george simbachawene

George Boniface Taguluvala Simbachawene (born 5 July 1968) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Kibakwe constituency since 2005.He held the post of the Minister of State in the President’s Office responsible for Regional Administration, Local Government, Civil Service and Good Governance from November 2015 to September 2017. He resigned from his post on September 7 2017 after his name was implicated in the Minerals report from his time in the Ministry of Energy and Minerals.On 21 July 2019, he is assigned as the Minister of State in the Vice President's Office.

View More On Wikipedia.org
  1. Mhaya

    George Simbachawene anafaa kabisa kuwa Rais wa JMT

    Huyu mkulungwa ukiangalia hulka zake, sio mtu wa kutaka madaraka kwa nguvu, na sio mtu wa kubeza raia. Na ni wazi na dhairi kuwa CCM bado kuna watu wanataka mabadiliko. Mchizi ni kama ana spiriti ya Magufuli hasa katika utendaji kazi, ukisikiliza hotuba zake ndipo utagundua mwamba ni anajua...
  2. Mkalukungone Mwamba

    PostGE2025 Makonda ateuliwa kuwa Waziri wa Habari, Simbachawane atenguliwa Uwaziri wa Mambo ya ndani ya Nchi

    Simbachawene kafanya nini tena? Mbona imekuwa mapema sana kutenguliwa kwake! Tutamkoma Makonda master misifa au tuseme kuhamasisha AFCON kwa Tanzania imemfanya apate nafasi? ================== Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi na utenguzi wa...
  3. S

    Waziri Simbachawene anasubiri nini KUJIUZULU? Polisi wanakaidi maagizo yake lakini yeye yupo tu!!

    Waziri Simbachawene ametoa maagizo mbele ya kamera kwamba ukamataji ufanyike mchana na askari wawe wamevaa sare bila ninja. Na akaongeza kuwa watoe taarifa kwa serikali za mitaa. LAKINI bado polisi wanafanya yale yale kwa mtindo ule ule. Mwambieni Simbachawene ajiuzulu ili kukwepa udhalilishaji...
  4. U

    VIDEO: George Simbachawen hajui tafsiri ya Moja kwa moja ya neno HAKI. Ni kweli au wanaona aibu kulitamka kwa kuwa wameinajisi?

    Matukio ya utekaji, utesaji na kupotezwa kwa watu na mauaji ambayo 100% sababu zake ni za kisiasa, yaliyoanza kujitokeza kwa kasi na waziwazi kuanzia utawala wa Rais Hayati John P. Magufuli na kufikia kilele chake wakati huu chini ya Samia Suluhu Hassan imefanya viongozi wa serikali kuona aibu...
  5. Waufukweni

    Christian Bella apewa uraia wa Tanzania

    Msanii maarufu wa muziki wa Bongo Fleva wenye ladha ya R&B na Afro-pop, Christian Bella amepewa uraia wa Tanzania. Hayo yamesemwa jijini Dar es Salaam na Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene leo Alhamisi, Desemba 18, 2025 ikiwa ni siku ya wahamaji duniani. Simbachawene amesema...
  6. DuaZaMama

    PostGE2025 Simbachawene: Vyombo vya ulinzi mmefanya kazi nzuri kuwalinda raia na mali zao

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, ametoa pongezi kwa Askari wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama kwa kuhakikisha hali ya amani na utulivu nchini, hasa baada ya kuibuka fununu za uwepo wa maandamano yasiyo na kikomo. Waziri Simbachawene ametoa kauli hii alipotembelea na...
  7. Waufukweni

    Rais Samia atoa msamaha kwa wafungwa 1,036

    Katika kuadhimisha Miaka 64 ya Uhuru wa Tanzania Bara leo Desemba 9, 2025 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa msamaha kwa wafungwa elfu moja na thelathini na sita (1,036) Taarifa iliyotolewa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Mhe. George Simbachawene...
  8. DuaZaMama

    PostGE2025 Simbachawene: Vifo vilivyotokea Oktoba 29 sitaki vitokee tena

    Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene amesema maandamano yasiyo ya kikomo yaliyopangwa kufanyika kuanzia kesho December 09,2025 hayana kibali na ni haramu huku akisema kama yale ya October 29 yalisababisha Watu kufariki na hasara nyingine kubwa na haya ya kesho yanasemwa yatakuwa makubwa...
  9. DuaZaMama

    PostGE2025 Simbachawene: Ya nini uende kumkamata mtu nyumbani kwake umevaa kininja? marufuku polisi wasiovaa sare kukamata watu

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amesema amemwagiza Mkuu wa Jeshi la Polisi, Camillus Wambura, kuhakikisha kuwa ukamataji wa watuhumiwa unafanyika kwa kufuata misingi ya sheria na kwa kuzingatia staha. Akizungumza jijini Dar es Salaam leo Jumatatu, Desemba 8, 2025, wakati...
  10. DuaZaMama

    PostGE2025 Waziri wa mambo ya ndani Simbachawene aonya juu ya maandamno ya Desemba 9

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, ametoa wito kwa vijana na wananchi wa Tanzania kulinda amani na kuepuka kushiriki maandamano, akisisitiza kuwa taifa bado linakabiliwa na athari nzito zilizosababishwa na maandamano ya Oktoba 29, 2025. Amesema hayo usiku wa Novemba 28, 2025...
  11. Waufukweni

