fursa jf

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jamii Opportunities

    Tender – Supply Of Construction Materials For Primary School Classrooms at Plan International

    Invitation to Tender (ITT) Tender Ref. No. PIT/RUK/01/FY25 Supply Of Construction Materials For Primary School Classrooms, Nkasi District Council, Rukwa Region. Plan International is an independent development and humanitarian organization that advances children’s rights and equality for...
  2. Jamii Opportunities

    Request for Proposals – Consultancy services at Plan International

    Request for Proposals Consultancy services: Gender equality and inclusion. Analysis of district plan and budget RFP No. PIT / VUM/02/FY25 Plan International Tanzania is an International humanitarian child-centered development organization without religious, political or government...
  3. L

    Ufafanuzi kuhusu ajira UTUMISHI

    Habari za kazi kaka tunaomba utupazie sauti tuweze kufahamu sheria pamoja na utaratibu wa sekretarieti ya ajira utumishi katika mchakato wa usahili. Hivi karibuni 1/09/2024 zilitangazwa ajira za kada ya afya kupitia sekretarieti ya ajira Baada ya mchakato wa kupata wanaostahili kwa usahili...
  4. The Lonnie

    Ushauri: Anataka kuacha kazi Serikalini sababu ya maslahi madogo

    Niulize nini faida ya kufanya kazi serikalini, kama ualimu na daktari? Kuna mwana ni mwalimu ajira mpya mwaka jana anatamani kuacha kazi mazima ila pa kuanzia sasa ndo haelewi. Anaomba ushauri sababu haoni challenge yoyote ya maisha ikiwa hamna marupurupu na take home ni finyu kidogo...
  5. Jamii Opportunities

    VAS Software Integration Engineer at Vodacom

    VAS Software Integration Engineer Posting Country: Tanzania, United Republic of Date Posted: 30 Aug 2024 Full Time / Part Time: Full Time Contract Type: Permanent At Vodacom, we’re working hard to build a better future. A more connected, inclusive and sustainable world. As a dynamic global...
  6. Jamii Opportunities

    System Admin: Contact & Digital Channels at Vodacom

    System Admin: Contact & Digital Channels Posting Country: Tanzania, United Republic of Date Posted: 30 Aug 2024 Full Time / Part Time: Full Time Contract Type: Permanent At Vodacom, we’re working hard to build a better future. A more connected, inclusive and sustainable world. As a dynamic...
  7. Jamii Opportunities

    Senior Instructor/Assistant Professor, Urology at Aga Khan University

    Senior Instructor/Assistant Professor, Urology Entity - Aga Khan Health Services Location - Tanzania Introduction Aga Khan University, a private, self-governing international university chartered in Pakistan in 1983, is a role model for academic, research and service programmes in health and...
  8. M

    Mtu mwaminifu, mbunifu, na mwenye bidii anatafuta nafasi ya kazi

    Habari za majukumu wakuu? Natumaini mko salama. Ningeomba msaada wenu wa hali na mali katika kunisaidia kupata nafasi yoyote ya kazi. Nina imani kuwa kwa msaada wako, nitapata nafasi itakayoniwezesha kutumia uwezo wangu na kuchangia kwa mafanikio ya mtu binafsi, shirika au kampuni yoyote. Mimi...
  9. E

    Matumizi ya Affidavit au Deed Poll katika kuomba Ajira Je, hii inaweza kuwa kama udhaifu wa kufanikiwa?

    Wadau hivi katika suala la kuomba ajira mpaka kwenye interview,je ukiwa unatumia AFFIDAVIT AU DEEDPOLL kutokana na changamoto ya majina. Je, hii inaweza kuwa kama udhaifu kwako wa uwezekano wa kufanikiwa?
  10. Pantomath

    Mlioomba Ajira Ualimu utumishi Angalieni status zenu

    Log in > Nenda my Application > Employer. Kuna watu washaanza kupangiwa sehemu za interview.... Interview ya kwanza(kuandika) utafanyia ulipoombea... Interview ya pili(Oral)utafanyia mkoa watakayokupangia wao.. Kama uliomba masomo mawili, Utashangaa Written ya hesabu na phy utafanyia hapa Dar...
  11. realMamy

    Nani alikusaidia kupata kazi unayoifanya?

