Mwanachama mpya wa ACT-Wazalendo, Emmanuel Ntobi leo Jumatatu, Juni 30, 2025 amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya chama kugombea ubunge wa Shinyanga Mjini
Ntobi aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mkoa wa Shinyanga aliyehamia ACT-Wazalendo mwezi huu...
Kada wa ACT Wazalendo, Emmanuel Ntobi ameteuliwa kuwa Naibu Msemaji wa Sekta ya Habari, Mawasiliano na TEHAMA kwenye Baraza Kivuli la ACT Wazalendo. Uteuzi huo umefanywa leo Juni 17, 2025 na Kiongozi wa Chama Dorothy Semu.
TAARIFA KWA UMMA
Kiongozi wa Chama, Ndugu Dorothy Manka Semu leo Juni...
Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Mkoa wa Shinyanga, Emmanuel Ntobi amehamia chama cha ACT Wazalendo na kupokelewa na Katibu Mkuu wa chama hicho Ado Shaibu.
Akizungumza leo Juni 03, Ado amesema "wapiganaji ambao wamegonga mlangp hapa ACT tumekuwa tukiwapokea leo...
Kupitia ukurasa wake wa X, Emmanuel Ntobi ameeleza kuwa amesikia msimamo wa waliojiondoa lakini yeye hana nia ya kujiondoa.
Ikumbukwe kuwa Ntobi alikuwa team Mbowe wakati wa kampeni, na alitoa maneno makali kwa Lissu hata kupelekea kuvuliwa uongozi aliokuwa nao.
===
"Nimesikia taarifa...
Emmanuel Ntobi, kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ametoa pongezi kwa Mwenyekiti mpya wa chama hicho, Tundu Lissu, kutokana na ushindi wake wa nafasi ya uenyekiti wa taifa.
Kupitia chapisho lake katika mtandao wa X, Ntobi pia amemshukuru Freeman Mbowe, Mwenyekiti aliyemaliza...
Aliyekuwa mwenyekiti wa Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA mkoani Shinyanga Emmanuel Ntobi amesema uamuzi uliofikiwa na kamati si sahihi kutokana na kushindwa kufuata taratibu, kanuni na katiba iliyowekwa na chama hicho.
Ntobi ameeleza hayo wakati akizungumza kwa njia ya simu na...
Wakuu naomba msaada wa taarifa hii kuwa Kamati tendaji ya Kanda ya Serengeti imefikia maamuzi ya kumvua Uongozi Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Mkoa wa Shinyanga Bw. Emmanuel Ntobi kutokana na utovu wa nidhamu na maadili ikiwemo kuchafua Viongozi wa Chama chake Kitaifa...
Kamati tendaji ya Kanda ya Serengeti katika kikao chake cha jana Jumatano Januari 08, 2025 kimefikia maamuzi ya kumvua Uongozi Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Shinyanga Bw. Emmanuel Ntobi kutokana na utovu wa nidhamu na maadili ikiwemo kuchafua Viongozi wa Chama chake Kitaifa kupitia mitandao ya...
Naona huyu jamaa anaendelea kuchafua upepo wa Tundu Lissu.
Leo kaamka na kingine. Soma asemavyo Emmanuel Ntobi Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Shinyanga alichokiandika katika mtandao wa X
Kwamba, tuwe na Mwenyekiti wa Chama, ambaye kila baada ya wiki mbili au tatu wanaCHADEMA tunakwenda Airport...
Hii ni taarifa ya Ntobi
Napokea simu nyingi- zikiuliza kuhusu @IAMartin_ Ni kwamba, Martin hajatekwa bado wala kukamatwa ila, Polisi wamekamata simu zake zote (IPhone 15 & Samsung) hivyo zipo mikononi mwa Polisi. Poleni kwa kutopokelewa. Mwenetu ni mzima wa afya. Sept 18, 2024 #NeverNeverAgain
Kupitia kada wake mwandamizi ndugu Ntobi, CHADEMA imewakaribisha wanaCCM waliotumbuliwa kujiunga na chama chao wapige kazi.
=========
Kupitia ukurasa wake wa X (Zamani Twitter) kada huyo wa CHADEMA ambaye ni Mwenyekiti wa Chama hicho mkoa wa Shinyanga ameandika "Karibuni CHADEMA tupige kazi"...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.