    PreGE2025 Serikali yawaonya wanaotaka kufanya fujo uchaguzi mkuu

    Serikali ya Tanzania imewaonya watu waliojipanga kuleta fujo, kujihusisha na rushwa ama kuleta sitofahamu katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, kuwa ipo macho na haitatoa mwanya wa kufanyika hila hizo. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George...
  12. T

    DOKEZO Mawaziri Simbachawene, Mchengerwa, ichunguzeni Halmashauri ya Ngorongoro Idara ya Afya, kuna matatizo mengi kwa watumishi

    1/ Hiyo ndio halmashauri ambayo wenye elimu ndogo wamekalia nafasi za kiuongozi, hali inayofanya wenye elimu kubwa kukoswa fursa ya kutoa maarifa na kuyasambaza kwa wenye elimu ndogo. kwa mfano DRCHco wa halmashauri hiyo ana DIPLOMA, ili hali wapo NURSES wana Bachelor Degree na masters lakini...
  13. McLaren

    PreGE2025 Mawaziri wa 3 wanatarajiwa kukutana na Umoja wa Walimu Wasio na ajira Tanzania (NETO) Machi 10

    Wakuu, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene (Mb), amesema Mawaziri Watatu, akiwemo yeye, Waziri wa TAMISEMI, na Waziri wa Elimu wanatarajia kukutana na Umoja wa Walimu Wasio na ajira Tanzania (NETO) Machi 10, mwaka huu. Simbachawene...
  14. Mindyou

    Umoja wa Walimu Wasio Na Ajira (NETO) wakubali wito wa Simbachawene lakini wataka kuwepo na Ulinzi kwenye kikao

    Umoja wa Walimu Wasio na Ajira Tanzania (NETO) umetangaza kuwa uko tayari kukutana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene, kwa ajili ya majadiliano kuhusu ajira za walimu nchini. Hata hivyo, NETO imesisitiza umuhimu wa kuhakikisha...
  15. Just Pray

    Simbachawene awataka viongozi wa walimu wasiokuwa na ajira NETO kufika ofinini Dodoma kwa mazungumzo

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene, amewaita ofisini kwake Dodoma kwa mazungumzo viongozi wa vijana waliojitambulisha kwenye andiko lao kuwa ni “Non Employed Teachers Organisation (NETO)” wenye umoja wao kupitia mitandao ya...
  16. J

    Mawaziri Dkt. Pindi Chana, George Simbachawene na Ummy Mwalimu kujadili ongezeko la vifo na talaka nchini

    Waziri wa Katiba na Sheria Dr Pindi Chana atakutana na Waziri wa Utumishi George Simbachawene na Waziri wa Afya Ummy Mwalimu kutafuta Suluhisho la Ongezeko kubwa la Vifo na Talaka nchini My take: Sijajua Kwanini hawajamshirikisha Dorothy Gwajima ======== WAZIRI wa Katiba na Sheria, Balozi Dk...
  17. mngony

    Waziri George Simbachawene atafaa Uwaziri Mkuu 2025

    Huyu Mzee amehudumu Baraza la Mawaziri kuanzia serikali chini ya JK, JPM na sasa Mama, huku akiongoza wizara zenye majukumu mazito. Ni mkimya , humsikii kuropoka, busara na amekuwa akijibu hoja Bungeni kwa umakini. Nakumbuka aliwahi kuwajibika kwa kujiuzulu uwaziri kipindi cha JPM lakini...
  18. mngony

    George Simbachawene ni nani hasa?

    NI mmoja ya mawaziri waliodumu katika Baraza la Mawaziri tangu awamu ya JK, Magufuli na sasa Mama, pamoja na panga pangua za baraza la mawaziri Na ameshapewa majukumu Wizara ya Utumishi , Wizara Mambo ya ndani, Waziri ofisi ya Waziri Mkuu. Moja ya Wizara ziliozokaribu kiutendaji na Ikulu Ni...
  19. Erythrocyte

    Simbachawene atetea uamuzi wa kuzuia mikutano ya hadhara. Avuliwe Uwaziri!

    Waziri wa Nchi, Sera na Uratibu wa Bunge Simbachawene, ni miongoni mwa Mawaziri wa Serikali ya CCM ambaye anaonekana dhahiri kwamba hajaridhishwa na uamuzi wa kuondolewa kwa zuio batili la mikutano ya vyama vya siasa. Amenukuliwa leo akitetea uamuzi ule wa kidikteta uliojaa uoga na ushamba...
  20. Erythrocyte

    Simbachawene, kabla hujaapishwa huko kwingine tuambie yalikoishia Maagizo yako ya kumkamata Nabii Mwingira

    Ni vema viongozi tukajifunza kumalizia yale tuliyoyaanzisha kwenye maeneo tuliyotoka kabla ya kuhamia kwingine. Mtukufu Simbachawene kwa kishindo kikuu, ulitoa maagizo kwamba Mtume na Nabii Mwingira atafutwe Popote alipo na ahojiwe kuhusiana na kauli zake kuhusu kunusurika kuuawa mara 3 na...
Back
Top Bottom