Takwimu zinaweza kutofautiana kutokana na chanzo cha taarifa na sababu zinginezo.
Kwa mujibu wa IMF, GDP ya Tanzania ni dola [za Kimarekani] bilioni 85.
Kuna watu huwa wanadai Tanzania kuna hela na Watanzania wana hela.
Okay, sawa. Labda sisi wengine tuonavyo tofauti huwa hatuelewi, hatujui...