gereza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania USHAURI WA KISHERIA: KWA NINI MKUU WA GEREZA LA UKONGA ANAPASWA KUFUNGULIWA MASHTAKA KWA KUVUNJA KATIBA NA KANUNI ZA NCHI

    Leo, Oktoba 16, 2026, Mahakama Kuu ya Tanzania imetoa uamuzi wa kihistoria katika Shauri la Kikatiba Na. 7300/2026 lililofunguliwa na Mawakili wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu (Kulwa Maduhu, Nashon Nkung'u, na Paul Kisabo). Mahakama imebainisha wazi kuwa vitendo vya uongozi na maafisa wa...
  2. JamiiForums Tanzania Mawakili wa Lissu waibuka kidedea, Gereza la Ukonga lapewa maagizo

    Mahakama Kuu ya Tanzania imeuagiza uongozi Gereza la Ukonga jijini Dar es Salaam kufuata taratibu za Kanuni za Uendeshaji wa Magereza kwa kutowanyima Mawakili na Washauri wa kisheria kuzungumza na mteja wao lakini pia maafisa magereza kusimamia maongezi hayo kwa kukaa umbali ambao wataweza kuona...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Apartments kali zagundulika kuwepo kinyume cha sheria ndani ya gereza huko Indonesia

    Maafisa watano wa gereza Nchini Indonesia wamesimamishwa kazi baada ya uchunguzi kubaini uwepo wa vyumba vya kifahari vinavyofanana na ‘apartments’ ndani ya Gereza la Cibinong, lililopo Bogor karibu na Jakarta, ambavyo vinadaiwa kutumiwa na baadhi ya Wafungwa. Kwa mujibu wa uchunguzi...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Nani anakumbuka kashfa ya Wahaini wa kweli, Pius Lugangira, na Hatibu Gandhi, kutoroka gereza la Keko mwaka 1984?

    Nadhani wahenga wenzangu mnakumbuka sakata hili. Nimeona niilete habari hii kwa faida ya Gen Z. Mwaka 1983 watuhumiwa wa uhaini walikamatwa na kuwekwa rumande gereza la Keko. Pius Lugangira ambaye alikuwa kiongozi wa mipango hiyo, na Hatibu Gandhi, naibu wake, walitoroka toka gereza la Keko...
  5. JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Let love lead! Mama, mtoe Lissu kwenye kuta za gereza

    Leo ndugu Lema, mbunge wa zamani wa Arusha mjini ambaye pia ni mnufaika wa michango ya CHADEMA kama tonetone, join the chain na mingine mingi, katoa salamu za pole kwa Mheshimiwa Rais Mama Samia kwa kufiwa na mumewe pia kafikisha salamu za mwenyekiti wake anayekaribia kuhukumiwa kwa kosa la...
  6. JamiiForums Tanzania Taarifa maalumu ya kumpokea M/Kiti wa chama Taifa Mh Tundu A. M. Lissu kwa wana CHADEMA wote, wafuasi na wapenzi toka gereza la Ukonga - DSM

    Kutoka kwangu mwenyewe The Palm Beach 1. CHADEMA inawataarifu wana CHADEMA wote, wafuasi, wapenzi na wote wanaounga mkono mapambano dhidi ya uhuru, haki, demokrasia na utawala wa sheria ktk taifa na nchi yetu popote pale mlipo hapa nchini na duniani kote kwamba, tutakuwa na mapokezi makubwa...
  7. JamiiForums Tanzania Sasa huyu mkuu wa gereza si atajamba mahakamani? Kwa Nini serikali mnaruhusu uzalilishwaji wa WATUMISHI?

    Leo ni zamu ya mkuu wa gereza kufanyiwa dodoso, na Mh Tundu Lissu Sasa huyu si atajajijambia jmn? Kwa Nini serikali inaruhusu uzalilishwaji wa WATUMISHI WA UMMA?
  8. JamiiForums Tanzania Gereza la Kidijitali: Je, Usajili Ni Pingu Yetu?

    Wanasema duniani hakuna kitu cha bure. Lakini vipi kama "urahisi" na "usalama" tunaopewa leo ndiyo pingu za kesho? Hebu piga picha: Unaamka asubuhi, unataka kununua mkate, lakini M-Pesa yako inakataa. Unajaribu kuingia kwenye basi la mwendo kasi, kadi inasema "Hujaruhusiwa." Unajaribu...
  9. JamiiForums Tanzania SIASA SIO KICHAKA CHA UHUNI AFRIKA. NA KUWA MPINZANI SIO GEREZA LA WAKOSA AKILI.

