"Baba Padri (Chesco Msaga) nakushukuru sana kwa kunisaidia uniombee nimalize na mimi kipindi changu, kwa wale wanaotaka niondoke leo labda nikifa leo, lakini kama bado niko hai bado nina mwaka na nusu" Dr. Kitima.
"Kwahiyo uniombee nimalize vizuri kadri ya mpango wa Mungu tufanye kazi ya Yesu...
Kupitia ukurasa wake Mtandao wa Facebook Asofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza amehoji;
"Raia wakichochea wanatekwa, wateule na Polisi wakichochea nani awateke? Tumkamate aliyempiga Fr. Kitima ndipo tumhoji Padre"- Amechapisha Askofu Bagonza
Ikumbukwe Desemba 5, 2025 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam...
Mkuu wa mkoa Dar es salaam ameagiza polisi na wanasheria kumhoji Kwa kina na kisha kumfikisha mbela ya sheria Fr Kitima Kwa kuhusisha Tanesco na utekaji
Tukumbuke Fr Kitima alisema kuwa kuwa Tanesco walizima umeme maksudi ili avamie na kujeruhiwa
Hii imetushangaza RC Chalamila kumchukulia...
GTs,
Nimeona Maria Sarungi akimtahadharisha Fr. Kitima kuwa kuna askari polis wanne wametumwa na Samia kumuua Fr. Kitima, na hii inaendana na biti la RC Chalamila kusema anaunda kikosi kazi kumchunguza Fr. Kitima kauli yake. Maana yake RC chalamila alivyo boga anategemea amuite Fr. Kitima ili...
Kipindi nasoma pale SAUT Mwanza 2012-2015, Padre Kitima ndo alikuwa mkuu wa chuo chetu pale.
Namfahamu binafsi na nilikuwa nikiongea nae na kushirikishana mambo kadha wa kadha
Fr Kitima naona amekuwa maarufu kipindi hiki baada ya kuwa Katibu wa TEC, naona vilaza wasiomjua vizuri wanajaribu...
"Tulifanya kikao hapa tuliwashauri serikali tarehe 30 mwezi wa nne usiku wake ambapo waliamua kuniua mimi, ndiyo tulipitisha yale maazimio na uzuri yamekabidhiwa serikalini mwezi wa nane tarehe 27. Pamoja na kwamba ilikuwa tuyakabidhi siku iliyofuata wakataka kuniua Mungu bariki nikapona, najua...
Maaskofu wa Kanisa Katoliki ambao Katibu wa Baraza la Maaskofu na waumini wao, wataipa CCM kura?
Kanisa Katoliki ndo Baba Mlezi wa Imani zote za Kikristo. Si moja kwa moja, ila by implication! Kwa kifupi, Wakristo madhehebu mengi yametoka Kanisa Katoliki. Sisi Wakristo ni familia moja
Maaskofu...
Baada ya hapo, ni wazi watamlenga Rais wa TEC Wolfgang!!
Mkikaa kimya, Wahuni watautangaza uongo wao uwe mkubwa sanaaa ili Jamii iuamin ionekane kua 'Alikua kalewa '.
Niwashauri TEC , kabla suala hili halijapoa, itisheni Maandamano ya Amani Kwa Waumini wenu Nchi nzima.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.