gachagua

Gachagua is a surname. Notable people with the surname include:

Clifton Gachagua (born 1987), Kenyan poet and writer
Nderitu Gachagua (1952–2017), Kenyan politician
Rigathi Gachagua (born 1965), Kenyan politician

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gachagua akana kudai Ksh.8B ili akubali kuachia nafasi ya Naibu Rais wa Kenya

    Naibu Rais Rigathi Gachagua amekana tuhuma dhidi yake ikiwemo kudaiwa kumtaka Rais #WilliamRuto kumpa Ksh. Bilioni 8 (Tsh. Bilioni 168) ili akubali kuachia nafasi hiyo kutokana na wawili hao kutokuwa na uhusiano mzuri. Amesema hayo wakati alipohojiwa na kituo cha Redio, amesema “Sina tamaa ya...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rigathi Gachagua adinda kujiuzulu, asema bila yeye Ruto asingeingia Ikulu

    Naibu wa Rais wa Kenya Rigathi Gachagua, amejigamba kwa kudai kwamba yeye ndie pekee aliesababisha na kuchangia pakubwa Rais Dr. William Ruto akashinda uchaguzi wa 2022, la si hivyo bila jina lake kuwako kwenye karatasi za kupigia kura, kamwe asingeshinda urais wa Jamuhiri ya Kenya wakati huo...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Pendekezo la kumwondoa Gachagua litawasilishwa wiki ijayo na sahihi 300 zilizokusanywa

    Gachagua impeachment motion to be tabled next week with 300 signatures collected National Assembly members are expected to table the impeachment motion against Deputy President Rigathi Gachagua on Tuesday next week, with reports indicating that the collection of signatures was close to reaching...
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siasa za Kenya ni za kushangaza sana

    Siasa za Kenya kuna wakati zina shangaza sana sasa sijui ni kusalitiana au vipi? Bunge la Kenya linataka kumkong'oa Naibu wa Rais wa Kenya Rigadhi Gachagua. Naibu Rais huyo wa Kenya anakabiliwa na tuhuma za kuendeleza ukabila kwa watu wa mlima Kenya pia kutokuelewana na Raisi William Ruto...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…