  10. JamiiForums Tanzania KUMBUKIZI: Ahmed Khalfan Ghailani mtanzania wa kwanza kufungwa gereza la guantanamo kwa kesi ya ugaidi

    Mwamba aliazaliwa Machi 14 mwaka 1974 ni Mtanzania aliyekuwa na kesi ya kushiriki kwenye tukio la kigaidi la al-Qaeda aliyehukumiwa kwa jukumu lake kubwa katika ulipuaji wa balozi nchini Kenya na Tanzania. Alishtakiwa nchini Merika kama mshiriki katika milipuko ya mabomu ya ubalozi wa marekani...
  11. JamiiForums Tanzania R. Kelly achunguzwa akidaiwa kumiliki Namba ya zamani ya Mkuu wa Gereza ndani ya jela

    R. Kelly anachunguzwa na mamlaka za shirikisho baada ya nambari ya simu ya mkuu wa gereza aliyestaafu kupatikana katika daftari lake katika gereza la North Carolina. Mwimbaji huyo wa R&B aliyeporomoka sifa anatumikia vifungo virefu vya shirikisho baada ya kutiwa hatiani kwa makosa ya uhalifu wa...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Hongera sana Tundu Lissu kwa kusimama imara ndani ya kuta za gereza kama Mandela, waliokuweka ndani watalipwa kupitia ICC

    Habari ndio hio kwa kifupi. Wakati wao ukifika, watatia huruma sana. Akichomoka kipindi hiki yuko madarakani, anaweza kuja kukabidhiwa ICC na mrithi wake kwa mshangao wa wengi kutokana na mashinikizo ya kimataifa au sababu nyinginezo. Muda utathibitisha.
  13. JamiiForums Tanzania Ludovick Rwezaura: Sheria ya kanisa Katoliki inakataza kuwaita waumini malofa na wapumbavu

    Aliyejitambulisha kama muumini wa kanisa katoliki aliyebatizwa na anayepokea sakrament, Ludovick Joseph, aeleza vifungu vya sheria vinavyowabana viongozi kuwafokea waumini kwa lugha kali.
  14. JamiiForums Tanzania Kutoka Gereza la Ukonga: Barua ya Tundu Lissu kwa Watanzania. Afafanua maana na athari nchi kuwa "banned" au kuwekewa "International restrictions"

    Watanzania, hamjambo mimi Tundu Lissu nawandikieni kuwapasha hizi habari za "Ban" toka Jumuiya za Kimataifa na mataifa rafiki kwa Tanzania Ipo hivi katika nyanja za diplomasia neno "ban" inatokana na maana ya kawaida ya "kukataza rasmi" (to prohibit officially), na katika diplomasia hutumika...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni gereza

    Watanzania Tunaishi ndani ya gereza kubwa lisilokuwa na kuta. Hakuna mtanzania aliye huru, sisi wote ni wafungwa wa kisiasa
  16. JamiiForums Tanzania Ukuta wa gereza

    STORY: MIAKA 15 NYUMA YA UKUTA WA GEREZA MWANDISHI: FEBIANI BABUYA WHATSAPP: +255621567672 EMAIL: thomasibabuya@gmail.com AGE 18+ UKURASA WA KWANZA MLANGO WA GIZA Kwenye kuta ambazo zilionekana kuchoka, hazikuwa zimepakwa rangi kwa muda mrefu lakini zilikuwa imara kwa sababu ya ubora wa ujenzi...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Breaking Wairan wailaani Serikali ya Ayatollah na kuifananisha nchi yao na gereza kubwa ambalo ndani yake hakuna umeme wala maji.

    VOICES FROM IRAN 'A big prison with no water or power', fed up Iranians speak out 2 hours ago Share Iranians are speaking out with increasing urgency over chronic water and electricity outages that upend daily life and fuel fury at the government. With temperatures topping 40°C in Tehran and...
  18. JamiiForums Tanzania Umri wako sio gereza, acha kujihukumu na ondoa hiyo fikra

    USIACHE UMRI UAMUE HATMA YAKO... Unaweza kuanza kwa bidii, ukiwa na miaka 29 tu— Ukajipanga, ukajiamini, ukajenga ndoto zako kimyakimya, baada ya kupoteza kwenye 18-25s Miaka 31, ukaoa au kuolewa, maisha yakawa tulivu alafu poa tu yani. Sio mchongo, bali upendo wa kweli, msingi wa kesho yako...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Binadamu tupo gereza la akili halafu matatizo yapo huru

    Fundi samico nakueleza haya uyatambue. Ukipanda juu ya mti mrefu, ghorofa au kilele kirefu cha mrima ili uweze kuona pande zote nne zinazokuzunguka hapo ndipo utaona kila kitu kipo wazi pande zote hadi ukomo wa macho yako tu. Pia Ukishuka chini ukatoswa ndani ya shimo refu utaona eneo pekee la...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Heri ya Pasaka: Furaha na Matumaini Huku Tukimkumbuka Tundu Lissu Gereza"

    Heri ya Pasaka kwa wote ! Tusherehekee sikukuu hii kwa furaha na baraka. Tusiwasahau wenzetu kama Tundu Lisu na wengine; wape upendo na duaa. Mungu awabariki wote! 🐣🙏
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…