ex wangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Aisee Dar weekend inakuwa harakati za ngono sana, waendesha bolt ndio tunajua, yani hadi nimekutana na ex wangu ameitishwa

    Tangu saa moja napeleleka watu lodge tu. Weekenda bomba!!!!🔥
  2. Ishi na mwanamke kiakili

    TRUE STORY. Maisha hua yanatupa fundisho sana lakini hilo fundisho huwezi jua utalipata lini na wakati gani kwa muda gani. Back then wakati niko chuo mkoa X kuna baridi kinyama sana huko sasa wakati ule nilikua playboy sana hivyo sikuwahi kuumia na mapenzi kabisa na niliwahi sema aah mapenzi...
  3. Jinsi Shemeji yangu (Rafiki wa Ex wangu) alivyoniambukiza Gono na UTI sugu

    Mu hali gani wakuu... Nakumbuka kuna demu niliwahi kuwa naye kwenye mahusiano ya kuibaiba miaka kadhaa nyuma ambae muda huohuo alikuwa ni shemeji pia sababu ya urafiki wake na mwanamke wangu wa kipindi hicho. (Around 2015-2020) Mahusiano yenyewe yaliibuka kwakuwa mpenzi wangu halisi alipata...
  4. Nimemkumbuka Ex wangu, huenda angekua mwema kwani.

    Nikiwa chuo kuna bint alinipenda sana, asilimia kubwa yeye ndio alielua analazimisha uhuaiano, na sikua na kitu wala nini, ali ni care sana. Tatizo nilikua namchukulia poa,na nilimliza kweli kweli, mpaka mwisho wa siku akaamua kukubali matokeo. Sasa baada ya chuo, niko na kazi na nikatafuta...
  5. Rafiki wa Ex wangu ananitongoza

    Lamomy alisema niendelee kushea episodes za maisha yangu, basi leo kuna jambo limenitokea na hapa ndiyo pa kusemea. Iko hivi, mnajua nimeachana na yule mwanaume bondia, sasa huyo Ex wangu alikua na rafiki yake wa karibu sana ambaye wamekua wote tokea wadogo, familia zao ni marafiki yani ni...
  6. B

    Namshukuru sana ex wangu kwa kukejeli maumbile yangu ya kiume tulipoachana. Kauli yake kwangu iligeuka na kuwa baraka kubwa sana kwangu

    Tukiwa tayari tumezaa wote watoto wawili wa kiume uchumi wangu ulidorora hali iliyo leta mgogoro ambao baadae ulipelekea kuachana. Watoto nilibaki nao Mimi nikawapeleka kwa mama yangu mzazi. Sababu? Siku ya tukio yalitokea majibizano akanimwagia uji wa moto, haukunijeruhi sana ila ulinipa makovu...
  7. W

    Naombeni ushauri nikubali hili sharti nililopewa na ex wangu

    Habari wana jukwaa,uzi huu ni mrejesho wa ule uzi wangu unaosema “kwanini utoe namba kama hutaki kutoa ushirikiano”?. Baada ya kuona sipati chochote kutoka kwa namba mpya nikaamua nirudi kwa ex wangu wa muda mrefu kidogo na kutaka kurudiana nae hatimaye amenipa masharti mojawapo ni hili “...
  8. Nilivyopata mpenzi siku ya valentine nikiwa na ex wangu

    Habari ndugu yangu. Bila shaka upo salama kabisa na Afya tele . Pole kwa misukosuko ya hapa na pale katika kulisaka tonge 🙏 Waungwana maisha ni safari ndefu ila sio kwa Kila mtu inakuwaga ndefu sana. Kuna wale wenye bahati waliosoma kwanzia madarasa ya awali mpaka chuo bila kurudishwa ada na...
  9. 0

    Jinsi Ex wangu anavyonisurubu kupitia mtoto

    .....
  10. FUNZO..Nilidhani ex wangu amerudi sababu ya upendo kumbe ana mimba ya jamaa yake amemtelekeza!

