freeman mbowe

Freeman Aikaeli Mbowe (born 9 December 1961) is a [[Tanzanian] politician and the current nominated chairman of the Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA – Political Party for Democracy and Development). He was elected to continue as a National Assembly member representing the Hai District in the Kilimanjaro Region as per the 2015 general election.Mbowe was elected to the National Assembly in 2000 representing Hai Constituency (Kilimanjaro Region). He won 64.5% of the vote, which was the highest percentage of votes won among constituencies with opposition MP's.In preparation for the 2005 elections, Mbowe was nominated to represent CHADEMA as their presidential candidate for the 2005 presidential elections. Jumbe Rajab Jumbe, a Zanzibari was chosen as his vice-presidential candidate. The election was originally scheduled for 30 October 2005, but was postponed until 14 December due to the death of Jumbe.
Mbowe constructively criticized the lengthy postponement, saying a week's delay would have sufficed and that his political party cannot afford to finance extra campaigns. Chadema eventually settled on Ms. Anna Maulidah Komu to be the running political party executive.
He placed third out of ten candidates in the presidential election of 14 December 2005, winning 5.88% of the vote. Although there are rumours that many of the votes in that election were stolen by the ruling party Chama Cha Mapinduzi (CCM) going to their presidential candidate, Jakaya Kikwete.
In the 2010 general elections, he was elected as a member of parliament for The united republic of Tanzania parliament after winning against the experienced candidate the incumbent from Mapinduzi, fuya kimbita taking 51.63% of the vote. Currently, he is the leader of the opposition in parliament after his party the chama cha demokrasia na maendeleo won a significant majority in the opposition camp in parliament.].One of the founders of CHADEMA in 1992, Mbowe is a good strategist which makes him currently one of the main strategists of the CHADEMA political party and a main executive board member in the political party to ensure the political growth of his party, of which he has steadily led as chairman since 2004, in a healthy politically competitive environment that has witnessed a steady collapse of major opposition parties since 1990s at the hands of the CCM government, the country's highly politicized police force, and intelligence.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kule Kenya Gen Z wanadili na Wakusanya Kodi wa Kenya, Tanzania tunadili na Mbowe ambaye hakusanyi kodi

    Gen z wanadili na Ruto ndio anaye kusanya kodi na kuzitumia vibaya, Raila wala Kalonzo hawakusanyi Kodi, Raiala yuko enzi za Moi na hakusanyi kodi za Kenya waka hapangi bajeti ya Kenya. Tanzania SAMIA ndio anaye kusanya kodi na tozo na kuzitumia kwa anasa huyu wajinga hawamuini. Wanaoambana...
  2. JamiiForums Tanzania Mbowe must go, hatukutaki!

    Hivi huyu mzee tangia ujanani mwake mpaka sasa hivi amezeeka amekuwa aking'ang'ania hiyo nafasi ya Uenyekiti ili aendelee kupiga mabilioni ya ruzuku. Sasa leo watu wamempa makavu kwamba asepe, yaani mtu kwenye chama tu hutaki kuachia madaraka ukipewa nchi si yatakuwa ya Mugabe. Aisee wewe...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Peter Msigwa: CHADEMA idhibitiwe kabla haijaleta vurugu nchini

    Aliyekuwa kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye amejiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM) hivi karibuni Mchungaji Peter Msigwa amemshauri Msajili wa vyama vya siasa nchini Jaji (mstf) Francis Mutungi kuhakikisha anafuatilia kwa karibu vyama vya siasa vya upinzani nchini ili...
  4. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Kwenye mahoteli yetu wameajiriwa Wakenya

    "Mna tabia ya kufikiri Wakenya wana akili sana, Wakenya hawana akili yoyote ya maana kuliko Watanzania ila tofauti yao na sisi wale walifundishwa Kiingereza tangu chekechea kwahiyo ukienda kwenye mabenki yetu, mahoteli ya mbuga za wanyama huko wameajiri Wakenya kwa sababu waliandaliwa kushindana...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ubaya wa Freeman Mbowe ni kuwa kiongozi bora

    Aliyekuwa Katibu mkuu wa CHADEMA mzee wetu amefichua kuwa wanaosema Mbowe ni mwenyekiti wa kudumu na kumshutumu basi wao ndiyo wachumia tumbo na wasiyo Itakia mema CHADEMA. Wengi wao wanao msema Mbowe ni wanaccm. Unajiuliza hao wana CCM wanatoa wapi hiyo huruma kwa wana CHADEMA? Mbowe ni tunu...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni fursa na wakati sasa Wanawake kushika hatamu za juu ndani ya CHADEMA

    Kwa unavyoona mambo yalivyo pale BAWACHA au hata BAVICHA, nani unadhani anaweza kuwa Mwanamke wa nguvu wa kwanza kushika wadhifa wa juu wa chama hicho Kikuu cha upinzani ukiachilia mbali uongozi alionao sasa kulingana na kundi alilopo ndani ya chama hicho? Je, ni Catherine Ruge au Halima Mdee...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM: Mbowe ajiandae kujiuzulu. Tutachukua majimbo yote ya Kaskazini

    Rejea: Kuelekea 2025 - Mbowe: Nitajiuzulu siasa 2025 endapo Chama cha Mapinduzi (CCM) kitashinda angalau kiti kimoja tu cha jimbo mkoani Kilimanjaro ——— Katibu wa NEC - Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Amos Makalla, amemtaka Mwenyekiti wa Chama cha demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)...
  8. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe: Ubaguzi wa Kiitikadi ni ujinga. Wananchi wanataka maendeleo

