ezekiel wenje

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PAYE

    GE2025 Ezekiel Wenje: Kupiga Kura siyo suala la Vyama vya Siasa ila ni la Kikatiba

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Victoria, Ezekiel Wenje, amesema suala la kwenda kupiga kura si la vyama vya siasa, bali ni la Mtanzania mmoja mmoja kama ilivyoainishwa kwenye Katiba ya Nchi. Wenje ameyasema hayo leo, Oktoba 28, 2025, katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza, wakati...
  2. R

    GE2025 Wenje: Sasa hivi nimetoka CHADEMA, wanasema sina akili

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Demkrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Victoria ambaye kwa sasa amehamia Chama cha Mapinduzi (CCM), Ezekiah Wenje akizungumza katika mahojiano ya kipindi cha dakika 45 ITV ameeleza namna uongozi wa CHADEMA haupendi kukosolewa wala kuambiwa ukweli "Ukiwa nao...
  3. McLaren

    GE2025 Ezekiel Wenje: Ukiona miezi 3 mwanaume yupo gerezani na mke hajamtembelea, ujue sio kiongozi

    Wakuu, Ezekiah Wenje, Kwenye kampeni za Chama Cha Mapinduzi CCM kwenye Viwanja vya CCM Buza, Temeke Mkoani Dar Es Salaam Oktoba 23, 2025 alisema: Leo nataka niwakere, uongozi unaanza kwenye familia, ukiona baba wa familia yupo gerezani zaidi ya miezi mitatu na mke hajawahi kwenda kumuona wala...
  4. DuaZaMama

    GE2025 Ezekiel Wenje: Wapinzani wamechelewasha Katiba Mpya

    Kada wa wa zamani wa chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA Ezekia Wenje amesema kuwa wapinzani wa ndio waliochelesha upatikanaji wa katiba mpya, wenje ameyasema hayo wakati akizungumza katika kampeni za chama cha mapinduzi CCM leo Oktoba 21, 2025 Jijini Dar Es Salaam “Waliochelewesha...
  5. Heparin

    GE2025 Sugu: Wenje rudisha familia yako Tanzania kutoka Canada, kwasasa huna tishio la kisiasa na sio Mkimbizi

    Haya sasa urudishe familia yako toka Canada, maana sasa huna tishio la Kisiasa tena na sio Mkimbizi. Na yule kaka yako (RIP) ambaye ulisema aliuwawa na CCM kwenye uchafuzi wa 2020 uwaombe sasa WAMFUFUE pia… NB: Matako yako Wenje.
  6. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Ezekiel Wenje ajiondoa CHADEMA na kujiunga rasmi na CCM

    Nilijua huyu baba awezi kujishikilia muda wote CHADEMA, na hivi alitajwa sana na Lissu kwenye hela za Duli basi ilikuwa ni suala la muda tu😂 =========== Mbunge wa zamani wa Nyamagana na mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya ziwa Victoria Ezekiel Wenje leo amatengaza rasmi kuhamia CCM na kukikacha...
  7. Idugunde

    Ezekiel Wenje galasa mpenda fedha ataisaidia nini CCM?

    Kwa CHADEMA ya Lissu ambayo haipendi wanaolinda matumbo yao kuliko maslahi ya umma. Wenje kuondoka CHADEMA kuna hasara gani?
  8. chiembe

    Ezekiel Wenje awatosa na kuwatenga Heche, Lemma na Mnyika kwenye ziara yake ya mkoani Kagera

    Amekacha! Huo ndio usemi wa vijana wa kileo unaoweza kutumika kueleza hatua ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kanda ya Victoria, Ezekhia Wenje kutoonekana katika mikutano ya kampeni ya chama hicho ya "No reforms, No election" inayoendelea kwenye kanda yake. Tangu...
  9. Mindyou

    Godbless Lema: Wenje ni muongo muongo, anayebebwa na watu kama kina Abdul. Hastahili kuwa mwanachama wa CHADEMA

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini na ambaye alitajwa kuratibu vuguvugu la Join the Chain, Godbless Lema akizungumza na wanahabari siku ya Ijumaa Januari 17, 2025 mkoani Dar es Salaam amezungumza yafuatayo: "Fikiria anakuja mtu anayetaka kuwa...
  10. Mindyou

    Ezekiel Wenje: Lema ndiye aliongoza kumshughulikia Zitto Kabwe mpaka kuondoka CHADEMA