    Nisiwachoshe sana, kuna binti mmoja nilitokea kumpenda sana, ila yeye hakunipenda alimpenda mshikaji mwingine, lakini kwa sababu nilihofia kumpoteza binti mrembo kama yule niliendelea kubembeleza penzi na kujipa imani kuwa '0ne day atanielewa na atakuwa sababu hata yule mshikaji mwingine alikuwa...
  11. Harmonize: Wanawake fanyeni Surgery mpendeze kama Ex wangu, sina mahusiano na Malaika

    Staa wa Bongo Fleva, Harmonize, amekanusha uvumi wa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Malaika Cute, akisema kuwa ni rafiki yake wa kawaida tu. Mbali na kukanusha hilo, Harmonize amewashauri wanawake kufikiria kufanya upasuaji wa urembo (Surgery) ili kupendeza zaidi, akidai kuwa dunia ya sasa...
  12. Ex wangu kaniepusha na ajali ya kuangukiwa na ghorofa Kariakoo

    Nilitakiwa kuweka bandiko hili siku ya tukio. Ni vile tu nilipatwa na kihoma cha mfadhaiko na mshangao wa hali ya juu kilichopelekea kumtafakari zaidi Israel na kujisahau kuingia JF kwa Baba yetu mpendwa, Mh. Maxence Melo Wiki moja kabla ya tukio niliachana na Deborah, hii ni baada ya kichapo...
  13. Kitu gani ulimfanyia Ex wako mpaka sasa ukikumbuka unajutia kwanini ulimfanyia

  14. Kila mke wangu akifanya madudu, namkumbuka Ex wangu alikua na akili nikamuacha maana hakua mzuri

    Huyu niliechagua kumuweka ndani bwana story anazoweza yeye ni za mapenzi, mapishi na na gossip kwa mbali. Mengine yote haelewi, unaweza hata kumtumia picha ya kawaida ya meme na asipate ujumbe uliokusudiwa. Nilipendea uzuri wa sura na umbo eeh ila department ya kichwani ni kama kuna shida...
  15. G

    Ex wangu 1 tu kati ya wanne walioolewa tulioachana bila ugomvi ndie mwenye msimamo, wengine penzi linaweza kuamshwa muda wowote

    nina ma ex wanne ambao tuliachana vizuri bila ugomvi kwa sababu za masomo, kazi na majukumu mengine, katika hawa ni mmoja tu ambae kashikilia msimamo wake sijaona akiwa na shauku ya kupasha kiporo, wengine watatu tunaweza tusichat hata miezi lakini muda tukionana ama tukichat ni kama season 2...
  16. EX wangu ananitumia picha zake bila mimi kumuomba

    Hi kitu nashindwa kuelewa malengo yake Ni nn ,Ni kunionesha kuwa amenenepa au kunanin? Jana na leo naona ananitumia picha zake na kutaka pia Zangu nimtumie anasema hajaniona Muda mrefu .mm huwa sipost Wal kuview page za watu wa kawaida sanaa Kama unafanya biashRa ndio huwa natazma dp yako Sasa...
  17. Ex wangu anataka nimpe mbinu ili mpenzi wake mpya awe na uwezo wa mkubwa wa kushiriki tendo la ndoa

    Alianza kunitafuta toka last week na kujisemesha semesha kuwa ananimiss na namiss jinsi ambavyo tulikuwa tunakutana kimwili kisawa, mimi nikawa namjibu tu kifupi. Huyu demu aliamua kuachana nami baada ya kupata jamaa mmoja brazamen ana pesa, mimi akaniona pangu pakavu tia mchuzi, akasahau...
  18. Kuna tofauti gani kati ya Degree Holder aliye pita Diploma, na degree holder aliye pitia form 5 & 6 ( A level)?

    Kuna tofauti gani kati ya degree holder aliye pitia diploma na degree holder aliye pitia form 5&6?
  19. Mshikaji wangu anatembea na ex wangu

    Kuna mshikaji wangu anatembea na ex Wangu ambaye nimeachana nae miezi 5 iliyopita, kiukweli huyo ex simpendi lakini mshikaji wangu ananiboa sana, ina maana alikosa demu mwingine mpaka aje kutembea na mashemeji zake Naomba ushauri nimfanyeje huyu mshikaji wangu maana naona ni kama anasafiria...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…