    Mwenyekiti Wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Mbowe amekerwa na kitendo cha baadhi ya makada huko Tanga kutaka kuzuia mkutano usifanyike katika uwanja uliopangwa. Ktk video clip hii hapa chini inaonesha Mh Mbowe akiwatolea uvivu baadhi ya viongozi wanaodhaniwa kuwa wa serikali...
  9. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti Mbowe, Kagame na Museveni ni mifano hai ya Viongozi wa Afrika. Tuipinge kwa Nguvu hii tabia

    Viongozi wengi wa Africa wakiingia Madarakani huamini wao ndio pekee wanaweza kuongoza na hata kama mambo yakienda vibaya bado huamini wenyewe pekee ndio huweza yaweka yakae sawa . Tabia hii ni ya kupingwa kama mtu mzalendo sana ni bora uweke katiba nzuri ya Nchi au Chama ili kila anae ingia...
  10. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ambaye hajawahi kuhama chama ni kiongozi wa nafasi ya Mwenyekiti pekee - Mtei, Bob Makani na Mbowe

    Makamu mwenyekiti amewahi kuhamia CCM Katibu mkuu amewahi kuhamia CCM Wabunge wamehamia CCM Mwenyekiti wa Bavicha kahamia CCM Mshauri mkuu wa Chama kahamia CCM Ni nafasi ya Mwenyekiti tu ndio haijawahi kukimbiwa Baadae mlale Unono 😀😀
  11. L

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Mbowe ambayo ameshindwa kuyatekeleza mpaka leo hii

    Ndugu zangu Watanzania, Ni lazima mfahamu ya kuwa CCM ndio tumaini la watanzania,ndio chama chenye kuaminika na kuaminiwa na mamilioni ya watanzania,ndio chama kilichobeba matumaini na hatima ya watanzania na Taifa letu,ndio mahali pekee ambako unaweza kukaa na kuishi kwa amani na matumaini...
  12. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe, Lema wanaunguruma muda huu Kabuku, Tanga

    https://www.youtube.com/watch?v=2mJ3YbfEti0
  13. JamiiForums Tanzania KWELI Mbowe alisema, ukitaka kujiunga na chama cha wizi ingia CHADEMA, lakini alisahihisha na kusema ingia CCM

    Nimeona video inasambaa mtandaoni ikimnukuu mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe akisema kama unataka kujiunga na chama cha wadhulumaji, wizi wa kura, ulaji wa rasilimali za Taifa, giza na rushwa, ingia CHADEMA. Nimeshituka sana kusikia maneno haya kutoka kwa Mbowe. JamiiCheck tusaidieni...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Udikteta wa Mbowe watajwa chama kutoimarika

    Nafasi ya Mwenyekiti kwamba inaitwa Mwenyekiti wa maisha hata makamu anachagua yeye yale mnayoyaona ni kiini macho kuwa kuna DEMOKRASIA. Na kwamba ni kijana wa CCM, yale makelele mkiona anaanza ujue asali inakuwa haijamfikia, akishalamba analala usingizi wa pono. Pia soma: Aliyekuwa...
  15. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe achaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD)

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), makamu wake akiwa ni Kiongozi wa Chama Cha ACTwazalendo, Dorothy Semu.
  16. J

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Freeman Mbowe kuwaunga mkono Luhaga Mpina, na Wafanyabiashara wa Kariakoo hii hapa

    Freeman Mbowe anadai serikali imeelemewa na madeni ndiyo maana kodi zimekuwa kubwa. Kulingana na maelezo yake asilimia 51% ya bajeti ni kwa ajili ya kulipa mikopo ya serikali. Kutokana na mzigo huo wa madeni serikali inalazimika kuwagandamiza wananchi kwa kodi.
  17. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe aingia Ngorongoro na kupokelewa Kishujaa

    Taarifa ikufikie Popote Ulipo kwamba , Mwamba wa siasa za Africa , Freeman Mbowe ameingia Ngorongoro kwa kishindo na kuhutubia Maelfu ya Wananchi Akihutubia Umati mkubwa wa Wananchi, Mbowe amedai kwamba Chadema iko Tayari kuhakikisha kwamba Haki za Jamii ya kimasai zinalindwa kwa gharama...
  18. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe: Siwezi gombana na Lema, mama yake atanipigia Simu

    Kuna watu hapa hawasalimiani, Lema mpaka anakimbia anaogopa kugombea kanda, shughuli ya mitandaoni hiyo, katandikwa mtandaoni mwenyekiti wa kanda mwenye mamlaka ya kanda yake, kiongozi wenu, wako viongozi ambao ni wa kawaida kabisa wa majimbo, wa wilaya, wananchama wa kawaida wanaweza...
  19. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe: Kuna Watu wanasema Nina mgogoro na Tundu Lissu nawaambia Watasubiri sana, Chopa inaanza operation Karatu na Nitakuwa na Tundu Lissu!

    Mwenyekiti wa CHADEMA Mbowe amesema wale wanaodhani ana mgogoro na Tundu Antipas Lissu na wanasema CHADEMA imepasuka Watasubiri sana. Mbowe amesema Chopa inaanza operation Jimbo la Karatu na ndani ya Chopa atakuwemo yeye Mbowe na Tundu Lissu. Mlale Unono 😃😃🔥 ====== Freeman Mbowe akikanusha...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Arusha: Freeman Mbowe aongoza Vikao vya Mashauriano Kanda ya Kaskazini

    Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Yule Mwamba wa Siasa kwenye eneo la Maziwa Makuu, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema, Chama cha siasa kinachotajwa kuungwa mkono na Watanzania karibu wote, anaongoza kikao cha Mashauriano cha Chama Chake huko Arusha. Ifahamike kwamba Mbowe ni Mjumbe wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…