freeman mbowe

Freeman Aikaeli Mbowe (born 9 December 1961) is a [[Tanzanian] politician and the current nominated chairman of the Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA – Political Party for Democracy and Development). He was elected to continue as a National Assembly member representing the Hai District in the Kilimanjaro Region as per the 2015 general election.Mbowe was elected to the National Assembly in 2000 representing Hai Constituency (Kilimanjaro Region). He won 64.5% of the vote, which was the highest percentage of votes won among constituencies with opposition MP's.In preparation for the 2005 elections, Mbowe was nominated to represent CHADEMA as their presidential candidate for the 2005 presidential elections. Jumbe Rajab Jumbe, a Zanzibari was chosen as his vice-presidential candidate. The election was originally scheduled for 30 October 2005, but was postponed until 14 December due to the death of Jumbe.
Mbowe constructively criticized the lengthy postponement, saying a week's delay would have sufficed and that his political party cannot afford to finance extra campaigns. Chadema eventually settled on Ms. Anna Maulidah Komu to be the running political party executive.
He placed third out of ten candidates in the presidential election of 14 December 2005, winning 5.88% of the vote. Although there are rumours that many of the votes in that election were stolen by the ruling party Chama Cha Mapinduzi (CCM) going to their presidential candidate, Jakaya Kikwete.
In the 2010 general elections, he was elected as a member of parliament for The united republic of Tanzania parliament after winning against the experienced candidate the incumbent from Mapinduzi, fuya kimbita taking 51.63% of the vote. Currently, he is the leader of the opposition in parliament after his party the chama cha demokrasia na maendeleo won a significant majority in the opposition camp in parliament.].One of the founders of CHADEMA in 1992, Mbowe is a good strategist which makes him currently one of the main strategists of the CHADEMA political party and a main executive board member in the political party to ensure the political growth of his party, of which he has steadily led as chairman since 2004, in a healthy politically competitive environment that has witnessed a steady collapse of major opposition parties since 1990s at the hands of the CCM government, the country's highly politicized police force, and intelligence.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Boni Yai: Mbowe yuko likizo. Ukimya wake haumaanishi kwamba amenuna au anafanya sabotage. Mimi naongea nae, hana akili hizo

    Wakuu, Akizungumza leo na waandishi wa habari, Boni Yai amekanusha madai kwamba Freeman Mbowe yuko nyuma ya kundi la G55, akisisitiza kuwa tuhuma hizo si za kweli. Amesema kuwa kwa sasa Mbowe yuko likizo na anaendelea na shughuli zake binafsi kama kawaida.
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Ni wakati gani ulianza kutokuwa na imani na Mbowe

    Freeman Aikael Mbowe ni miongoni mwa Waasisi na waanzilishi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA. Amekitumikia chama tangu 1992 hadi leo tuseme zaidi ya nusu ya maisha yake ameyaishi ndani ya Chadema. Nini kimemtokea hadi anaonekana kama msaliti anayetaka kukiua chama alichokiasisi. Ni...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kwa hali hii kwa nini Heche usitete na Mbowe kuna ubaya gani ukachota busara

    Mambo mengi yanaendelea kwenye chama chenu kama vile kuhama viongozi na wanachama, kukamatwa Tundu Lisu, kutekwa Mdude, kutenguliwa kamati nk je kuna ubaya gani ukienda kuonana na Mwenyekiti Mstaafu Mbowe ukiwa na baadhi ya wazee maarufu kuchota busara yake. Haitakupunguzia kitu chochote.
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA Kinondoni: Ukimya wa Freeman Mbowe unatia shaka, ajitokeze hadharani kusema kama anawapa baraka G55

    WAFUASI na Viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kinondoni wamemtaka Freeman Mbowe, Mwenyekiti Mstaafu wa chama hicho, kutoka hadharani kueleza kama anaubariki upande wa chama hicho unaodaiwa kuzua mpasuko ndani ya chama hicho (G55), au hana baraka nao. Aidha viongozi hao...
  5. JamiiForums Tanzania Maneno ya Busara ya Freeman Aikaeli Mbowe!!

