Binafsi nimekuwa mfuasi wa Rockstar games..
Nimecheza GTA vice city yote,
Pia nilicheza maxpyne ile ya kwanza kabisa..
Baada yake nikacheza San andreas
Ambayo sikuimaliza kutokana na marudio mengi na tofauti ndogo ya graphics..
GTA 5 sikuipenda kabisa maana haikuwa na jipya ila walijaribu...