fani

Fani Chalkia (Greek: Φανή Χαλκιά, [faˈni xalˈca], born February 2, 1979), also transliterated as Halkia or Khalkia, is a retired Greek hurdler.Chalkia was born in Larissa, and represented Olympiacos. She won the gold medal in the women's 400m hurdles at the 2004 Summer Olympics in Athens. During the semifinals Halkia set an Olympic record of 52.77 seconds.
On August 16, 2008, during the 2008 Summer Olympics in Beijing it was announced that she tested positive for the banned substance methyltrienolone. Chalkia denied she has taken any banned substance, and asked for her 'B' sample to be tested, which also tested positive the next day. On December 12, 2008, the IAAF announced that she would be banned from the sport for two years.
On February 19, 2016, Fani Halkia was unanimously acquitted of all charges for the use of banned substances. The Court of Appeal ruled that the former champion had fallen victim to a circuit of adulterated drugs. Along with her, her trainer Giorgos Panagiotopoulos was also acquitted, who was facing charges of supplying banned substances.

View More On Wikipedia.org
  1. TET, imeridhia pendekezo la tahasusi mpya ili kuondoa tahasusi ambazo zina fani mbili

    Taasisi ya Elimu Tanzania imepokea barua yenye Kumb. CA.229/238/01A/14 ya tarehe 14 Machi 2024, kuhusu mada tajwa hapo juu. 3. TET, imeridhia pendekezo la tahasusi mpya ili kuondoa tahasusi ambazo zina fani mbili. Pia, katika orodha hii TET imeongeza tahasusi zilizopitishwa kwa ajili ya mkondo...
  2. Upishi na ushonaji bado ni fani zinazoweza kumfanya mtu asilale njaa

    Majirani zetu kama Kenya, Uganda, Zambia, DRC na nchi zingine zinazotuzunguka hawatuwezi kabisa kwenye mapishi. Wabongo kwa upishi ni hatari. Mara zote ninapokuwa nje ya Tanzania huwa ninapata taabu sana kwenye suala la vyakula. Kwa mfano Zambia ni jipu. Huko Zambia wanajua ugali tu. Vitu kama...
  3. UFADHILI WA SAMIA (SAMIA SCHOLARSHIP EXTENDED DS/AI+) KATIKA FANI ZA SAYANSI YA DATA, AKILI UNDE NA SAYANSI SHIRIKISHI

    Hellow , kuna yeyote alieomba huu ufadhili?mchakato upoje hadi Sasa?
  4. Najaribu fani ya uchekeshaji ila watu hawacheki kwanini?

    Nimekuwa nikiamini najua kuchekesha sana ila watu wananikataa. Juzi nimeenda Coco beach na nikakusanya watu ili kuwachekesha ila hawakucheka. Haiwezekani mimi nawachekesha watu ila wao hawacheki. Ni dharau? Unadhani hao watu wana shida gani? Na nitawasaidiaje waelewe?
  5. MSAADA: Fani niliyosomea imegawanyika mara mbili AJIRA PORTAL

    Niende moja kwa moja, Nimesoma Ordinary Diploma in Laboratory science and Technology... Pale kwenye kuchagua kozi kuna Diploma in Laboratory science and technology na pia kuna Diploma in Laboratory technology Changamoto ni kuwa nimechagua Diploma In Science and Laboratory Technology...kazi...
  6. Bado fani ya ushonaji ina soko. Mnaoenda VETA someni hiyo

    Miaka kadhaa iliyopita nilibahatika kutembelea eneo la viwanda vya ushonaji huko Huanghuagang karibu na Ouzhuang & Dongshankou jimboni Guangdong, nchini China nikajifunza mengi. Ila kikubwa zaidi nilichojifunza ni kuwa wachina walichotuzidi ni skills tu kwenye ushonaji. Mashine wanazotumia ni...
  7. Orodha ya Wasanii ambao hata wafanye nini hawawezi kurudi tena kwenye game... wageukie fani zingine

    Hawa ni wale wasanii ambao bado hawajaukubali ukweli na kila wakihojiwa wanasema wanaanda album au kuna kazi zao zinakuja mashabiki wasikilizie tu; 1. Q Chief 2. TID 3. Baraka da Prince 4. Young Killa 5. Mh. Temba 6. Chege 7. Rich Mavoko 8. Aslay 9. Maua Sama 10. AY 11. Fid Q 12. Joh Makini 13...
  8. Fani gani ambayo unatamani ungekuwa nayo

    Tupeni michongo ya fani mbalimbali ambazo ulikuwa unatamani uzipate ila kwasasa imekuwa changamoto, Ili vijana tuishi nazo
  9. Ni fani gani ukiwa nayo huwezi kulala njaa, popote duniani?

