gaza

The Gaza Strip (; Arabic: قِطَاعُ غَزَّةَ‎ Qiṭāʿu Ġazzah [qi.tˤaːʕ ɣaz.zah]), or simply Gaza, is a self-governing Palestinian territory on the eastern coast of the Mediterranean Sea, that borders Egypt on the southwest for 11 kilometers (6.8 mi) and Israel on the east and north along a 51 km (32 mi) border. Gaza and the West Bank are claimed by the de jure sovereign State of Palestine.
The territories of Gaza and the West Bank are separated from each other by Israeli territory. Both fell under the jurisdiction of the Palestinian Authority, but the strip has since the Battle of Gaza in June 2007 been governed by Hamas, a Palestinian fundamentalist militant Islamic organization which came to power in the last-held elections in 2006. It has been placed under an Israeli and US-led international economic and political boycott from that time onwards.The territory is 41 kilometers (25 mi) long, and from 6 to 12 kilometers (3.7 to 7.5 mi) wide, with a total area of 365 square kilometers (141 sq mi). With around 1.85 million Palestinians on some 362 square kilometers, Gaza ranks as the 3rd most densely populated polity in the world. An extensive Israeli buffer zone within the Strip renders much land off-limits to Gaza's Palestinians. Gaza has an annual population growth rate of 2.91% (2014 est.), the 13th highest in the world, and is often referred to as overcrowded. The population is expected to increase to 2.1 million in 2020. In 2012, the United Nations Country Team (UNCT) in the occupied Palestinian territory warned that the Gaza Strip might not be a "liveable place" by 2020 and as of 2020, Gaza suffered shortages of water, medicine and power, a situation exacerbated by the coronavirus crisis. According to Al Jazeera "19 human rights groups urged Israel to lift its siege on Gaza". The UN has also urged that the blockade be lifted while a report by UNCTAD prepared for the UN General Assembly and released on 25 November 2020, said that Gaza’s economy was on the verge of collapse and that it was essential to lift the blockade. Due to the Israeli and Egyptian border closures and the Israeli sea and air blockade, the population is not free to leave or enter the Gaza Strip, nor allowed to freely import or export goods. Sunni Muslims make up the predominant part of the Palestinian population in the Gaza Strip.
Despite the 2005 Israeli disengagement from Gaza, the United Nations, international human rights organisations, and the majority of governments and legal commentators consider the territory to be still occupied by Israel, supported by additional restrictions placed on Gaza by Egypt. Israel maintains direct external control over Gaza and indirect control over life within Gaza: it controls Gaza's air and maritime space, and six of Gaza's seven land crossings. It reserves the right to enter Gaza at will with its military and maintains a no-go buffer zone within the Gaza territory. Gaza is dependent on Israel for its water, electricity, telecommunications, and other utilities. The system of control imposed by Israel is described as an "indirect occupation". Some other legal scholars have disputed the idea that Israel still occupies Gaza. The extent of self-rule exercised in the Gaza Strip has led some to describe the territory as a de facto independent state.
When Hamas won a majority in the 2006 Palestinian legislative election, the opposing political party Fatah refused to join the proposed coalition, until a short-lived unity government agreement was brokered by Saudi Arabia. When this collapsed under joint Israeli and United States pressure, the Palestinian Authority instituted a non-Hamas government in the West Bank while Hamas formed a government on its own in Gaza. Further economic sanctions were imposed by Israel and the European Quartet against Hamas. A brief civil war between the two Palestinian groups had broken out in Gaza when, apparently under a U.S.-backed plan, Fatah contested Hamas's administration. Hamas emerged the victor and expelled Fatah-allied officials and members of the PA's security apparatus from the strip, and has remained the sole governing power in Gaza since that date.

View More On Wikipedia.org
  1. Gaza Atrocities and Independent Media Finally Awaken Americans

    The tide in the US is slowly turning against politicians who support the atrocities in Gaza. Could any of this have been possible without the thriving independent media platforms and the internet? https://youtube.com/shorts/0xl8AvsKN40?si=MVvEiRezxymkG5-z
  2. Hivi Gaza wizara iko moja Tu ya afya?

