freeman mbowe

Freeman Aikaeli Mbowe (born 9 December 1961) is a [[Tanzanian] politician and the current nominated chairman of the Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA – Political Party for Democracy and Development). He was elected to continue as a National Assembly member representing the Hai District in the Kilimanjaro Region as per the 2015 general election.Mbowe was elected to the National Assembly in 2000 representing Hai Constituency (Kilimanjaro Region). He won 64.5% of the vote, which was the highest percentage of votes won among constituencies with opposition MP's.In preparation for the 2005 elections, Mbowe was nominated to represent CHADEMA as their presidential candidate for the 2005 presidential elections. Jumbe Rajab Jumbe, a Zanzibari was chosen as his vice-presidential candidate. The election was originally scheduled for 30 October 2005, but was postponed until 14 December due to the death of Jumbe.
Mbowe constructively criticized the lengthy postponement, saying a week's delay would have sufficed and that his political party cannot afford to finance extra campaigns. Chadema eventually settled on Ms. Anna Maulidah Komu to be the running political party executive.
He placed third out of ten candidates in the presidential election of 14 December 2005, winning 5.88% of the vote. Although there are rumours that many of the votes in that election were stolen by the ruling party Chama Cha Mapinduzi (CCM) going to their presidential candidate, Jakaya Kikwete.
In the 2010 general elections, he was elected as a member of parliament for The united republic of Tanzania parliament after winning against the experienced candidate the incumbent from Mapinduzi, fuya kimbita taking 51.63% of the vote. Currently, he is the leader of the opposition in parliament after his party the chama cha demokrasia na maendeleo won a significant majority in the opposition camp in parliament.].One of the founders of CHADEMA in 1992, Mbowe is a good strategist which makes him currently one of the main strategists of the CHADEMA political party and a main executive board member in the political party to ensure the political growth of his party, of which he has steadily led as chairman since 2004, in a healthy politically competitive environment that has witnessed a steady collapse of major opposition parties since 1990s at the hands of the CCM government, the country's highly politicized police force, and intelligence.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe atoa neno baada ya matokeo, awaagiza wateule kufanya upatanisho

    Wakuu, Mbowe atoa neno baada ya Lissu kutangazwa kuwa Mwenyekiti Mpya Taifa, anza kwa kushukuru Mungu kwa zoezi zima kwenda vizuri bila ya kuwa na changamoto yoyote na kujenga chama chenye heshima, hadhi, maono, chama kilichojaa matumaini ya wote wanaoitamani kesho iliyobora zaidi. Mbowe asema...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Je, utamkumbuka Freeman Mbowe kwa mambo gani katika utumishi wa CHADEMA?

    Freeman Aikael Mbowe Freeman Aikael Mbowe, kiongozi mwenye msimamo thabiti na maono makubwa, alichaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwa mara ya kwanza mwaka 2004. Kwa takriban miaka 21, Mbowe aliongoza chama hicho kwa ujasiri na ustadi mkubwa, akifanya kazi...
  3. JamiiForums Tanzania Mimi, CCM na hawa wenzangu tumeumia sana kwa Lissu kushinda. Hii ni dalili mbaya kwetu

    Hali yangu na hawa wenzangu ambao tulijitolea kwa hali na mali kumshambulia Lissu na kumsifu Mbowe ni mbaya. Hatuna raha, tumekonda ghafla na nuru imezidi kufifia. Hiki ni kipindi ambacho tulimtaka sana Mbowe. Hatujawahi mtaka Mbowe awe Mwenyekiti kama ilivyo sasa. Kwa niaba ya wenzangu wakunja...
  4. JamiiForums Tanzania Uchaguzi Mwenyekiti CHADEMA ni aibu na Demokrasia kwa wakati mmoja

    Hii ni fundisho kwa viongozi wote kwamba Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu,na sauti ya umma si yenye kudharauliwa hata kidogo,ni wakati umefika sasa kwa viongozi wengine kujifunza haya yalitokea Chadema Jana nilikuwa nafuatilia matangazo ya Television ya uchaguzi wa Chadema,nilivutiwa na...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Endapo Mbowe asingegombea CHADEMA kingepata ufuasi , uimara na imani iliyopo sasa kwenye jamii?Mjadala ungekuwepo?