    Harakati za kuvuka boda zinaendelea Nikiwa kama up coming graduate, baada ya masomo siwezi kukaa bongo land Bora nikasafishe mitaro UK au Sweden huko kama vipi niwe mlinzi Dubai kuliko kuangaika bongo Kwa wale wataalamu na diasopora ni fani ipi nikiwa nayo nchi yoyote hata kama sijui Lugha...
  10. Nahitaji kazi, fani yangu ni fundi mitambo (mechanical technician)

    Nahitaji kazi, fani yangu ni fundi mitambo (mechanical technician) -> Naishi Dar es salaam -> mawasiliano: inbox
  11. Wanahitajika watu wa fani mbalimbali kwaajili ya Microfinance Mbeya Mjini

    Habari! kama una ndugu au ni wewe mwenyewe na unashahada ya masuala ya fedha..Uhasibu au uchumi unaweza apply kwenye KAZI zifuatazo. 1) managing director - awe na masters ya Finance au masuala ya fedha na uchumi na uzoefu WA kutosha. 2) credit au loan officers - nafasi tano. 3) Teller -...
  12. K

    Madakari,Manesi zisiwe Fani za kuwastaafisha kabisa!

    Habari Wana JF,Kama kichwa Cha habari hapo juu,Tulimpeleka jirani yetu Ambaye alipatia changamoto kidogo ya Afya na kumpeleka General hospital hapa Dodoma. Nilichokiona ni Hawa madaktari vijana,Hawako makini sana tofauti na madaktari watu wazima!,Wapo bize na simu na mambo ya Wala hawajali kama...
  13. Nina mpango wa kwenda nje ya nchi, fani gani Zina market Sana??

    Nchi kama Canada, Australia bubai, Scotland sweezeland Poland nk Ni fani gani ambazo naweza kuzipata veta alafu niluke nje ya nchi kutafuta kipato. Nina shahada ya maendeleo ya jamii. Karibuni kwa mawazo yetu mazuri.
  14. Y

    Kubadili fani katika utumishi wa umma

    Habari Wana JF naomba kuuliza . Je? Kunauwezekano wakubadili fani baada ya kuajiriwa ( mfano nimeajiriwa katika wizara ya mambo ya ndani katika fani ya electrical na badae nikaenda kuongeza elimu nikachukua fani nyingine ya electronics and telecommunications inauwezekano wakanibadilishia fani...
  15. KAZI zote/ fani zote upatikana kwenye meli za watalii omba

    Meli ni sawa na Dunia inayoelea majini mwaka mzima masaa 24 yenye watu zaidi ya elf 10 sawa na uwanja wa mpira na wote wanahitaji huduma za kila siku. Kazi ndani ya meli za utalii (cruise ships) ni nyingi na zinahusisha maeneo mbalimbali ya utumishi, uendeshaji, na usimamizi wa meli. Baadhi ya...
  16. M

    Zipi fani zinazotolewa na veta kwa sasa ni nzuri kwa mabinti

    Fani zipi za ufundi nzuri kwa watoto wetu wa kike , Nina mtoto wa mama yangu mdogo kaja kwangu nataka kumpeleka course za ufundi maana ndio naona Kuna ajira nyingi, kumrudisha shule na kufanya arudie mitihani naona haitamsaidia sana au kumpeleka vyuo vya NACTE naona ni wastage of time and...
  17. TRA kuna fani hazipo kwenye job careers yenu nini mustakabali wake kwa wasomi wa Tanzania

    Ndugu .. Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo, Kuna fani hazipo kwenye job careers ya TRA. Mustakabali wake ni upi zimekaaje na kwanini hazipo ,je fani zinazotolewa na vyuo vya Tanzania hazijulikani zote. Je, mamlaka mnatusaidiaje wasomi ili fani zetu zote ziwepo kwenye career ya TRA ili...
  18. Natafuta Ajira /kazi nimesomea Fani ya umeme jinsia KE

    Habari wana-JF. Mimi ni binti Kwa sasa makazi yangu yapo Dar es Salaam Natafuta Kazi au ajira katika taasisi au Kampuni zinazojihusisha na maswala ya umeme. Nimesomea Fani ya umeme hadi Level three. (111). Ninauwezo mkubwa wa kufanya shughuli hii Kwa ufanisi mkubwa na ninafundishika pia ...
  19. M

    Ni vyuo gani vya Nje ya Tanzania ni vizuri kwa Kozi ya Afya?

    Wakuu Habari zenu, Wataalam wa fani ya Afya naombeni ushauri. Ni nchi gani kwa bara la ulaya vyuo vyake viko vizuri kwa fani ya afya upande wa ufamasia. Nataka nimpeleke dogo huko lakini bado sijajua chuo na nchi ipi nzuri.
  20. Natafuta kazi, fani ya mipango miji(Bsc. Housing and Infrastructure planning)

    Habari, nina degree ya housing and Infrastructure planning (Mipango miji) nimemaliza chuo kikuu Ardhi mwaka 2023 nipo Dar es Salaam. Natafuta nafasi ya kazi au hata ya kujitolea hata kwenye kampuni binafsi . Nitashukuru sana kwa msaada wako.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…