gentamycine

  1. O

    Huyu Gentamycine ni wale jamaa tulikua tunawakimbiza class halafu hawataki kukubali

    Ni almost miaka kadhaa, nimekua nikimsoma huyu jamaa, lakini nimekuja kugundua kwa sisi vipanga wala kodi za wajinga kama huyu GENTAMYCINE, ni kweli huyu mtu ni wale wapenda sifa wa darasa wasiokua na uwezo, nimemkumbuka jamaa yangu mmoja special school miaka ya 2003s tukiwa Olevel, ilitokea...
  2. GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE nimekuwa nikiyasema tokea Kitambo mkawa mnanipuuza Malaika Mimi. Na bado mtakoma

    Fukuzeni Murtaza Mangungu, Salim Abdallah Mhene 'Try Again', Abbas Mratibu wa Timu, Mtani wangu wa Kihaya Meneja Rweymamu, Mtani wangu wa Kiha na Rafiki yangu Kocha Msaidizi Matola na badilisheni Dereva wa Basi la Simba SC halafu kuanzia sasa achaneni na huyo Mganga wa Kienyeji ambaye ni mwana...
  3. Wana Simba SC bado tu mnataka GENTAMYCINE niendelee kuwaambia kuwa Mo Dewji hatufai na atuachie Timu au sasa mmeshanielewa?

    Wiki hii hii niliandika Uzi hapa kusema kuwa tunamuonea zaidi Mangungu ila kama kuna Mtu HATARI zaidi Simba SC na ndiyo ANATUUMIZA mno kila tukikutana na Yanga SC kuwa ni Salim Abdallah Mhene 'Try Again" nikaishia Kudhihakiwa na hata Kutukanwa. Na katika Uzi huo huo pia nikasema wazi wazi kuwa...
  4. GENTAMYCINE nikiwa namsema Mo Dewji kuwa ni Samjo Samjo (Muongo Muongo) na hatufai Simba SC bali anapiga tu Hela naambiwa namchukia na Mimi ni Yanga

    Mchome nakubaliana nawe kwa 100% zote.
  5. GENTAMYCINE nikiulizwa nataka Simba SC iachane na Wachezaji wangapi ili ya Msimu ujao iwe Tishio nitasema wakubakia wawe 3 tu ila wengine wafukuzwe

    Camara, Mukwala na Mpanzu kwa Wageni wabaki na kwa Wenyeji abakie tu Kagoma, Tshabalala ila wengine Watemwe.
  6. GENTAMYCINE nikisema kuwa unahitaji Akili ya kama ya Mwendawazimu kuhangaika kufuatilia Siasa za Afrika, kuumizwa nazo na kuzipenda huwa nakuwa sahihi

    Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya, Raila Odinga amewajibu wakosoaji wa Serikali ya Rais William Ruto wanaotaka aondoke madarakani huku akisema wanataka atoke aende wapi. Kauli ya Odinga inakuja zikiwa zimepita siku chache tangu asaini makubaliano ya kufanya kazi na Rais Ruto nchini Kenya...
  7. M

    Member gani ameku-inspire katika jambo fulani

    Jf, kuna watu wametu-inspire, mambo mengi bila hata wao kujua. Kupitia mada hii wataje/mtaje member, aloku-inspire ktk jambo fulani. LIST YANGU: 1. WALONI-INSPIRE KTK SANAA YA UANDISHI Robert Heriel Mtibeli, MALCOM LUMUMBA, yoga, Nifah, Da'Vinci. 2.WALONI-INSPIRE KTK UCHESHI Ushimen, KENZY...
  8. Wana Yanga SC wakiongozwa na GENTAMYCINE tunauliza je, Mwamnyeto nae Akioa Uongozi wetu utamzawadia 50M kama Aziz K?

    Nikiwa kama mwana Yanga SC Mwandamizi JamiiForums nzima nasubiria majibu ya Viongozi wa Yanga SC waliojazana hapa.
  9. NANI TUWEKEANE MAKUBALIANO YA KI-BIASHARA?

    Wakuu poleni na mahangaiko ya kusaka heshima(💰) Wakati naendelea kuwaza na kuwazua jinsi ya kujiwekea Heshima yaani kuwa na pesa,nikapata wazo la kilimo lkn hapo hapo nikakutana na changamoto ya soko la uhakika,,,Basi nikapata wazo la kuwahusisha nyie wadau wapenda maendeleo, J ili kutatua...
  10. Tetesi: Kuna tetesi kuwa kuna mambo yatafanyika ili kuzima yanayojiri Sasa

    Nimesikia baada ya Wasaidizi wake kuona kuwa Mitandaoni Kumenuka na kila Kona anashambuliwa kwa Boko lake alilolitoa Jana kuna Kikao kimefanyika huku Mhusika akiwa anatia Huruma kwani kuna Mtu Mmoja anayemheshimu sana kamwambia Ukweli kuwa jana ameharibu hata Yeye kamshangaa. Hivyo basi ili...
  11. Nipo mbioni kuanzisha Kozi Maalum ya Kuwafundisha Marais wa dunia namna ya Kuongea Points mbele ya Hadhira na siyo Pumba