    Kuna kazi nyingi za kufanya ndani ya Nchi na nje ya Nchi huku ikitegemea na taaluma yako uliyosomea. Kuna watu wamepata kazi hizo kwa kupambana wenyewe huku wengine wakisubiri kusaidiwa kwa namna moja ama nyingine. Wengine pamoja na taaluma walizonazo lakini wameamua Kusaka maarifa mengine...
  12. G

    Je, kuna umuhimu kama taifa kufanya usaili kwa kada ya Afya na Ualimu ndo Uajiri?

    Leta hoja yako, ijikite kwenye 1. Kwanini miaka mingi kada hizi hazikuwa na usaili isipokuwa sasa. 2. changamoto kiujumla za Mchakato wa usaili kwa kada hizi 3. Faida ya kufanya na kutofanya usaili 4. Bajeti za wizara kutekeleza usaili. 5. Hitimisho. Soma Pia: Kada ya Ualimu na Afya wafanyiwe...
  13. mkataumem

    Natafuta ajira ya Transporter /clearing and forwarding

    Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29,napatikana boda ya Tunduma, Elimu yangu kidato cha sita, natafuta ajira ya kuwa transporter au Agent ku clear mizigo boda ya Tunduma, nina uzoefu wa Exportation, importation na Transit Kwa miaka minne sasa.. Kazi itafanyika Kwa uaminifu. Naombeni ajira...
  14. M

    Hili suala la interview ya sekretarieti inanichanganya

    Interview ya mahojiano wamesema mhusika ataenda mkoa alioomba kazi kufanya interview, je kwa wale walioomba masomo mawili na kuwekwa mikoa tofauti anatakiwa kwenda pande zote mbili au atachagua mmoja, anayeelewa anisaidie tafadhali!
  15. H

    Natafuta kazi ninaweza kufanya kazi ya aina yoyote Ile iliyo ya halali

    Kwa majina naitwa Hamis Mahujaji Hamis, mwenye umri wa miaka 24, mwenye makazi ya mkoa wa Dar Es Salaam katika wilaya ya Kigamboni. Elimu yangu ni Ngazi ya cheti pia ni muhitimu muhitimu katika chuo kikuu Cha Dar Es Salaam Maritime Institute mwaka huu wa masomo wa mwaka 2024 katika level ya...
  16. aise

    Nafanya kazi ya kujenga "ngazi za kuelea elea" floating stairs

    Habari zenu wakuu, kama unahitaji kujenga ngazi za kisasa "ngazi za kuelea elea" nicheki nikufanyie kazi yako. Hata kazi yoyote inayohusu Ujenzi (Plasta, kujenga n.k) karibu nikufanyie kazi Yako! Hapo nimekabidhi kazi tayari, kilichobaki ni kutoa mbao za hapo chini tu. Karibuni wakuu. Simu...
  17. M

    Wanahitajika vijana wa Kike kwa ajili ya mauzo ya mradi Real Estate

    Wanahitajika vijana wa Kike kwa ajili ya mauzo ya mradi wa nyumba uliopo(REAL ESTATE) wilaya ya Kigamboni Dar es salaam. TUMA C.V YAKO:sophiahamidu59@gmail.com
  18. U

    Msaada maswali ya interview ya nafasi ya Field Attendant ambayo sifa yake ni Form Four

    Poleni na majukumu ndagu zangu. Nime-aplly kazi katika taasisi ya taliri ambayo inajihusisha na utafiti wa rasilimali za mifugo na mamlaka ya viwanja vya ndege TAA kupitia sekretarieti ya ajira sasa ninaomba kupta tips ya maswali yake ya interview hasa kwenye usaili wa kuandika. Nini natakiwa...
  19. sulemoney

    Mchoraji nguli Tanzania nawakaribisha nyote kujipatia picha kutoka kwangu kwa gharama nafuu

    Jina langu naitwa sulesketcher. Mimi najihusisha na sanaa ya Uchoraji kwa zaidi ya miaka 5 sasa, nimefanya sanaa hii na watu mbalimbali nchini Tanzania ikiwemo na viongozi wakubwa wengi waliomaliza muda wao na wachache waliobaki katika nafasi zao za uongozi. Sanaa hii ya Uchoraji kwangu ni...
  20. Jamii Opportunities

    Mechanical Draughtsman at Twiga Cement Limited August, 2024

    Position: MECHANICAL DRAUGHTSMAN Areas of Responsibility: As assigned by the supervisor. Reports To: MCC MANAGER Specific Knowledge Minimum of (5) five years of hands-on experience in the cement industry, particularly in developing and preparing comprehensive mechanical drawings...
Back
Top Bottom