freeman mbowe

Freeman Aikaeli Mbowe (born 9 December 1961) is a [[Tanzanian] politician and the current nominated chairman of the Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA – Political Party for Democracy and Development). He was elected to continue as a National Assembly member representing the Hai District in the Kilimanjaro Region as per the 2015 general election.Mbowe was elected to the National Assembly in 2000 representing Hai Constituency (Kilimanjaro Region). He won 64.5% of the vote, which was the highest percentage of votes won among constituencies with opposition MP's.In preparation for the 2005 elections, Mbowe was nominated to represent CHADEMA as their presidential candidate for the 2005 presidential elections. Jumbe Rajab Jumbe, a Zanzibari was chosen as his vice-presidential candidate. The election was originally scheduled for 30 October 2005, but was postponed until 14 December due to the death of Jumbe.
Mbowe constructively criticized the lengthy postponement, saying a week's delay would have sufficed and that his political party cannot afford to finance extra campaigns. Chadema eventually settled on Ms. Anna Maulidah Komu to be the running political party executive.
He placed third out of ten candidates in the presidential election of 14 December 2005, winning 5.88% of the vote. Although there are rumours that many of the votes in that election were stolen by the ruling party Chama Cha Mapinduzi (CCM) going to their presidential candidate, Jakaya Kikwete.
In the 2010 general elections, he was elected as a member of parliament for The united republic of Tanzania parliament after winning against the experienced candidate the incumbent from Mapinduzi, fuya kimbita taking 51.63% of the vote. Currently, he is the leader of the opposition in parliament after his party the chama cha demokrasia na maendeleo won a significant majority in the opposition camp in parliament.].One of the founders of CHADEMA in 1992, Mbowe is a good strategist which makes him currently one of the main strategists of the CHADEMA political party and a main executive board member in the political party to ensure the political growth of his party, of which he has steadily led as chairman since 2004, in a healthy politically competitive environment that has witnessed a steady collapse of major opposition parties since 1990s at the hands of the CCM government, the country's highly politicized police force, and intelligence.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 PICHA: Mbowe, Lissu walivyokutana uso kwa uso kwenye Kikao cha Kamati Kuu Chadema

    Wakuu Vipi tusiamini vicheko😀? == Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwa na Makamu mwenyekiti wake, Tundu Lissu wakati wa kikao cha Kamati Kuu ya Chadema kinachoendelea makao makuu ya chama hicho, Mikocheni Dar es Salaam, leo Ijumaa, Januari 10, 2025...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe: Nikishindwa uchaguzi narudi kwenye biashara zangu

    Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema atapokea matokeo ya kushindwa katika kinyang'anyiro cha uenyekiti endapo wapigakura watasema hatoshi na atarudi kwenye biashara zake. Mbowe amesema hayo leo Ijumaa, Januari 10, 2025 alipohojiwa katika kipindi cha Power Breakfast kinachorushwa na...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu awataja viongozi wa CHADEMA ambao hawajatubu kwa Mbowe na anawashughulikia ndani ya Chama

    Tundu Lissu amewataja baadhi ya viongozi na Wanachama wa CHADEMA ambao hawajatubu kwa Mwenyekiti wa Chama, Freeman Mbowe na anawashughulikia ipasavyo ndani ya Chama. "Tukikutana hivi kwenye vikao hatupigani ngumi, hatuko kama tulivyokuwa mwanzoni. Mwenyekiti aliyekwenda gerezani, sio Mwenyekiti...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe amvaa Dkt. Slaa kisa Tundu Lissu, adai "mpiga debe wa CCM hapaswi kutufundisha CHADEMA"

    "Tunaona watu ambao walishaondoka CHADEMA huko miaka ya nyuma kama akina Dkt Wilbroad Slaa ambao walikimbia CHADEMA wakaenda Chama cha Mapinduzi wakapewa na zawadi ya ubalozi, eti leo naye amekuwa ndiye mpiga debe mkubwa wa Makamu Mwenyekiti wangu kutaka apewe Mwenyekiti wa chama na kubeza na...
  5. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe: Si kweli kuwa Chadema hakuna ukomo wa uongozi

