fomu ya urais

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    GE2025 Mpina afika INEC kurejesha fomu ya Urais ila ameishia Getini

    Mgombea wa Urais kupitia Act Wazalendo, Luhaga Mpina amewasili katika viunga vya Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Njedengwa, Jijini Dodoma kurejesha fomu ya Uteuzi. Baada ya kufika Mpina na msafara wake wameonekana kusimamishwa getini huku Viongozi wa Chama chake wakionekana kuhojiana na...
  2. Just Pray

    GE2025 Salum Mwalimu wa CHAUMMA atinga na nyomi kuchukua fomu ya Urais

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu, ameambatana na mgombea mwenza wake Devotha Minja kufika kwa mbwembwe katika ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Njedengwa, jijini Dodoma, kuchukua fomu za uteuzi wa Rais na...
  3. DuaZaMama

    GE2025 Mgombea wa nafasi ya urais kupitia chama cha (NLD) Doyo amefika kuchukua fomu akiwa na Bajaj

    Mgombea wa nafasi ya urais kupitia Chama cha National League , Doyo Hassan Doyo akiwa na msafara wake amefika katika ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Ndejengwa Jijini hapa akiwa ndani ya bajaji. Doyo ametinga katika viunga hivyo leo Jumapili, Agosti 10, 2025 saa 5:29 asubuhi...
  4. B

    Humphrey Polepole ajibu mapigo baada ya Samia Suluhu Hassan kuchukua fomu ya urais 09 agosti 2025

    09 Agosti 2025 Mtaa wa Kajificheni Intaneti HUMPHREY POLEPOLE AJIBU MAPIGO BAADA YA RAIS SAMIA KUCHUKUA FOMU YA URAIS LEO 09 AGOSTI 2025 https://m.youtube.com/watch?v=u2E3mF2fqQo Mubashara kwa kustukiza Humphrey Polepole mambo matatu Samia Suluhu Hassan kuchukua fomu ya kugombea urais Kwa...
  5. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Kunje achukua fomu ya urais Tanzania

    Mgombea Urais kupitia chama cha wakulima AAFP, Kunje Ngombale Mwilu, amesema kuwa chama hicho kitajikita katika kuhamasisha uzalendo pamoja na Amani ya nchi. Kunje ameyasema hayo baada ya kuchukua Fomu ya kugombea Urais Katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu Aidha...
  6. DuaZaMama

    GE2025 Agosti 9, 2025: Rais Samia achukua fomu ya urais

    Chama cha Mapinduzi kesho, Mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi, Dk.Samia Suluhu Hassan na Mgombea Mwenza Dk.Emmanuel Nchimbi, wanaenda kuchukua fomu...kwenye Tume Huru Ya Uchaguzi Dodoma"- Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, CPA Amos Makalla
  7. L

    GE2025 Rais Samia Kuchukua Fomu ya Urais Mwezi Ujao. Vijana Wajipanga Kumsindikiza Kwa Maandamano Makubwa Yatakayo Itikisa Nchi

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan anatarajiwa kuchukua Fomu Ya Urais Mwezi Ujao. Hii ni Baada ya hii leo Tume Huru ya Uchaguzi kutangaza kwa tarehe ya uchukuaji na urejeshaji wa Fomu Za Uteuzi wa...
  8. SSH2025_2030

    GE2025 CCM mwaka huu hawatoi Fomu ya Urais?

    Tulioshangaa 2020 CCM kuprint nakala moja ya Urais kwa Urais tumepigwa kitu kizito na Chama kutokutoa Fomu Hata Ile moja ya ngama. Kila mtu atachanganyikiwa wakati ukifika. Bado kuzima internet
  9. Robert Heriel Mtibeli

    Inaonekana kulikuwa na Kambi ya Polepole Iliyokuwa inahitaji Kuchukua Fomu ya Urais. Mabaya mengi yametokea, Polepole Kimya! Hili limemtoa nje

    Hamjambo Wote! Pamoja ujasirisiasa aliokuwa nao Polepole kwa sakata lake, wiki hii! Kwa Hilo nilimpongeza. Lakini baada ya kumsikiliza kwenye Press yake Leo. Kwa kutazama body language yake, na anavyoongea. Nimebaini kuwa Humphrey Polepole anayoyafanya ni matokeo ya kambi ambayo yupo kukosa...
  10. Samia atosha tukutane2030

    Humphrey Polepole Agosti 2020 ulisema hadharani kuwa fomu ya Urais ni 1 tu ya Magufuli, kwanini isiwe 2025?

