gesi

The GESIS – Leibniz Institute for the Social Sciences is the largest German infrastructure institute for the social sciences. It is headquartered in Mannheim, with a location in Cologne. With basic research-based services and consulting covering all levels of the scientific process, GESIS supports researchers in the social sciences. As of 2017, the president of GESIS is Christof Wolf.
GESIS is part of the Leibniz Association and receives federal and state funding.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Gesi ya Urusi haikwepeki ulaya: Aidha uingie mkataba mwenyewe na Urusi au Uinunue kwa aliyeingia mkataba na Urusi kwa bei kubwa zaidi!

    Poland ramps up reverse gas supplies from Germany Russia’s Gazprom closed taps after Warsaw refused to pay for deliveries in rubles Underground gas storage belonging to PGNiG company in Kosakowo, Poland, September 13, 2014. © Getty Images / NurPhoto Poland on Wednesday significantly raised its...
  2. M

    Gesi ya Urusi haikwepeki ulaya: Aidha uingie mkataba mwenyewe na Urusi au Uinunue kwa aliyeingia mkataba na Urusi kwa bei kubwa zaidi!

    Poland ramps up reverse gas supplies from Germany Russia’s Gazprom closed taps after Warsaw refused to pay for deliveries in rubles Underground gas storage belonging to PGNiG company in Kosakowo, Poland, September 13, 2014. © Getty Images / NurPhoto Poland on Wednesday significantly raised its...
  3. M

    Maamuzi ya kisiasa yasiyozingatia maslahi ya wananchi: Bulgaria ni mfano halisi, yaachana na gesi rahisi na kugeukia gesi ya bei kubwa!

    Huwezi kuwaelewa wanasiasa! Jana Bulgaria iliamua kuachana na gesi toka urusi ambayo kimsingi ina bei ndogo na kuamua kutumia gesi toka Azerbaijan ambayo kimsingi inauzwa kwa bei ya juu zaidi. Kisa tu ni kuwa haikubali kulipa kwa ruble! Hawajali kuwabebesha mzigo mkubwa zaidi wananchi wao ili...
  4. M

    Urusi imezikatia gesi nchi za Poland na Bulgaria. Putin alivyosema walipe kwa ruble hakuwa anatania

    Urusi imezikatia gesi nchi za Poland na Bulgaria baada ya nchi hizo kukaidi kulipia gesi kwa kutumia pesa ya Urusi ruble. Mara baada ya tangazo hilo kutoka, bei ya gesi ilipanda kwa asilimia 12 katika nchi za magharibi!! Gazprom halts gas supplies to Bulgaria, Poland Russia’s state-owned energy...
  5. M

    Baada ya Urusi kukaza kamba, nchi za Ulaya zimenyoosha mikono na kukubali kununua gesi kwa utaratibu uliowekwa na Putin

    Inaelekea waql;ipogoma mwanzoni walikuwa wanatikisa tu kiberiti. Putin alisema gesi yake italipiwa kwa ruble. Ukilipa kwa dola ni lazima ibadilishwe hapo benki iwe ruble na ndipo upewe gesi. Umoja wa ulaya umetoa taarifa rasmi kuwa isiwe taabu watafuata utaratibu huo. Huyo ndiye PUTIN...
  6. Kufunga gesi kwenye gari kunapunguza uwezo kwa 40%

    Mbali na kuchukua nafasi kubwa kwenye gari (kwa kuweka mitungi) pia gesi unapoteza nguvu ya gari 40%. Ukichaganya na mafundi wetu wa kibongo lazima uue gari na ufundi wao wa kuunga-unga. NB: Nilifunga gesi kwenye Toyota Surf, yaani full majanga
  7. Urusi yavuna mapesa kutokana na mafuta na gesi

    Vikwazo kwa Urusi imekuwa baraka kwake. Katikati ya vikwazo avuna mahela kuliko kipindi ambacho hakuna vikwazo. ====== Russia’s Q1 Trade Surplus Hits Record As Oil And Gas Prices Soar By Charles Kennedy - Apr 11, 2022 Russia’s current account surplus, the broadest measure of trade, more than...
  8. Kwanini Serikali haiongelei juu ya matumizi ya gesi yetu kupunguza matumizi ya mafuta?

    Hii gesi yetu kama ingekuwa iko Kenya wakenya wangetengeneza pesa nyingi sana. Wakenya wangekuwa Sasa hivi wanatuuzia gesi ya kupikia majumbani, gesi ya kutumia kwenye magari na viwandani, vifaa vya kuwezesha magari ya aina zote kutumia gesi asilia na kutusambazia vituo vya kujazia gesi kwenye...
  9. Kampuni ya Shell’s Global yenye vitalu vya gesi Mtwara inadaiwa kuwa na teknolojia ya kuibadili gesi kuwa mafuta (gas-to-liquids (GTL))

    Kampuni ya Shell’s Global yenye vitalu vya gesi Mtwara ina teknolojia ya kuibadili gesi kuwa mafuta (gas-to-liquids (GTL)) Our gas-to-liquids technology turns natural gas into high-quality liquid fuels, base oils for lubricants, and other liquid products usually made from oil. It is founded...
  10. Nilitegemea kipindi kama hiki viongozi washauri baadhi ya Watanzania kutumia gesi asilia badala ya petrol kwenye magari

