faragha za watu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Video: Zitto Kabwe akiunga mkono faragha za watu hata kama ni ushoga ulipigwa marufuku kisheria

    Zitto Kabwe akihojiwa na Edwin Odemba katika kipindi cha medani za siasa, amesema anaheshimu faragha za watu wote. Hii ni baada ya kuhojiwa kama yupo tayari kuitangazia dunia kuwa anaupinga ushoga. == Yaliyozungumzwa ktk video hiyo. Edwin Odemba alimuuliza Zitto Kabwe kama yupo tayari...
  2. funaku

    Wizara ya Habari iingilie kati Wanahabari wanaoingilia Faragha za watu

    Inasikitisha kuona chombo cha habari kinatoa taarifa za ndani za kifamilia kiasi kuleta taharuki na ugomvi kwenye familia. Huu ni uandishi wa hovyo na unapaswa kupigwa marufuku.
  3. Roving Journalist

    Dkt. Khalid Mohamed - Waziri wa Ujenzi (SMZ): Tunatakiwa kuwa waangalifu wa kila jambo, Teknolojia inakua, faragha za Watu zinaingiliwa

    “Sasa hivi tunaoishi katika Dunia hii tunatakiwa kuwa waangalifu wa kila jambo.” Ni kauli ya Dkt. Khalid Salumu Mohamed, Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, Serikali ya Mapindizi Zanzibar (SMZ) aliyoitoa wakati akifungua rasmi mafunzo ya Dhana ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi kwa Maafisa...
  4. The Sheriff

    ‘Content Creators’ jitahidini kuzingatia utu na faragha za watu mnaowahusisha kwenye maudhui yenu

    Moja kwa moja kwenye mada. Huenda mimi si hadhira sahihi kwa baadhi ya maudhui fulani ambayo wengine wanayapenda huko mtandaoni. Hata hivyo, maudhui yanaposambazwa waziwazi mtandaoni, mtu yeyote anaweza kuyaona na watengeneza maudhui hawawezi kujua kwa uhakika kama maudhui yao yatafikia tu...
Back
Top Bottom