    "Kwanza nizungumze kitu kinachoitwa ukomo wa madaraka, ndani ya taasisi ya Chadema na ujue Chadema ni chama cha siasa ni kundi la watu ambapo ukijunga na chama chetu kama ambavyo ungejiunga na chama kingine chochote kitu cha kwanza unakubalina na katiba ya chama," "chama chetu kimeweka ukomo wa...
  6. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe: CHADEMA ni kubwa kuliko mtu yeyote

    Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe alipokuwa akizungumza na clouds amesema "Hapa Dar es Salaam kila Mtaa unaouona una uongozi wa CHADEMA wa Baraza la Chama, la viongozi wa chama. Na katika Vijijini zaidi ya 12,000 zaidi ya 80% tuna viongozi katika vijiji nchi nzima na hatimaye sasa Vitongoji...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ezekia Wenje: Msimshangae Mbowe, mbona Nyerere alikaa Madarakani muda mrefu zaidi

    Ezekia Wenje, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Mwalimu Julius Nyerere alihudumu madarakani kwa muda mrefu zaidi kuliko Freeman Mbowe. Pia, Soma: - Lissu ataka Ukomo wa Madaraka kwenye nafasi za uongozi CHADEMA. Asema itapunguza 'Uchawa' - Wenje: Mwaka 2020 tulimpitisha Lissu kwenye Urais...
  8. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe kutoka anguko la Simba "BOB JUNIOR" wa hifadhi ya Serengeti

    Wakuu Salam. Bob Junior Simba Mtawala wa Serengeti hifadhi ya Serengeti ambaye ambaye alitawala kwa miaongo isiyopingua mitatu. Bob junior alivuma kwa utawala wa kibabe ndani ya hifadhi yeye na vijana wa familia yake. Alipendelea utawala wa kiimla, na Kujiona Serengeti ni yeye na yeye...
  9. JamiiForums Tanzania Mbowe na Tundu Lissu, baada ya uchaguzi kupita, Mungu anataka muwe kitu kimoja kama zamani ili muwalindie watanzania hiki chama

    Japokuwa kwa watu wa majira na nyakati wameshajua nani mshindi kwenye sanduku la kura, lakini pia mambo hubadilika kama mmoja wao akiamua kumuachia mwenzake. Ila wakiendelea kugombea wote wawili na wakaingia kwenye kupigiwa kura, basi kuna mmoja ana neema zaidi ya mwingine kupitia mwaka huu...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu anatakiwa kukatwa Jina lake kutokana na kuwachafua viongozi wenzake na Kuharibu taswira ya chama

    Ndugu zangu Watanzania, Kama kuna kitu CHADEMA wanapaswa kujifunza kutoka CCM basi ni suala zima la kusimamia maadili, nidhamu,sheria,kanuni, taratibu,miongozo na katiba ya chama.Ndani ya CCM hakuna aliye mkubwa zaidi ya chama,hakuna aliye juu ya chama,hakuna mwenye kusema pasipo yeye hakuna...
  11. JamiiForums Tanzania Hapa ndipo mashaka yalipo kuhusu uwalali wa Mh. Mwenyekiti wangu, Why Filimbi na makelele ya kutetea yatoke kule?

    Kupitia maandishi ya mwana CCM bwana Hamis kigwangalla, napata mashaka makubwa sana. Uwenda wewe ndiye mtu ambaye unawauza viongozi wenzio kwa wenye mamlaka... ! Tumeanza kuwa ma-bro sasa, Vijana Chipukizi na watoto wanatutazama kama viigizo, wanajifunza kwetu, tuwe makini sana. Kaka yangu...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Sasa hivi Mwenyekiti (Mbowe) anaitisha maandamano wanaenda yeye na binti yake, Watu wameenda wapi?

    Akizungumzia hali ya uungwaji mkono na Wananchi baada ya kuwasusia maandamano ambayo yamekuwa yakiitishwa na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe. "Watu wameenda wapi?, mwaka 2011 (Arusha) kulikuwa na maandamano ya CHADEMA kupinga yaliyokuwa yametokea kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2010, maandamano...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nani anastahili kushinda nafasi ya Uenyekiti CHADEMA kati ya Tundu Lissu na Freeman Mbowe?