    Endapo Mbowe angeamua kumuunga mkono Lisu je wananchi wangeshuhudia demokrasia iliyoonyeshwa? Kuhusu imani kwa umma, je mjadala unaoendelea sasa ungekuwepo? Je, angepata heshima aliyonayo sasa hata baada ya kushindwa?
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kauli ya kwanza ya Tundu Lissu na John Heche baada ya Freeman Mbowe kukubali matokeo ya Uchaguzi

    Tundu Lissu - Mwenyekiti mpya CHADEMA 2025 - 2029 John Heche Makamu Makamu Mwenyekiti mpya 2025 - 2029 Hongereni sana ndugu zetu Tundu Lissu na John Heche. Pia soma Pre GE2025 - Freeman Mbowe akubali kushindwa, awapongeza Lissu na Heche kwa ushindi Kwa ushindi wenu huu, hamwezi kujua ni...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe ni G.O.A.T, kathibitisha amejenga Chama Cha Demokrasia, apewe maua yake

    Niwapongeze CHADEMA kwa kufanya Credible,Free and Fair Election ambayo ni Funzo kubwa sana kwa nchi yetu na nimpongeze Lissu kwa kushinda na Mbowe kwa kukubali kushindwa. Lakini kipekee nimpongeze Mbowe kwa kujenga Taasisi ya CHADEMA na kumaliza kipindi chake kwa kuionyesha Dunia maana ya...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lema afunguka baada ushindi wa Tundu Lissu Uchaguzi CHADEMA, Mbowe ni kaka yangu ila Lissu ni bora zaidi wakati huu

    Godbless Lema avunja ukimya baada ya ushindi wa Tundu Lissu Uchaguzi CHADEMA adai yeye kwenda kinyume na Mwenyekti Freeman Mbowe ilikuwa ngumu sana. "Nitendo gumu la kisiasa, katika matendo magumu ya kisiasa nimeshawahi kuyafanya hili ni namba moja katika maisha yangu, Mbowe ni kaka yangu, ni...
  9. JamiiForums Tanzania Wajumbe Wapiga kura katika Uchaguzi wa CHADEMA wanasinzia sana ukumbini kulikoni?

    Halafu mbona bado mapema sana my friends, ladies and gentlemen? Yaani wamepoteza umakini kabisa. Au kuna kitu wamekula au kunywa kinawafanya kusinzia kwa pamoja? Na inaruhusiwa kufanya hivyo kwenye jambo muhimu kama hili? Au ni njaa ndungu zangu? Si wapatiwe chochote kitu basi? Au ni uchovu wa...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA is not ready for prime time!

    Hiki chama kinachojinasibu kuwa ndo chama kikuu cha upinzani nchini [whatever that means], bado sana. Bado hakipo tayari kuongoza nchi. Kinaweza kuwa na miaka 30+ sasa tokea kiundwe, ukweli wa mambo ni kwamba bado hakijakomaa. Yaani zoezi dogo tu la kupiga kura ndani ya chama kuchagua viongozi...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbali na legacy Mbowe ana nini cha kuwafanyia CHADEMA?

    Wakuu, Mbowe amekuwa kama Sukuma gang lia lia, kazi ni kuongelea legacy tu, utafanyia nini chama.... aaah unajua nimetoa damu na kamasi kwenye chama hiki, nipeni niwaongoze tena :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh: :KEKLaugh: Mchango tumesikia hadi tumechoka, afu sio yeye tu ndio amejenga...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Bwege adai busara za Freeman Mbowe hazina maana yoyote. Nchi hii busara itatufikisha?

