feisal salum

Feisal Salum Abdalla, known as Fei Toto (born 11 January 1998) is a Tanzanian professional footballer who plays as a midfielder for Tanzanian Premier League club
Dar es Salaam Young Africans S.C

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Feisal amevuta milioni 90 kutoka kwenye klabu yake ya Azam baada ya kufunga magoli 19 ya ligi kuu

    Kiungo huyo amechukua kiasi hicho cha pesa ni moja wapo ya kipengele cha mkataba wake na Azam fc kila msimu akifikisha magoli 10 na zaidi atakuwa akipata milioni 90. kwahiyo tuseme Feisal katika miaka yote mitatu ya kimkataba atalamba milioni 270 kama atafikisha magoli hayo 10,ambapo kwa sasa...
  2. JamiiForums Tanzania Mchezaji yeyote duniani hutafuta vitu viwili tu, Kucheza na kushinda Makombe

    Jamani moja ya kitu ambacho wazungu wametupiga K.O nacho ni hili. Wachambuzi wengi walimwingiza mkenge Fei kwa kigezo cha kusema eti Mpira ni ajira na kuna siku utafikia kikomo. Yes, tunakubali hatukai ila ukweli Mpira wowote duniani lazima Uucheze na lazima utwae makombe. Kama hupati nafasi...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Feisal Salum unajisikiaje kwa sasa?

    Pale unapoondoka kwa kiburi, jeuri na nyodo na hata kuwatolea maneno ya jeuri viongozi wa timu. Nikaona hadi familia yako ikaingilia kati. Nikaona hadi mamlaka kuu zikakusimamia na kukubeba. Ogopa mtu mzima uliyemkosea na akakuambia HEWALA WEWE NDIO MKUBWA. Binafsi ninaamini wewe haukuwa...
  4. JamiiForums Tanzania Hongera sana Feisal Salum (fei toto), umeonyesha kwamba wewe ni mchezaji muhimu sana, na umeonyesha kwamba unapaswa ucheze kwa dk 80 ama 90

    Huyu mchezaji anakipaji kikubwa sana cha mpira wa miguu, ana uwezo mkubwa mno wa kutuliza presha ya timu uwanjani, ana uwezo mkubwa mno wa kutuliza na kuifanya timu imiliki eneo la kiungo, ikumbukwe kwamba ana uwezo wa kucheza namba 6, 8 na 10 Ukimtoa tu na kumuweka benchi basi ujue dimba...
  5. JamiiForums Tanzania Nguzo ya Taifa Stars inashikiliwa na safu ya ulinzi ya Yanga

    Tukiweka ushabiki pembeni, safu ya ulinzi ya Yanga imethibitisha kwa misimu miwili sasa kuwa ni safu ngumu sana kupitika si tu katika mashindano ya ndani ila hata ya kimataifa. Kuna jinsi hawa vijana wanajua kuwajibishana ndani na nje ya uwanja kiasi kwamba kila mmoja wao anahakikisha hazembei...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Nani kiungo bora kati ya Max Nzengeli na Feisal Salum

    Tuongee ukweli sote tunajua Feisal ndo kiungo namba moja mzawa Kwa ubora nchi hii, na kiungo wa nje ya nchi Bora wako wengi. Tupo kijiweni tunajaribu kuangalia nani mkali hasa kati safi ya kiungo kati ya Max Nzengeli na Feisal Salum. Nani ana uwezo mkubwa kuliko mwenzake. Hatumuongelei Chama...
  7. JamiiForums Tanzania Huyo Mpenzi uliyenaye atakuvumilia katika Matatizo? Mpenzi wa Fei Toto aliolewa wakati wa Sakata la Fei na Yanga

    Akizungumza katika 'Intavyuu' maalum na Mwananchi Feisal Salum maarufu Fei Toto amefunguka yafuatayo kuhusu mahusiano yake. "Lile sakata liliniathiri kwenye mambo mengi sana sio kwa upande wa kucheza pekee, wakati niko kwenye wakati mgumu kama ule kila wakati unafikiria hii kesi itaishaje...
  8. JamiiForums Tanzania Big up kwa SAMAKIBA foundation, Wape tabasamu, saidia wazazi na Mwamnyeto foundation.

    BILA Kujali timu unayoishabikia wala Mchezaji unayemshabikia.....hili SUALA la Wachezaji wanaocheza ndani na wale wanaocheza nje ya Tanzania Kutoa misaada ya kuwagusa Moja kwa Moja jamii inayowazunguka Ni Jambo jema ambalo linapaswa kuungwa mkono na kuigwa wachezaji wengi pamoja na vilabu...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Yanga itaendelea kufaidika na Feisal Salum kwa mujibu wa vipengele vya mkataba

    Ni wazi yanga hawakukubali kumuuza feisal kwenda Azam kinyonge bali walipiga hesabu ndefu na zenye faida, Yanga atanufaika na mauzo ya feisal akiuzwa sehemu yeyote nje ya nchi kwa kupata asilimia 25 ya mauzo yake, na akiuzwa, kutolewa kwa mkopo ama kuvunja mkataba na kusajiliwa na timu yeyote...
  10. JamiiForums Tanzania Tukilimaliza la Feisal Salum tulirudie la SportPesa

    Wakati mgogoro wa Yanga na Feisal Salum ukionekana ukienda kumalizika, tukumbuke pia kulikuwa na mgogoro mwingine wa kimkataba kati ya Yanga na mdhamini wao mkuu SportPesa. Ilionekana kutokana na ratiba ngumu za mashindano, mgogoro wa Yanga na SportPesa uwekwe pembeni kwanza hadi msimu...
  11. JamiiForums Tanzania Clouds Media acheni uhuni, mahojiano yenu na Feisal Salum siyo professional!

    Baada ya kuangalia mahojiano ambayo Feisal Salum amefanya na Clouds Media, nimeshangazwa sana na kitendo chao cha kuachia mambo ya "off-air" yaruke hewani tena kwa muda mrefu. Kuna video ambayo imekuwa inasambaa ambayo inasikika Feisal akizungumza na Wakili wake pamoja na watangazaji wa Clouds...
  12. JamiiForums Tanzania Feisal Salum anatafuta pesa za penati baada ya kushindwa

    Iko hivi, Feisal Salum na Wakili wake wakiwemo wanaomdanganya wanafahamu kabisa huko CAS hawezi kushinda kwasababu mara nyingi CAS wao hupitia sana sana hukumu iliyotolewa na shirikisho la mpira Tanzania, hivyo siyo kwamba hela ya kuendeshea kesi milioni 60 hawana,hizo zipo. Kinachofanyika hao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…