geita

Geita is a town in northwestern Tanzania of approximately 240,000 people, located north east of tanzania. It is in the centre of a gold mining area. In March 2012 it became the administrative headquarters of the newly created Geita Region.

View More On Wikipedia.org
  1. Kwanini Dkt. Kalemani alipokuwa ofisi za TANESCO - Geita alivaa barakoa na alipoenda kanisani kujumuika na Rais Magufuli akaivua?

    Hili Jambo limenishangaza kidogo.! Dr. Kaleman leo akiwa Ofisi za TANESCO-GEITA alivaa Barakoa pamoja na wote waliokuwa nae lakini ameenda Kanisani kujumuika na Raisi akavua na kuonesha hali ni shwari na wale wote waliokuwa Kanisani leo hawakuwa na Wala hawakuvaa Barakoa, kuna kitu kilipangwa au?
  2. Mkoa wa Geita umeanza maandalizi ya kujenga uwanja wa kisasa wa mpira

    Mkoa wa Geita umeanza maandalizi ya ujenzi wa uwanja wa kisasa wa mpira wa miguu utakaokuwa na uwezo wa kuingiza mashabiki zaidi ya elfu themanini kwa wakati mmoja ili kuondoa changamoto za viwanja kwa mikoa ya kanda ya ziwa. Serikali imetangaza kujenga uwanja mkubwa wa mpira wilayani Chato...
  3. T

    Tundu Lissu: Spika Ndugai kati ya Wabunge wetu na Rais Magufuli nani Mtoro?

    Waheshimiwa Wabunge wetu. Nimemsikiliza Spika Ndugai akiweka msimamo wake kuhusu hatua yenu ya kuondoka Bungeni kwa muda. Spika Ndugai anastahili kujibiwa rasmi na hadharani, na napendekeza yafuatayo kuwa sehemu ya majibu yenu. 1. Je, Wabunge wa CHADEMA ni watoro? Kwa kadri ninavyofuatilia...
  4. TANZIA: Hakimu mkazi mfawidhi wa mahakama ya wilaya ya Geita amefariki dunia jana jioni

    Uongozi wa Mahakama ya Tanzania unasikitika kutangaza kifo cha Mtumishi wake, Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Geita Mhe. Gabriel Nimrod Kurwijila kilichotekea jana jioni tarehe 3/5/2020 katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando Mwanza alikokuwa akipatiwa matibabu.
  5. Kanda ya Ziwa: Tetemeko la Ardhi la ukubwa wa 4.5 kwa vipimo vya Richa latikisa

    Jamanii muda si mrefu tumepitiwa na tetemeko la ardhi hapa Ushirombo Ni tetemeko Dogo limedumu kwa sekunde kadhaa Tuwaombee wenzetu wa Bukoba/Kagera na Chato.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…