fomu ya urais

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyendo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Butiku: Acheni kumchangia Rais Samia fomu ya kugombea Uras, kuendelea kufanya hivyo ni kuunga mkono rushwa

    Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Foundation, Joseph Butiku amewaonya wanasiasa na wanachama wa CCM kuacha mara moja kampeni za kumchangia Rais Dkt. Samia Suluhu fomu ya kuwania nafasi hiyo tena kwa mwaka 2025-2030, akisema kuendelea kufanya hivyo ni kuunga mkono rushwa. Butiku...
  2. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wakuu wa shule kumchangia fedha ya kuchukua fomu ya Urais Rais Samia 2025, hiki ni "kituko" cha kufungia mwaka

    Kama mdau wa Elimu na maendeleo ya kijamii, taarifa za wakuu wa shule kumchangia Mama Samia fedha za kuchukua fomu ya Urais kabla ya mchakato husika kuanza linaleta ukakasi na maswali mengi juu ya uwezo wa kupambanua mambo wa hawa viongozi walioaminiwa kusimamia elimu ya watoto wetu. Je...
  3. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Vijana kumchukulia Fomu ya Urais Rais Samia 2025

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika kumekucha,kumepambazuka Tanzania. Bendera imepandishwa,imepandishwa na vijana. Ni bendera ya upendo ,upendo kwa Rais samia kipenzi cha vijana aliyeleta na kuinua matumaini katika mioyo ya vijana,baada ya kutoa maelfu ya ajira kwa vijana serikalini pamoja na...
Back
Top Bottom