    Kila news nayopata kutoka Gaza lazima iwe imetolewa na wizara hiyo ya afya sijawahi kusikia wizara ya mambo ya ndani wala mambo ya nje ningependa kujua muundo wa serikali yao ukoje.kuna wizara nyingine kweli?
  3. Wanahabari watano wa Al Jazeera wauawa katika shambulio la Israel huko Gaza

    Shirika la habari la Al Jazeera limesema kuwa waandishi wake watano wameuawa katika shambulio la Israeli karibu na Hospitali ya Al-Shifa mjini Gaza Miongoni mwa waliouawa ni waandishi Anas al-Sharif na Mohammed Qreiqeh, pamoja na wapiga kamera Ibrahim Zaher, Mohammed Noufal na Moamen Aliwa...
  4. Wakazi wa Gaza wawashukuru baadhi ya Watanzania waliowapatia misaada muhimu

    Wanaukumbi. Baadhi ya Watanzania wenye huruma ni utu wamakusanya misaada na kuipeleka GAZA, kama vile Chakula na mahitaji mengine muhimu kwa watoto. Tunawashukuru Watanzania waliojitolea kidogo walichokuwa nacho.
  5. Ujerumani kusitisha uuzaji wa silaha kwa Israel zinazoweza kutumika Gaza, Merz asema

    Wanaukumbi. Ujerumani itasitisha uuzaji wa silaha zake kwa Israel ambazo zinaweza kutumika katika Ukanda wa Gaza, Kansela Friedrich Merz anasema kutokana na mipango ya Israel ya kuuteka mji wa Gaza. Akizungumza muda mchache uliopita, Merz amesema serikali yake haitaidhinisha usafirishaji...
  6. Make Gaza Israel Again ndiyo kiboko cha Magaidi huko Gaza!!

    Israel kuchukua udhibiti kamili wa kijeshi wa Gaza Netanyahu ameifanya kazi nzuri sana leo hii na atasababisha yafuatayo: Hamas itaondolewa milele!!. Hali ya ugaidi haitakuwapo tena. Na kwa upande wa magaidi sasa hivi ni hofu tu. Mwamba waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema mambo 7...
  7. Asante waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kwa kuirudisha Gaza Israel tena

    🇮🇱 Ofisi ya Waziri Mkuu: Baraza la Mawaziri la Usalama limeidhinisha pendekezo la Waziri Mkuu la kushindwa kwa Hamas. IDF itajiandaa kuchukua udhibiti wa Jiji la Gaza huku ikitoa misaada ya kibinadamu kwa raia walio nje ya maeneo ya mapigano. Baraza la Mawaziri, kwa kura nyingi, lilipitisha...
  8. Kiongozi wa upinzani Israel : Utekaji wa Gaza ni 'janga'

    Wanaukumbi. Kiongozi wa upinzani nchini Israel anasema uamuzi wa baraza la mawaziri la usalama kuchukua mji wa Gaza ni "janga" ambalo "litasababisha maafa mengi zaidi". Yair Lapid anasema kutwaa mji wa Gaza kutasababisha vifo vya mateka waliosalia na mauaji ya wanajeshi wengi wa Israel. Mpango...
  9. Israel: Netanyahu akabiliwa na upinzani wa jeshi kwa ukaliaji kamili Gaza

    Israel lazima "iwashinde kabisa" Hamas huko Gaza, Benjamin Netanyahu amesisitiza siku ya Jumanne, Agosti 5. Mkuu wa majeshi ya Israeli, kama sehemu kubwa ya uongozi wa juu wa kijeshi, anapinga ukaliaji mpya kamili wa eneo la Palestina. Waziri Mkuu wa Israel anakabiliwa na upinzani mkali kutoka...
  10. Sasa ni Rasmi - Gaza kuwa Jewish City Netanyahu akubali - Arabs wote kufukuzwa Dawa ya Jeuri ni Kusudi, hard kuishi na waongo Aamua kufuata Quran 5:21

    Babu kachoka na visingizio na kutishiwa Nyau eti Uingereza sijui Canada kaamua kuwaambia kama Mbwai mbwai tu so Palestina kutawanywa watakuwa Taifa katika nchi kadhaa Duniani ila Sio katika Ardhi Allah aliyompa Nabii Musa na Vizazi vyake Quran 5:21 Enyi watu wangu! Ingieni katika nchi takatifu...
  11. Netanyahu alisema Gaza hamna njaa leo analalimika Mateka wa Israel wanayimwa chakula

    Wanaukumbi. Abu Obaida: •Al-Qassam Brigades are ready to cooperate positively and respond to any request by the Red Cross to deliver food and medicine to enemy prisoners. •We condition this on the opening of humanitarian corridors in a regular and permanent manner to allow the passage of food...
  12. Familia yalaani, mateka Muisrael anayeteseka huko Gaza