    Najua watu wa Lumumba mtachangia huu Uzi bila ya kuangalia hii "clip" kwa kuwa hamna bando. Hapa Mbowe anaelezea jinsi ilivyo ngumu kuisambaratisha CHADEMA kama ilivyokuwa rahisi Kwa NCCR - Mageuzi G55 na CCM sikilizeni maneno kuntu ya Mbowe
  6. R

    JamiiForums Tanzania Brain-teasing political question: Je, Mbowe akienda CHAUMMA na G55 na kuwa Mwenyekiti. Unadhani upepo wa umati wa watu mikutanoni utabadilika?

    Mbowe anakwenda Chauma na G55 na kuwa Mwenyekiti. Unadhani upepo wa umati wa watu mikutanoni utabadilika ? Najaribu kufikiri! Naomba maoni yako!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nakukemea Freeman Mbowe

    Umekuwa mwenyekiti wa Chadema kwa miaka 20 na ni mjumbe wa kudumu wa kamati kuu ya CHADEMA lakini hukuwahi kuipenda Chadema kabisa hili limegundulika. Haiwezekani mwenyekiti wa chama ulichokiongoza kwa zaidi ya miaka 20 Tundu Lisu anakamatwa na kuwekwa ndani lakini wewe unakaa kimya...
  8. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe kamwe usidhani kuwa wenye Akili Tanzania wamepungua au hawapo tena kabisa, bali jua ya kwamba wengine tupo na tumejaa tele tu

    Yote haya yanayoendelea sasa CHADEMA (hasa waliokuwa Viongozi Waandamizi na wale wa Kundi la G55) yana BARAKA zako kwa 100% na URATIBU wako kwa Kusaidiwa na Watu ambao WAMEKUTESA mno kwa Wao kukutumia na sasa KIMKAKATI zaidi umemua tena kuwa Kwao na wanakutumia katika hili. Freeman Mbowe wenye...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Basil Lema ajitoa rasmi CHADEMA, asema ukiwa karibu na Tundu Lissu upo salama, ukiwa karibu na Freeman Mbowe haupo salama

    Katibu wa zamani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Kilimanjaro, Basil Lema amesema Watanzania walipaswa kusikia chama hicho kitanyakua majimbo mangapi katika uchaguzi wa Oktoba, lakini imekuwa kinyume badala ya wanasikia makada wangapi wanakihama. Lema ambaye amedumu katika...
  10. Q

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mnyika: Mbowe hana nia ya kuhama Chama wala kugombea Urais

    Anaandika John Mnyika kwenye ukurasa wake wa X: Nimewasiliana na Mwenyekiti Mstaafu Freeman Mbowe amenieleza hana dhamira ya kugombea urais, ubunge au uongozi wa chama chochote cha siasa katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Natambua kuwa wachache waliojiondoa CHADEMA baadhi yao wamekuwa...
  11. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mnyika, usimuamini sana Freeman Mbowe licha ya yeye kukanusha habari ya yeye kugombea uraisi kupitia chama kingine cha siasa

    Namshauri John Mnyika awe makini sana na asimuamini sana Mbowe kwa kile alichomueleza. Mnyika anapaswa kujiuliza juu ya ukimya wa Mbowe licha ya yote yanayoendelea na ni lazima ajiulilxe ni kwanini hakutoka mwenyewe hadharani kukanusha badala yake amesubiri mpaka Mnyika amtafute ndio akanushe...
  12. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Salum Mwalimu: Mbowe alitaka kupigania mifumo ili tuingie kwenye uchaguzi

    Naona bado Team Mbowe wanazidi kujikanyaga tu wao wenyewe hata hawajui hiyo 'No reforms no election' ni nini. So sad asee, === Salumu Mwalimu ambaye alikuwa ni miongoni mwa waliotangaza kujitoa CHADEMA amefanyiwa mahojiano na Wasafi Tv na kueleza kuwa lengo lwa Mbowe lilikuwa ni kupigania...
  13. Z

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nilisema bila Mbowe hakuna Chadema imara, sasa tunashuhudia anguko kubwa!