    Wakuu, Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Victoria, Ezekia Wenje, amesema aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema, ndiye aliyeongoza mpango wa kumuondoa Zitto Kabwe katika chama hicho baada ya kupata laptop yenye baadhi ya taarifa...
  11. Mindyou

    Ezekiel Wenje: Huwezi kupata katiba mpya kwa kuandamana barabarani

    Wakuu, Kumbe hata kwenye suala la Katiba Mpya hawa CHADEMA hawakubaliani? Wenje anasema kuwa huwezi kuandamana kupata Katiba Mpya kama ambavyo baadhi ya wana CHADEMA wanaamini. Mna uhakika team Mbowe watatupatia Katiba Mpya kweli?
  12. Mindyou

    PreGE2025 Ezekiel Wenje: Dkt Slaa alikuwa anataka aifute CHADEMA kwa msajili wa vyama. Leo Lema na Lissu wanataka arudishwe kamati kuu

    Wakuu, Wenje amesema kuwa Dkt Slaa kupitia kitabu chake cha "Nyuma Ya Pazia" alisema kuwa CHADEMA ni chama cha kigaidi hivyo kuleta uezekano wa chama hicho kufutwa na msajili wa vyama kwa tuhuma za ugaidi. Wenje amesema kuwa inakuwaje Lissu na Lema wanataka kumrudisha mtu kama Dkt Slaa kwenye...
  13. Mindyou

    Ezekiel Wenje: Kuhusu zilipoenda pesa za Join The Chain muulizeni Godbless Lema. Yeye ndo alikuwa Mwenyekiti!

    Wakuu, Kwa muda mrefu sasa kumekuwa na maswali kuhusu wapi ilienda michango ya Wanachadema waliyoitoa kwenye kampeni ya Join The Chain. Leo Ezekiel Wenje, amesema kuwa asihusishwe tena na fedha hizo kwani Godbless Lema ndiye alikuwa Mwenyekiti wa kampeni hiyo
  14. Mindyou

    Ezekiel Wenje: Peter Msigwa na Lissu walipanga kufanya mapinduzi kipindi Mbowe yuko gerezani. Mimi nilikataa kuwa muasi

    Wakuu, Mambo yamezidi kupamba moto CHADEMA. Kwenye Press conference ya leo amesema kuwa Lema na Lissu walikuwa wanapanga kufanya mapinduzi ndani ya CHADEMA wakati Mbowe yuko gerezani na kwamba yeye ni team Mbowe kwa sababu alikataa kuwa muasi ya mapinduzi hayo. Yaani Wenje ameamua kwenda...
  15. Waufukweni

    Ezekiel Wenje ajibu mapigo ya Tundu Lissu na Godbless Lema, mazito yafichuliwa CHADEMA

    Wakuu Mjumbe wa Kamati Kuu na Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Victoria, ambaye pia ni Mtia Nia wa Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa, Ezekiel Wenje, anazungumza muda huu na Waandishi wa Habari. https://www.youtube.com/live/qAERflDyoZU Aliyoyazungumza Ezekiel Wenje "Marafiki zangu wote...
  16. Red sky

    Ezekiel Wenje Chadema Haina Pesa?

    Nimemsikia mjumbe wa kamatikuu Ya Chama cha Democrasia na Maendeleo (CHADEMA) Na mwenyekiti wa kanda ya Victoria, Mh Ezekiel Wenje akiwa Wasafi kwenye kile kipindi kinacho muogopa Tundu Lisu, akijalibu kuhadaa wananchi kua Chadema hawana pesa zakutosha kuendesha shughuli zao za kisiasa nchi...
  17. The Palm Beach

    PreGE2025 Video: Tundu Lissu ajibu hoja za Freeman Mbowe kuhusu Maridhiano na CCM/Serikali, Mahusiano yake na M/Kiti na hoja za Wenje kuhusu rushwa ya Abdul

    Uchaguzi wa mwenyekiti CHADEMA (T) safari hii na awamu ni very unique... Ni wa kipekee kwa sababu awamu nne (2004, 2009, 2014 na 2019) ambazo mwenyekiti wa sasa Mh Freeman Mbowe alikuwa akishinda kwa ulaini kwa sababu ya udhaifu na prominent ya washindani... Awamu hii, mwaka huu hali ni ngumu...
  18. Cute Wife

    LGE2024 Ezekiel Wenje: Mkipiga kura msikubali kuuziwa uoga, kapige kambi kwenye kituo. Kanuni haijasema twende mita ngapi

    Wakuu, Mambo moto, ni mwendo wa kujitutumua kwa kwende mbere! ==== Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 Baada ya kupoteana kwenye...
Back
Top Bottom