kubwa kutoka kwenye magazeti ya leo Januari 28, 2025

  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jeshi la polisi kuzuia waandishi wahabari na wanasiasa kuzungumza ni ukiukwaji wa uhuru wa vyombo vya habari, kujielezea na demokrasia

    Kitendo cha Jeshi la Polisi kuzuia waandishi wa habari kutozungumza na wanasiasa huu ni ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu, vyombo vya habari na ni uvunjifu wa demokrasia na sio maelekezo ya katiba ya nchi ni uhalifu wa kutumia silaha. Waziri wa Ulinzi na kamanda mkuu wa jeshi la polisi...
  3. JamiiForums Tanzania Utalii wa Mikutano ndio habari ya mjini!

    1. Kama Taifa tunaelekea pazuri kwenye Utalii wa Mikutano ya Kimataifa. 2. Waziri wa Utalii na Mambo ya nje hawapaswi kulala kusaka hizi fursa za watalii wenye pesa kwa mfano hawa Energy summit waandaliwe trip ya kwenda Zanzibar, Bagamoyo, Ngorongoro.
  4. JamiiForums Tanzania Habari kubwa kutoka kwenye magazeti ya leo Januari 27, 2025

  5. JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa Hali ya Huduma za Afya: Aga Khan Hospital kuhudumia wageni wa mkutano wa Nishati Afria badala ya Muhimbili Hospital

    Aga Khan Hospital, iliyopo Dar es Salaam, imekuwa katika habari kutokana na kuvunjwa kwa mkataba wake na Bima ya Afya ya Taifa (NHIF) wa kuwahudumia Watanzania maskini. Hali hii inatia wasiwasi, hasa pale ambapo hospitali hiyo imekuwa ikihudumia wageni katika mkutano wa Nishati Afrika...
  6. JamiiForums Tanzania Habari kubwa kutoka kwenye magazeti ya leo Januari 26, 2025

  7. JamiiForums Tanzania Habari kubwa kutoka kwenye magazeti ya leo Januari 25, 2025

  8. B

    JamiiForums Tanzania Kozi ya Nursing and Midwife

    Habari waungwana. Samahani wapendwa naomba mnisaidie binti yangu amepata Division IV ya point 27. Kwa ufaulu huu Civics D, His F, Eng D, Chem D Biol C Kisw C Marh F Mtoto anapenda kusomea Mambo ya Nursing and Midwife. Kwa ufaulu huo anaweza akapata chuo km sivyo ni kozi gani nyingine ya...
  9. JamiiForums Tanzania Habari mimi ni mpya humu

    Eti naulizia, chumvi ni shingapi huko kwenu imepanda kwa shingi 50.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Baada ya kufatilia kwa muda mrefu nimegundua Waandishi wa Habari wa Kitaifa na Kimataifa wanajisikia furaha wakimhoji/kuzungumza na Tundu Lissu

    Nimefatilia sana nikaona Saikolojia ya Waandishi wa Habari yaani vile wanavyojisikia pindi wawapo na mazingumzo au mahojiano na Mwenyekiti Wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Mh Tundu Antiphas Lissu. Wanaonekana ni watu wenye furaha, wanajisikia huru na wacheshi wanapokuwa pamoja. Kwenye...
  11. JamiiForums Tanzania Habari kubwa kutoka kwenye magazeti ya leo Januari 24, 2025

  12. JamiiForums Tanzania Habari kubwa kutoka kwenye magazeti ya leo Januari 23, 2025

  13. I

    JamiiForums Tanzania Habari

    Jaman mm na one ya point 9 PCB nasoma education, Nataka niache (kwa sababu nazo zijua ) education ni apply mwezi wa saba tena kozi nyingne (nursing), hivi naweza kufanikiwa kuchaguliwa kweli wakuu Naombeni maoni yenu na mitazamo yenu
  14. JamiiForums Tanzania Ni Mkutano kisiasa wa CCM , ila Waandishi wa habari wanamuhoji WEMA SEPETU masuala ya yeye Kutokuzaa, na masuala ya Mbwa wake "Manunu"

    Wakuu hivi hii Generation ya Waandishi wa habari imetokea wapi 🤣🤣 https://youtu.be/aS5a0j4pvTk?si=S4cjS7qxzOIZSn8N
  15. JamiiForums Tanzania Habari ndg sorry naomba ushauri nasumbuliwa na mbaa/matangotango

    Polen na majukumu na week end ya jpili nilikuwa nauliza ni dawa gan nzuri kati ya sindano na vidonge nasumbuliwa na mbaa matangotango. Plz naomba ushauri wenu ndg zangu nipote ili tatzo n muda...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa CCM Dodoma ulikuwa na ulazima wakujaza wasanii na waandishi wa habari?

    Waandishi wa habari na wasanii wameondoa kabisa seriousness ya Mkutano mkuu wa CCM Dodoma. Ni vigumu kwa compositions hii watu wakafuatilia mkutano unavyokwenda kwa sababu waandishi wa habari wapo katika comedy style kuliko kuripoti mambo ya msingi Vyombo vya habari vinaripoti magari ya CCM...
  17. JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni CV za Waandishi habari wote waliomuhoji LISSU tangu atangaze kugombea umakamu !!.

    Husasan wa Media za hapa Tanzania !!. Maana ni aibu aibu aibu aibu aibuu narudia ni AIBUUUUU . Hivi kuna vyuo binafundisha hii taaluma? Au ni ujanjaujanja tu wa MTU, anafika Clouds , ana sauti ya kutangaza, basi anaitwa mwandishi wa habari?. Yaan tuseme, Zembwela akae kumuhoji LISSU?? Hapa...
  18. JamiiForums Tanzania Sanaa na Utamaduni zihamishiwe katika Wizara ya Utalii na sio kama zilivyo sasa Wizara ya Habari?

    Mbona kama utalii unaendana sana na masuala ya utamaduni na sanaa kama vile nguo na vinyago vya wamasai?? Sasa vinyago vya wamasai na habari, wapi na wapi wakuu?? Au sanaa za wamakonde na michezo ya Simba na Yanga ni wapi na wapi?? Hivi hawa wanaopanga hivi vitu ndani ya Wizara huwa wanawazaga...
  19. JamiiForums Tanzania Habari kubwa kutoka kwenye magazeti ya leo Januari 15, 2025

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…