    Na gharama yake itakuwa ni Nafuu sana kwa kila Rais ila kutakuwa na Sharti Kubwa kidogo la Kwanza kutaka kuijua Elimu ya Rais husika, Chuo chake alichosoma na kama Alifaulu vyema huko kisha mwisho atapimwa Akili kama zinamtosha sawa sawa na pia kuangalia kama ama havuti Bangi au si Mlevi wa...
  12. ANGALIZO muhimu sana kwa Uongozi wa Simba SC na Mashabiki wote wa Simba SC kutoka kwa mwenye Simba SC yangu GENTAMYCINE

    Baada ya Jana Timu yetu Kujitahidi na kutoa Sare ya Suluhu (siyo Samia) na Wachezaji wetu kufanyiwa Fujo pale Uwanjani (nchini Libya) nina uhakika wa 100% ili Kuingiza Timu yetu matatizoni (kama sehemu ya Kulipiza Kisasi) kuna Timu moja yenye Utoto, Roho Mbaya, Ushamba, Chuki iliyopitiliza dhidi...
  13. Gentamycine naona kama vile 'Albadiri' ya 'Indian Ocean' imeshaniingia

    Yaani..... 1. Nimepoteza kabisa Nuru 2. Natia Huruma niwapo na Watu 3. Sijiamini amini 4. Najishtukia 5. Napatwa na hamu ya kwenda Kijijini mara kwa mara 6. Nikikumbuka tu nilichokifanya Moyo unaniuma mno 7. Moyo wangu unasema nijitokeze tu mbele za wana JamiiForums (Watu) kuomba Msamaha...
  14. Rais Samia tafadhali nakuomba chukua muda wako leo na uupokee huu Ushauri wangu GENTAMYCINE, nina uhakika utakusaidia sana na Kunishukuru pia

    Pole na Majukumu yako ya Kiutendaji na hongera kwa yale mazuri unayofanya kwa Tanzania japo kwa kawaida changamoto za Kiutawala / Kiuongozi kwa Rais yoyote hazikosekani na kama hutozimaliza Wewe basi atakuja Kuzimaliza ajaye. Tafadhali Rais Samia nakuomba fanya yafuatayo ikikupendeza....... 1...
  15. Nikisema Uongozi wa Simba SC ni wa Kihuni na wa Yanga SC unajitambua mnanichukia, haya malizeni na la Awesu Awesu

    Na kwa taarifa yenu kuna ya Wachezaji wengine akina Kagoma na Mashaka nao huko walikotoka Vilabu vyao Vimelalamika TFF na Wao watashinda Kesi kama ilivyoshinda KMC. Najua mtamalizana nao hawa Leo kabla ya Dirisha la Usajili kufungwa rasmi Kesho Saa 5 na dakika 59, ila hiki Kitendo kinatosha...
  16. Naombeni hekima zenu; Natafuta mtoto na mke wangu hajafanikiwa kubeba ujauzito

    Ndugu wana Jf natumaini mko salama ndugu zangu. Ndugu zangu katika vipindi vilivyopita ijulikane nilikua natafuta mke na Mwenyezi Mungu amenijalia nimepata mke na nimeoa. Ndugu zangu mimi na huyu mke wangu tulikua tunatafuta mtoto katika siku zake tulizo amini ni siku za hatari ila cha ajabu...
  17. Siyo maneno yangu Gentamycine mwana Simba SC bali ni maneno ya Mchambuzi Oscar Oscar na mwana Yanga SC Mwenzenu

    "Nimetizama Matamasha yote ila naomba tu niseme kuwa Simba Sports Club ni NEXT LEVEL kwa Matamasha Tanzania" amesema Oscar Oscar Mchambuzi Nguli wa Michezo nchini ambaye pia ni Shabiki wa Yanga SC ya Tanzania. Imeisha hiyo. Kudadadeki. Soma pia: Ufafanuzi! Ngao ya jamii kwanini Simba na Yanga...
  18. J

    Naanza kuwaza weledi wa bidada wa Ikulu na team yake

    Hata kama ni haraka unawezaje kuandika Press release ya ajabu namna ile tena inatoka Ofisi kuu ya Nchi , Nanukuu baadhi ya maneno Para ya Kwanza, " Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amemtumia salamu za rambirambi Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe.Nurdin Hassan Babu...
  19. Watanzania mnaojiua kila siku nani aliyewaambieni kuwa sisi wengine hatukupitia changamoto kubwa za kimaisha kuwazidi?

    Nyie Watanzania wenzangu ambao kutwa napata taarifa za kujiua kwenu kwa kukata Tamaa ya Maisha au mnataka sasa na sisi (hasa mimi GENTAMYCINE) niwapeni Historia yangu kubwa ya mapito makubwa niliyoyapitia ya miaka saba mfululizo lakini nilijikaza na kuvumilia yote halafu hata wazo la kujiua...
  20. Niliwaonya hapa hapa kuwa Kawaondoeni Ndugu zenu kwa akina Fally Ipupa na Ferre Gola kwani 'Namba M' hawana Masihara mkanipuuza

    Na baadhi ya wale ninaoongea nao kutoka kwa akina Fally Ipupa na Ferre Gola wanasema kuwa Walioondoka na Pumzi ya Moto siyo Watatu ila wako Tisa na huenda Wasafiri wengine wa Kuondoka na hawa Abiria Wazembe Watatu hadi Kenda ( Tisa ) tunaotamba nao Wakaongezeka. Shikamooni sana Namba M na labda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…