The Gtaʼ language (also Gataʼ, Gataʔ, and Gtaʔ), also known as Gta Asa, Didei or Didayi (IPA: [ɖiɖaːj(i)]), is an Austroasiatic language spoken by the Didayi people of southernmost Odisha in India.
It is notable for its sesquisyllabic phonology and vigesimal numeral system.
Wadau wa Games, kuanzia PC hadi consoles. Rockstar Games wamesogeza zaidi muda wa kuzindua GTA-6 kutoka May hadi Nov 2026.
Pata muda wa kununua PS5 yako au upgrade PC yako mapema.
Wale wapenda game ni wasanue tu kuhusu mambo ya biashara yalivyo.
Makampuni yamekuwa konde boy sasa kila kukicha kuachia kitu kipya wabaki kushindana kwenye soko.
Nimefatilia kwenye mijadala ya teknolojia baada ya watu kusubiria GTA 6 inatoka 2025 na kutaarifiwa itatoka 2026 .
Kumbuka PS 5...
Kutoka kwenye official page ya Rockstar Games, sasa ni official kuwa Grand Theft Auto VI litazinduliwa rasmi mwakani 26 may tofauti na matarajio ya watu wengi kwamba lingezinduliwa mapema ndani ya mwaka huu.
Daah hii taarifa imeniuma sana sababu hili game nlikuwa nalisubiria kwa hamu na shahuku...
Siwezi shangaa kuona bajeti kubwa ikitengwa kwa watu wa programmer ambao wanashindana na idara kubwa za hisabati na mainjinia wa ovyo pamoja waziri mkuu wetu naye kuwepo ufikiri ni VETA.
Programmer ina beba uwezo kubwa wa kumaliza mengi mambo ya software.
Leo hii kwa nini ccm wanaogopa...
Miaka ishirini imepita tangu kuachiliwa kwa GTA San Andreas, moja ya michezo inayopendwa na kuheshimiwa zaidi katika tasnia ya michezo ya kielektroniki. GTA San Andreas ilibadilisha standard ya Video games, ikichanganya uhalisia wa dunia, hadithi ya kusisimua, na uhuru wa kuchunguza mazingira...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.