fine za latra

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. McLaren

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa wamiliki na usafirishaji wa abiria Mwanza: Daladala zimeandamwa na Polisi. Kila askari ameelekezwa lazima akamate makosa matatu

    Wakuu, Akizungumza kwenye Mkutano wa wadau wa kupokea maoni ya wadau wa usafiri wa umma kwa njia ya barabara Yusuph Lupilia (Mwenyekiti wa wamiliki na usafirishaji wa abiria Mwanza) analalamikia ongezeko la makosa na tozo kubwa zinazowakabili wamiliki Daladala Alichokisema: Faini Kubwa na...
  2. McLaren

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi LATRA: Msafirishaji yeyote atakayesitisha huduma tunamsimamishia leseni na akirudi tutamfungia tiketi mtandao

    Akizungumza na waandishi wa habari, Mkurugenzi Mkuu wa LATRA, Dkt. Habib Suluo wakati wa kufunga semina ya siku mbili ya waandishi wa habari iliyofanyika Kibaha, Mkurugenzi Mkuu wa LATRAamesema LATRA itafuta leseni za kampuni za usafirishaji zitakazobainika kusitisha huduma kutokana na kupanda...
  3. Brown Mduma

    JamiiForums Tanzania Nataka kujua fine za Latra endapo nitakamatwa napakia abiria kwa gari yangu binafsi

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza mm nina noah new model kutokana na shida za usafiri mara nyingi huwa napakia vichwa(abiria) pale Magufuli na kuruka mkoani chapu nakurudi ila sijui ikitokea nimedakwa siku moja na Latra huo msala unaishaje au faini ikoje. Mwenye kujua anijuze
  4. witzone2

    JamiiForums Tanzania Kwanini fine za LATRA zinaanzia 250,000 hata kama kosa ni Dogo kiasi Gani?

    Umekuta ni kawaida fine za LATRA zinaanzia 250,000 hata kama kosa ni Dogo kiasi gani kwa vyombo vya moto hasa magari. Napenda kuuliza hii ndo Sheria yao ilivyo au wanajiamulia tu wenyewe? Karibu Kwa wanaofahamu hili
Back
Top Bottom