    Viongozi waandamizi walio kijenga Chama kwa jasho na damu; John Mrwma, John Mnyika, Mwalimu, Kigaiya na Katherine wamebwaga manyanga na wamesema gharika kubwa inakuja. Tulisema Lisu na Henche hawafai kuwa viongozi sasa ona chama kinapo elekea, kinakufa!!! Nasema atabaki Lisu na Henche
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tetesi: Mbowe kuungana na G55, kuondoka Chadema ili kwenda kutekeleza 'nusu mkate', huenda atahamia ACT wazalendo!

    Habari za ndani kabisa kutoka vyanzo vya uhakika zinasema CCM wako katika mkakati wa kupitisha na kubariki kwenda kutekelezwa kwa mpango wa 'nusu mkate' utakaowezesha kuwagawia ushindi wapinzani walau majimbo 50 ya uchaguzi (30 Tanganyika, 20 Zanzibar) katika uchaguzi wa 2025 huku ukimuhusisha...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Yericko na wenziwe wameumia mikeka yao kuchanwa! Waliahidiwa ubunge hata wakaenda kwao kutambika

    Wale vijana wa Mbowe waliumia sana mwenyekiti mbowe kushindwa uchaguzi! Imekuwa ngumu sana kwao kuponya majeraha kwasababu tayali waliporamba ile asali ilikuwa na ahadi nyingine! Waligawiwa pesa nyerere akaenda kununua alphad, akasafiri hadi kwao iringa kutambika. Mbowe aliwaahidi vijana wake...
  16. O

    JamiiForums Tanzania Najutia kiwango cha imani yangu nilicho kiwekeza kwa Mbowe baada ya kumsikiliza Mwalimu akizungumza

    Baada ya kutokea kilicho tokea leo, nikaanza kufuatilia wanachokisema walio ondoka, nikawa siwaelewi! Sasa muda si mrefu, katika kipindi fulani ktk Wasafi FM cha akina Charz na Osca, nikasikia majibu ya Mwalimu kuhusu tuhuma kuwa yeye na Kigaila kwamba wazazi wenzao kuwemo ktk kundi la...
  17. P

    JamiiForums Tanzania Ni Wakati wa Freeman Mbowe Kujiunga Chama Kipya Na G55..! Lakini lazima kipewe hatamu ya Uongozi...!

    Naweza kusema hii ni Bingo kwa Freeman Mbowe, G55, COVID-19 na baadhi ya wanachadema wasioridhishwa na mfumo wa sasa kuanzisha Chama Kipya cha kisiasa au kujiunga na chama kipya, lakini sharti Freeman Mbowe awe Mwenyekiti au Kiongozi Mkuu pamoja na safu yake yote. Kwasababu: Itakuwa ndiyo nguzo...
  18. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hamjatutendea haki watanzania kumpa Uenyekiti wa CHADEMA taifa Lissu ambaye familia yake yote iko nje mkamuacha Mbowe, mtuombe msamaha

    CHADEMA hamjatutendea haki watanzania kumpa Uenyekiti wa CHADEMA taifa Lisu ambaye familia yake yote iko nje mkamuacha Mbowe mtuombe msamaha Mbowe familia yake yote ipo Tanzania kasoro mtoto mmoja tu ina maana kikiinuka yeye na familia yake wataumia Lakini Lisu aweza jificha ubalozini na...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe amjulia hali Tundu Lissu, Wateta kwa saa moja Gerezani

    Wakuu! Hawa G-55 watakuwa na hali gani huko waliko kama kweli Mbowe, anayedaiwa kuwa nyuma yao ameenda kumtembelea TAL? === Mwenyekiti Mstaafu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Freeman Mbowe akiambatana na Salum Mwalimu aliyekuwa Naibu katibu Mkuu wa Chama hicho Zanzibar pamoja na...
  20. JamiiForums Tanzania Akaunti za Freeman Mbowe zimedukuliwa? Kwanini hajapost chochote kuhusu kukamatwa kwa Tundu Lissu? Ni kinyongo au gubu?

    Wakuu, Kuna yeyote amemuona Mwenyekiti wa CHADEMA aliyepita, Freeman Mbowe kapost chochote kuhusu kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu. Nimetoka kwenye akaunti zake huko X na Instagram naona mara yake ya mwisho kupost ni mwezi Januari. Ina maana huyu baba hajasikia kwamba Lissu ametiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…