    Ili kupunguza gharama za maisha nilitegemea kipindi kama hichi viongozi washauri baadhi ya watanzania kutumia gesi asilia badala ya petrol kwenye magari. Gesi asilia (CNG) ni nishati ambayo hutumiwa kama mbadala wa petroli kwenye magari. Vilevile hutumiwa kama mbadala wa dizeli pia. Mfano...
  11. Mgombea Urais Ufaransa, Le Pen wa Ufaransa asema gesi ya Urusi haiepukiki

    Mgombea urais wa Ufaransa bi Marine Le Pen said amesema anaunga mkono vikwazo vyote vya kiuchumi kufuatia uvamizi wake kwa nchi ya Ukraine isipokuwa nishati ya gesi. Bi Le Pen katika siku za karibuni amepata umaarufu zaidi katika kampeni zake dhidi ya kiongozi wa sasa wa nchi hiyo ,bw.Emmanuel...
  12. Mfumuko wa bei umo ndani ya mafuta ya vyombo vya moto (petroli na dizeli), kwenye umeme na kwenye gesi ya kupikia

    Mfumuko wa bei umo ndani ya mafuta ya vyombo vya moto (petroli na dizeli), kwenye umeme, na kwenye gesi ya kupikia. Ukitaka kucontrol mfumko wa bei inatakiwa ucheze na bei za mafuta, gesi ya kupikia na umeme ndani ya nchi. Pia kutokana teknolojia kukua, mfumko wa bei umo hadi kwenye huduma za...
  13. Mafuta na gesi ya Russia yaendelea kwenda kwa wingi India, China na nchi za EU. Hizo za ulaya wanayanunua kwa rubles

    Sasa ni wiki sita tangu vita ya Russia vs USA inayopiganiwa Ukraine ianze. Hakuna dalili ya vita hii kumalizika siku za karibuni. Na kuna uwezekano wa kugeuka kuwa vita ya kinuklia mbaya ambayo haijawahi kutokea hapa duniani. Kabla ya vita hii, India ilikuwa inanunua asilimia 2 hadi 5% tu ya...
  14. Taratibu nchi za ulaya zimeanza kukubaliana na utaratibu wa manunuzi ya gesi kwa mfumo wa rubble. Slovakia yawa ya kwanza kukubali

    Taratibu maji na mafuta vimeanza kujitenga.. Hii ni baada ya Slovakia kukubali rasmi kufanya malipo ya gesi kwa mfumo wa rubble kama Russia inavyotaka iwe.. wamesema hawawezi kumpoteza Russia ambaye ni supplier mkuba wa gesi katika nchi yao.. Slovakia inategemea gesi kutoka urusi kwa zaidi ya...
  15. Ushauri: Serikali itumie gesi ya kabonidayoksaidi iliyopo Tukuyu kuzalishia umeme

    Najua serikali yangu ni sikivu. Leo nimekuja na bonge la ushauri. Naiomba serikali tutumie gesi ya kabon dayoksaidi (okay) iliyopo Tukuyu kuzalishia umeme. Kwani tunayo gesi nyingi sana kule Tukuyu ambayo ni malighafi inayotumika Kuzalishia umeme. Tuchangamkie fursa hiyo.
  16. Ni wakati sasa Afrika ichangamkie mafuta na gesi, mgogoro ukiisha watakuwa na stock ya kutosha

    Ni wakati sasa Afrika ichangamkie mafuta na gesi ,mgogoro ukiisha ukrain watakuwa na stock yakutosha Akiba ya mafuta Marekani iliyofichwa kwenye mapango ya chini CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES Maelezo ya picha, Zaidi ya mitungi milioni 640 ya mafuta hivi sasa imefichwa katika mapango ya chini...
  17. Urusi yatishia kusitisha usambazaji gesi Ulaya

    Rais Vladmir Putin alihutubia taifa lake na kutishia kusitisha mikataba ya kusambaza barani Ulaya theluthi moja ya gesi ya Urusi kama hawatalipwa katika sarafu ya kirusi. Amesema amri hiyo inaanza kutekelezwa Aprili mosi. Rais Putin ametishia kusitisha mikataba ya kusambaza barani Ulaya...
  18. M

    Maswali yote kuhusu wanunuzi wa gesi ya Urusi yamejibiwa hapa na utaratibu wote umefafaniliwa

    Hapa yapo maelezo ya kina kuhusu utaratibu wa Nchi zilizoiwekea vikwazo Urusi kununua gesi kwa Rouble!! Kama Kuna atakayejitolea kutafsiri kwa kiswahili itapendeza Sana Ili watu wote wajue kinachoendelea. Kuna watu wanaongea kishabiki tu hata hawajui utaratibu itakayotumika! 1. What paying for...
  19. M

    Kuhusu kununua gesi na mafuta kwa Rouble: Putin awafanya mabeberu Kama watoto wadogo

    Kulikuwa na kisa kimoja kuwa mama mmoja alikuwa na watoto watatu. Kati ya hao wawili ni watoto wa kambo na mmoja ni WA kwake. Huyu mama alinunua machungwa mawili huku akitaka mtoto wake apate chungwa Zima lakini wale wa kambo wagawane chungwa moja nusu kwa nusu!! Ili kuwadanganya Hawa watoto wa...
  20. Uhaba wa gesi kuitikisa Ulaya

    Ujerumani yawa nchi ya mwanzo Ulaya kuanza kuhaha kukosa gesi ya Urusi baada ya nchi hiyo kukataa kulipia gesi kwa sarafu ya Rouble ya Urusi badala ya dola ya Marekani. Hayo yamesemwa na waziri wa Nishati wa nchi hiyo bw.Habeck ambaye pia ni naibu chancellor wa nchi hiyo. Katika ufafanuzi wake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…