    Na Suleiman Mfua Katika siku za hivi karibuni ndani ya Siasa za Tanzania kumekuwepo na mjadala mkubwa kuhusu nani anayestahili kupewa ridhaa ya kua mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mjadala huo umetokana na Vigogo wawili wa Chama hicho Wakili Tundu A. Lissu (Makamo...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kaka yake Lissu: Mbowe anatukuza utajiri wake na kumnyanyasa Lissu kwa umaskini wake

    Alute Munghwai, kaka yake Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, ameonyesha kukerwa na kauli za Freeman Mbowe na Tundu Lissu, ambazo wamekuwa wakirushiana kwenye mahojiano. Wagombea hao wa nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA Taifa wanadaiwa kutoka nje ya mstari na badala yake walipaswa kueleza...
  15. JamiiForums Tanzania Kama Rais wa Ivory Coast mwenye miaka 83 anagombea tena Urais, Mbowe ni nani Hadi aachie Uenyekiti na miaka 63?

    Itakuwa aibu bwana Mwenyekiti Mbowe kukimbia vinyago alivyocuonga mwenyewe na kukabidhi chama kwa vibaraka wa Mabeberu. Wazee wanagombea huko Ivory Coast mara ya 4 sembuse wewe Mbowe kijana una Nguvu halafu mbichi kabisa 😂😂😂 Twende kazi Mwamba Mbowe...
  16. JamiiForums Tanzania Lissu: Kwanini wananchi hawataki kutusikiliza tena

    Kwenye mahojiano na BBC namsikia Lissu anasema kuwa Mbowe aliyeenda jela sie yule aliyetoka. N watu wawili tofauti. Kwamba baada ya Mbowe kupewa alivyopewa amekuwa mkimya, mpole, Mdiplomasia, n.k. Kwamba wale wananchi waliokuwa tayari kuwafia, kuwafuata, kuwasikiliza na kukifuata chama, leo hii...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Team Mbowe hadi leo hii hawajawaambia Wanachadema wanaenda kufanya nini wakipewa nafasi

    Aiseeh! Team ya Mbowe Mpaka dakika hii wametepeta. Sijui kama wanajua kama wapo kwenye Kampeni za uchaguzi. Fikiria Mpaka Muda huu hawajaeleza Mbowe Akiwa Mwenyekiti atafanya Jambo gani. Pengine nao hawajui wakipewa nafasi nini watafanya. Watu wengi waliposikia Mwenyekiti Mbowe anahojiwa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe kuzungumza na Taifa Ijumaa, Januari 10, 2025

    Freeman Mbowe Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema kesho Ijumaa tarehe 10/01/25 anatarajiwa kuzungumza na Taifa kupitia Clouds Media kuanzia saa 12 asubuhi katika kipindi cha Power Breakfast. Freeman Mbowe mwanasiasa mwenye mvuto zaidi kwa sasa hapa nchini anatetea nafasi yake ya uenyekiti katika...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tetesi: Taarifa za ndani zinadai Mbowe anashinikiza Lissu akatwe kwenye uchaguzi wa Mwenyekiti Taifa

    Taarifa za ndani kabisa zinasema mbowe anashinikiza Mhe. Tundu Lissu aenguliwe kwenye kinyanga'nyiro cha ugombea uenyekiti ili abaki peke yake. John Mnyika asijaribu kushiriki dhambi hiyo itamtafuna na kizazi chake. Mbowe must go, amechoka na amechokwa!
  20. JamiiForums Tanzania Mbowe atambue hata yeye ikibainika anachukua Rushwa anaweza kufukuzwa Uanachama. Asidhani hakuna wenye uthubutu wa kufanya hivyo

    Mpo salama! Tumeona kinachotokea Korea ya Kusini. Rais wa Korea Kusini alivyowajibishwa. Mbowe asidhani kuwa kwa vile yeye ni mwenyekiti hawezi kuchukuliwa hatua zozote ikiwa itabainika anachukua Rushwa au kutoa Rushwa CHADEMA kama cha cha Demokrasia lazima kifikie hatua na kuwa na watu wenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…