Hawa G55 kwa mtazamo wangu ni cdm maslahi kama walivyokuwa covid19, cdm halisi wanapaswa kuwa macho. Magroup haya mawili yalikuwa ndani ya cdm kusaka maslahi binafsi, na kiongozi wao mkuu alikuwa Mbowe.
Haya ndio magroup yaliyowaleta wanaccm wasaka madaraka ndani ya cdm in the likes of Lowassa...