    Familia ya mateka wa Israel Evyatar David anayeshikiliwa na Hamas huko Gaza imelishutumu kundi hilo kwa kumuua njaa kimakusudi kama sehemu ya kampeni ya propaganda. Taarifa ya familia hiyo iliyoitoa siku ya jana Jumamosi Agosti 2, 2025 imejiri siku moja baada ya Hamas kutoa video ikimuonyesha...
  13. Exclusive: GHF ‘complicit in war crimes’ in Gaza, says former aid contractor

    Wanaukumbi. Amir alikuwa mvulana mdogo ambaye alifika bila viatu mwishoni mwa Mei katika mojawapo ya vituo vya usambazaji chakula vya Wakfu wa Gaza Humanitarian Foundation (GHF). Alikuwa amesafiri kilomita 12 kukusanya chakula. Anthony Aguilar, mlinzi wa Marekani, alijaribu kumtuliza...
  14. Trump: Njia ya haraka ya kumaliza mateso ya Gaza ni Hamas kujisalimisha na kuwaachilia mateka wote

    Trump: Njia ya haraka ya kumaliza mateso ya Gaza ni Hamas kujisalimisha, kuwaachilia mateka Rais wa Marekani Donald Trump anasema kundi la kigaidi la Hamas linapaswa kujisalimisha na kuwaachilia mateka 50 linalowashikilia ili kumaliza njaa na masaibu mengine huko Gaza. "Njia ya haraka zaidi ya...
  15. M

    Makundi ya haki za Binadamu ya Israel yatoa ripoti kuilaani serikali yao kwa Mauaji ya Kimbari(Genocide) huko Gaza

    Baada ya taatifa ya taasisi ya haki za binadamu ya Amnesty ya miezi michache iliyopita, taasisi ya haki za binadamu ya nchini Israel ya B'Tselem nayo imetoa taarifa kuwa wamejiridhisha vya kutosha kuwa serikali ya nchi yao inafanya mauaji ya Kimbari huko Gaza. Wakihojiwa na mwandishi wa habari...
  16. Qatari ndio wanaozusha uongo wa Njaa kali huko Gaza, Vyakula havijawahi kuisha Gaza tokea vita huko Gaza ianze, Qatar anacheza game

    Waisraeli wanashuku Qatar kuwa nyuma ya kampeni ya uenezi ya 'njaa' ya Hamas Maafisa nchini Israel wanaamini kuwa Qatar inaongoza kampeni ya propaganda ya Hamas kuhusu "njaa huko Gaza," ambayo inapokea usikivu mkubwa wa kimataifa. Maafisa wa Israel wanaamini kuwa Qatar inaongoza kampeni ya...
  17. Trump atabiriwa kuidondosha chini Marekani.Amri zake zimeshindwa Gaza,Yemen na Iran.Haziwezi kufaulu kwa Putin

    Mapema mwezi huu raisi Trump alimpa raisi Putin wa Urusi mwezi mmoja na ushei ili akubali suluhu na Ukraine vita vimalizike. Sasa Trump amesema amepunguza muda huo na kumtaka Putin asimamishe vita katika kipindi cha wiki mbili tu zijazo.Urusi baada ya kusikia amri hiyo imesema imesikia maneno...
  18. Nani anahusika na mateso ya Wapalestina huko Gaza?

    Tunafahamu ukweli kwamba kuna nchi barani Ulaya leo zenye idadi kubwa ya wahamiaji wa kiislamu Wakati mwingine, inaathiri sera za serikali zao kwa kuwakaribisha wahuni hao. Lakini hii haiwezi na haitaongoza Israeli kufanya maamzi ya kupelekeshwa na maamzi ya nchi zikiwa pokera waislamu kisha...
  19. Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyau adai Gaza hakuna njaa, wamekuwa wakiruhusu misaada kipindi chote cha vita

    Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amesema hakuna mtu anayekufa kwa njaa Gaza na kwamba Israel haijawahi kuwa na sera ya kuwanyima Wapalestina chakula “Tunaruhusu misaada ya kibinadamu kuingia Gaza wakati wote wa vita la sivyo, kusingekuwepo na Wapalestina Gaza,” alisema Netanyau...
  20. Kwa nini dunia inashindwa kugawana raia wa Gaza kuwakoa na maafa yanoendelea huko?

    Gaza ambako kuna maafa makubwa ya kibinadmu yanaoendelea ni sawa na nusu ya Wilaya moja tu ya Tanzania. Gaza ina raia milioni 2, yakijitolea mataifa kumi ya Kiarabu kila moja kuchukua raia laki mbili inaa maana raia wote wa Gaza watakuwa na sehemu za kuishi na kuondokana na maafa yanaondelea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…