    Wakuu Mbunge wa zamani wa Kilwa Kusini, Selemani Bungara maarufu kama Bwege adai busara za Freeman Mbowe hazina maana yoyote katika nchi hii, kumlinda mtu mwizi ndio busara hiyo? "Yeye ni mtu wa busara, nchi hii ya busara, nchi hii busara itatufikisha? Busara yenyewe ipi? Kufichana...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 PICHA: Lema, Boni Yai wakigonga tano kwa furaha kwenye mkutano mkuu CHADEMA

    Wakuu Kitaalam tunaiitaje hii? Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Godbless Lema, ambaye ni wakala wa mgombea uenyekiti Taifa wa chama hicho, Tundu Lissu, akifurahia jambo na Boniface Jacob, ambaye ni wakala wa mgombea Freeman Mbowe, wakati wa uhakiki wa wajumbe katika mkutano...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ndio kwanza wanahakiki majina, bado wagombea kujinadi ndio zoezi la kura lianze! Wanatoboa kweli leo?

    Wakuu, Naona CHADEMA leo wanataka kutulaza saa tisa usiku :BearLaugh: :BearLaugh: .Maana ndio kwanza wapo kwenye zoezi la kuhakiki wajumbe, mara wamesema sijui kuna kanda ya Rukwahaikuwepo kwenye orodha, hapo inabidi wajadili tena ili naowahakikiwe. Kupoteza muda tu. Wakimaliza kuhakiki...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe amteua Boniface Jacob (Boni Yai) kuwa wakala wake Uchaguzi CHADEMA

    Wakuu Mbowe kaamua naye, kamteua Boni Yai Freeman Mbowe mgombea wa nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA amemteua Mjumbe na Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani, Boniface Jacob maarufu kama Boni Yai kuwa wakala wake katika zoezi la upigaji kura kwenye mkutano mkuu wa chama hicho ambapo wajumbe...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uchaguzi Chadema waanza, hivi ndivyo uhakiki wapiga kura unavyofanyika

    Ni rasmi; agenda ya uchaguzi utakaoamua nani atakayeiongoza Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kwa miaka mitano ijayo imeanza, na uhakiki wa wajumbe watakaofanya uamuzi umeanza. Uhakiki wa wajumbe hao unafanyika kwa kuita majina ya wajumbe wa kanda mojamoja ili kupata uhalali wa...
  17. JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa Kinyota na Nambari kwa Freeman Mbowe na Tundu Lissu

    Uchambuzi wa Numerology Numerology inahusisha kupunguza tarehe ya kuzaliwa hadi Nambari ya Njia ya Maisha (Life Path Number) ili kufunua sifa za kibinafsi na uwezo. Uchambuzi: Mbowe akiwa na 4 anaonyesha uongozi wa utulivu na wa vitendo, jambo linalovutia wanaotaka kuendeleza hali ilivyo. Lissu...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hotuba ya Mbowe Uchaguzi Mkuu CHADEMA: Bora alivyokimbia Mdahalo maana Lissu angemvua nguo kweupe!

    Wakuu, Lissu amepiga hotuba moja safi sana, Mbowe karudi kule kule kuanza kuanza kuongelea historia ya chama, mara kusifia wafanyabiashara (wanaompa hela za kuhonga wajumbe :BearLaugh: :BearLaugh: :KEKWlaugh:), mara aanze kupiga majungu kuhusu matusi kwenye chama, yaani bure kabisa. Ndio maana...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwamakula: Wajumbe wameambiwa kuipiga picha au kuweke alama karatasi ya kura kama ushahidi wa kuongezewa pesa baadaye

    Wakuu, Kupitia ukurasa wake wa X, askofu Mwamakula amasema wajumbe wameambiwa waweke alama ya ushahidi kwenye kura ili wapewe kipoozeo baadaye kwa kumchagua (Mbowe). Mambo yameanza kuwa yamoto mapema kabisa! ===== Pia soma: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA nafasi ya Mwenyekiti & Makamu...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

    Wakuu, Leo mbali na kuwa ni Uchaguzi Mkuu wa CHADEMA pia wanasherekea Miaka 32 ya CHADEMA kupata Usajili wa Kudumu, ambapo ulipatikana Januari 21, 1993. https://www.youtube.com/watch?v=6W33TIKrrOE Mbivu na mbichi kujulikana leo, tumeona mengi na kusikia mengi kila upande ukitetea kwake. Je...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…