Umewasha wahi kuona kwenye movie .Timu ya SWAT au kikosi chochote cha kijeshi inapovamia kwenye nyumba ya kikundi cha wahalifu. Afisa mmoja hutupa kitu ndani ya chumba, na hulipuka kinatoa mwanga mkali na kelele kubwa. Wahalifu hao waneshtushwa na kuonekana kama kuzubaa muda mwingine kuziba...
Nauza Sony Alpha NEX-5 14.2MP Digital Camera ipo katika hali nzuri kabisa original box Na inauzwa pamoja na lens zake 2 kama unavyoonekana katita picha imetumika kidogo sana ipo kama mpya bei TZ 650000. LAKI SITA NA NUSU.
ISO range: 200-12800
HD 1080 video
TWIN LENS KIT - 18-55mm and...
Basi pamekuepo na uhitaji mkubwa sana na changamoto kwa baadhi ya watu hasa pale simu zao zinapozima gafla muda mwingine kuwaka kwa kuganda hivyo wameshindwa kupata ufumbuzi au wamepata lakini kwa bahati mbaya wakashindwa kufanikiwa.
Leo tukutane hapa ntatoa tool zenye watumiaji wengi wa simu...
Mada juu inajieleza naomba mnisaidie flash yangu yenye document muhimu inagoma kufunguka inadai iformatiwe. Sasa Kuna njia mbadala ya kupata nyaraka zangu muhimu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.