evaline munisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dkt. Evaline Munisi: Ughaibuni Loan ni hatua ya kujenga imani mpya kati ya Serikali na vijana wa Kitanzania

    Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu- Kazi, Ajira na Mahusiano, Dkt. Evaline Wilbard Munisi amesema uzinduzi wa Ughaibuni Loan si uzinduzi wa mkopo pekee, bali ni hatua ya kujenga imani mpya kati ya Serikali na vijana wa Kitanzania, hasa vijana wenye ujuzi wanaotamani kutumia fursa za...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Waziri Evaline Munisi kusimamia kwa karibu masuala ya haki za wafanyakazi, ajira kwa vijana na kuimarisha mahusiano kazini

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemtaka Naibu Waziri katika Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Ajira na Mahusiano, Evaline Munisi kusimamia kwa karibu masuala ya haki za wafanyakazi, ajira kwa vijana na kuimarisha mahusiano kazini. Rais Samia amebainisha hayo Jumatano Mei 6...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Evaline Munisi ateuliwa kuwa Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu(Kazi, Ajira na Mahusiano)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi na uhamisho wa viongozi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, uteuzi na uhamisho huo ni kama ifuatavyo:- (i) Mhe. Dkt. Evaline Wilbard Munisi (Mb.) ameteuliwa...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Angela Kizigha na Dkt. Evaline Munisi waapishwa kuwa Wabunge wa Bunge la Tanzania, Aprili 9, 2026

    Wabunge wateule, Angela Kizigha na Dkt. Evaline Munisi, Aprili 9, 2026, wameapishwa rasmi kuwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mbele ya Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu. Angela Kizigha na Dkt. Evaline Munisi waliteuliwa kushika nafasi hiyo na Rais Samia Suluhu , mnamo...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 NCCR Mageuzi: Reforms zimeshafanyika, uchaguzi utafanyika

    Chama cha NCCR-Mageuzi kimefanya uchaguzi wake mkuu na kumchagua Evaline Munisi kuwa Katibu Mkuu wa chama hicho kwa kipindi cha miaka mitano ijayo. Katika uchaguzi huo uliofanyika leo, Machi 30, 2025, katika Ukumbi wa St. Gaspar jijini Dodoma, Evaline Munisi alipata kura 34, akimshinda Saganda...
Back
Top Bottom