    Kwa mifumo mibovu iliyowekwa na CCM, kuna nafasi ukikaa unakutana na bahasha nyingi sana. Unakuwa kama umeshika mpini, wengine wameshika makali. Kupata mgao wa milioni 50, 70, 100 bila msingi wowote ni jambo la kawaida tu Polepole na watu wachache ndani ya CCM wanalalamikia maamuzi ya Samia na...
  11. M

    Muda wa kuchukua fomu ya urais ACT bado unaendelea? Nguvu kutoka ndani inaendelea kunisukuma

    Mimi si mwanachama wa chama chochote. Hata hivyo ninawito kutoka ndani ya nafsi ikinitaka nigombee nafasi ya Urais wa JMP. Nafsi yangu inaniambia niwatetee CHADEMA, WAISLAM NA WAMASAI DHIDI YA HISIA ZA KIBAGUZI ZINAZODAIWA KUWAKANDAMIZA DHIDI YA USHIRIKI HURU KATIKA SIASA, MAKAZI NA SHERIA ZA...
  12. JanguKamaJangu

    Ally Mayay: Nimerejesha Fomu ya Urais TFF lakini nimekosa endorsement

    Mchezaji wa zamani wa Klabu ya Yanga, Ally Mayay, leo Juni 20, 2025 amerudisha fomu ya kugombea nafasi ya Urais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF). Mayay amegusia suala la baadhi ya wagombea kukosa endorsement na akasema kuwa hizo zote ni changamoto ambazo hujitokeza hasa nyakati kama hizi...
  13. Mindyou

    PreGE2025 Hamad Rashid wa ADC achukua fomu ya kuwania Urais Zanzibar

    Wakuu, Aliyekuwa Mwenyekiti wa Alliance for Democratic Change (ADC), Hamad Rashid Mohamed amechukua fomu kuwania urais Zanzibar, akieleza vipaumbele vyake ni kujikita kwenye kilimo, elimu, afya, mazingira na utalii. Amechukua fomu hiyo leo Mei 18, 2025 katika ofisi za chama hicho Mtopepo Mjini...
  14. Waufukweni

    PreGE2025 Ruangwa wamlipia Fomu ya Urais Dkt. Samia na Ubunge Majaliwa

    Umoja wa Wachimbaji kwenye mgodi wa Namungo uliopo kwenye wilaya ya Ruangwa Mkoa wa Lindi wamejitokeza na kuamua kumuunga mkono Rais wa Tanzania Dkt. Samia suluhu Hassan kwa kumlipia fomu ya Urais na fomu ya Ubunge kwa Mbunge wa Ruangwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa. Wachimbaji hao wamesema...
  15. Mindyou

    PreGE2025 Dorothy Semu achukua fomu ys kugombea Urais ndani ya ACT Wazalendo

    Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Dorothy Semu leo tarehe 22 Aprili, 2015 amefika Makao Makuu ya Chama hicho Jijini Dar es Salaam kuchukua fomu ya kuomba kuwania nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akidokeza kuwa yupo tayari kuchuana na Mgombea wa CCM Samia Suluhu Hassan ikiwa...
  16. Waufukweni

    PreGE2025 Hassan Doyo achukua Fomu ya Urais kupitia Chama cha NLD, ataja vipaumbele Kumi

    Katibu Mkuu wa chama cha National League for Democracy (NLD), Hassan Doyo amechukua fomu ndani ya chama hicho kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwania urais wa Tanzania, huku akieleza sababu ya kutaka nafasi hiyo, akibainisha vipaumbele kumi. Doyo amesema vipaumbele hivyo atavitumia iwapo chama hicho...
  17. Mpigania uhuru wa pili

    Mwaka 2020 polepole alisema anayetaka fomu ya urais amfuate magufuli huku anacheka kwa dharau na kebehi na samia anafanya kilekile kwa utofauti

    Mkutano wa ccm umempitisha Rais samia kama mgombea wa nafasi ya urais lakin unamlaumuje Samia ilihali mwanzilishi wa haya yote ni magufuli na wapambe wake Mwaka 2020 polepole huku anacheka kwa kebehi na dharau alisema anayetaka fomu ya urais amfuate magufuli lilikua ni tukio lililochukuliwa kwa...
  18. Erythrocyte

    PreGE2025 Aliyekuwa mwanachana wa CHADEMA Mbunge Jesca Kishoa aomba 2025 itolewe Fomu 1 tu ya Urais kwa Samia Suluhu Hassan

    Bado haijajulikana alipata wapi ujasiri wa Kuwapangia Watu wengine mambo yao ikiwa yeye hayuko huko, Au mimi ndio sielewi? Ujumbe wake huu hapa Mbunge wa Viti Maalumu kupitia Mkoa wa Singida, Jesca Kishoa Jesca Kishoa amewaomba Wakazi wa Kata ya Gumanga kuwa na imani na Rais wa Tanzania, Dkt...
  19. L

    PreGE2025 Wabunge mnasubiri nini kumchangia Rais Samia pesa ya kuchukulia Fomu ya Urais?

    Ndugu zangu watanzania, Kama kuna Muhimili unapaswa kuwa msitari wa mbele kumtia moyo Rais Samia ,basi ni Muhimili wa Bunge.Hii ni kwa kuwa wabunge kwa macho yao ni mashuhuda wa namna Rais Samia alivyo miminia na kutiririsha Mamilioni ya pesa majimboni mwao kwa ajili ya miradi mbalimbali ya...
  20. Nyendo

    PreGE2025 Butiku: Acheni kumchangia Rais Samia fomu ya kugombea Uras, kuendelea kufanya hivyo ni kuunga mkono rushwa

    Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Foundation, Joseph Butiku amewaonya wanasiasa na wanachama wa CCM kuacha mara moja kampeni za kumchangia Rais Dkt. Samia Suluhu fomu ya kuwania nafasi hiyo tena kwa mwaka 2025-2030, akisema kuendelea kufanya hivyo ni kuunga mkono rushwa. Butiku...
Back
Top Bottom