Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imemtangaza aliyekuwa mgombea Ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Godwin Mollel kuwa ndiye mshindi wa Ubunge wa Jimbo la Siha mkoani Kilimanjaro.
Uchaguzi huo mdogo ulifanyika jana Desemba 30, 2025 baada ya kusogezwa mbele kutokana na aliyekuwa...
Dkt Mollel ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na Waandishi wa Habari ambapo ameleleza kuwa watu wanaotaka kuvuruga Amani wanataka kutusahaulisha mambo matatu muhimu makubwa ikiwemo kazi kubwa iliyofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu ndani ya miaka minne ya...
Baada ya mbunge wa Siha aliyemaliza muda wake na mtia nia kupitia chama cha mapinduzi CCM kudai kuwa mke wake amatekwa na gari lake kuchomwa moto mdau ameandika.......
"Leo nimeamka Kwa furaha kubwa Sana. Ndiyo FURAHA haswa. Mke wa Godwin Mollel Dr Mollel ambaye ni Naibu Waziri wa afya...
Naibu Waziri wa Afya na Mbunge wa Siha, Dkt. Godwin Mollel, amechukua fomu ya kugombea tena Ubunge wa Jimbo la Siha, mkoani Kilimanjaro, kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Fomu hiyo imekabidhiwa kwake na Katibu wa CCM Wilaya ya Siha.
Wakuu,
Akizungumza leo bungeni na akiwa anajibu swali la Mbunge Hawa Bananga Naibu Waziri wa Afya Godwin Mollel amesema kwamba bima ya afya haina lengo la kusaidia wasiojiweza
"Usisahau kwamba Bima ya afya sio mfuko wa kusaidia wasiojiweza, ni watu wanachangia fedha zao, alafu ziwatibu pale...
Naibu waziri wa Afya na Mbunge wa jimbo la Siha Dkt. Godwin Mollel akichangia kwenye wasilisho la Bajeti ya Wizara ya Afya anasema kuna wana CCM wenzao ambao wameanza kuwageuka.
Mbunge wa Jimbo la Siha ambaye ni Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema kuna wakati wa kazi na wakati wa Siasa.
Namnukuu “Mwanaume mmzima unaamka umeshonewa suti nzuri, mkeo amepiga pasi wewe unaenda kulaumu wanaume wenzako asubuhi mpaka jioni.”
Mbunge wa jimbo la Siha, pale Kilimanjaro Daktari Godwin Aloyce Mollel ambaye pia ni Naibu waziri wa wizara ya Afya amethibitisha mbinu anayotumia kuwalaghai wachaga pale jimboni Siha hili wamrudishe kama mbunge wa jimbo hilo. Ikumbukwe Godwin Mollel alikuwa Mwanachama wa Chadema na Mwaka 2020...
Naibu Waziri wa Afya Dkt Mollel amkaanga vibaya sana Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu akidai kuwa Ubongo wake una GB chache, na ni mtu mwenye roho mbaya sana.
Serikali imesema huduma za afya ya akili zimeshajumuishwa kwenye vifurushi vya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), na hivyo wananchi wanaonufaika na bima wanaweza kupata matibabu hayo kwa mujibu wa mwongozo wa matibabu uliopo.
Akijibu swali la Mbunge wa Iringa Mjini, Mhe. Jesca...
Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel akizungumzia kuhusu ushiriki wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu katika siasa ya sasa pamoja na kudai kuwa hana uwezo wa kushindana na Rais Samia katika Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025.
Kupitia Ukurasa wake wa Instagram, Mbunge wa Jimbo la Siha na Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel ameweka video hii na kuambatanisha na ujumbe huu:
"Hii ndio reform Watanzania wanataka Siyo zile reform za Lissu na Heche , Watanzania wanaakili ...
Mbunge wa Jimbo la Siha na Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amewapatanisha viongozi wa Kijamii wa Kimasai, Ole Paserian na Ole Kisongo, na kuimarisha mshikamano ndani ya jamii hiyo.
Hafla hiyo imefanyika wakati wa ibada ya kubariki "Malaiyoni"...
Kufuatia andiko la Mbunge wa Jimbo la Siha na Naibu Waziri wa Afya Godwin Mollel la kuita Kamati ya siasa Wilaya ya Siha kuwa ni vibaraka mtifuano mkali umeibuka na baadhi ya viongozi wakilaani vikali kauli hiyo huku ikielezwa kuwa mbunge huyo hakuwahi kuhudhuria vikao vyovyote vya kamati hiyo ...
Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel, amesema kwamba serikali imeendelea kuhakikisha huduma za upatikanaji wa dawa (ARV) za kufubaza makali ya Virusi vya UKIMWI zinaendelea kupatikana bila malipo kwa wagonjwa wote.
Kauli hiyo ameitoa hii leo Februari 20, 2025 alipoungana na Naibu Waziri...
Akijibu swali la nyongeza Bungeni leo Feb. 7, Dkt. Godwin Mollel, Naibu Waziri wa Afya ampigia debe Conchesta Rwamlaza, Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA, kwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu kuwa angetamani kumwona Bungeni kwa mara nyingine tena
Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel akijibu swali la Mbunge wa viti Maalumu, Anatropia Lwehikila Theonest amezungumzia kauli ya RC Chalamila akisema:
"Suala alilozungumzia ni nyeti mno, suala la akina mama na mambo mengine ya dharula tunatoa maelekezo mahususi kwanza moja kwa hospital za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.