Nimejaribu kupitia mtaala huu mpya wa elimu ya msingi Hadi kidato Cha nne sijaona suluhisho la mtaala huu kuwaandaa watoto wetu kushindana na nchi zingine au watoto kujitegemea.
Mfano historia ya Tanzania mtoto anafundishwa teknolojia ya asili ya uvuvi, uhunzi, kilimo wakati watoto wa huko...
Mfumo wa kielimu hapa bongo aise bado tupo nyuma sana. Kuna baadhi ya vitu kwa tulipo Sasa tutaendelea kusikia tu kwa wenzetu.
Kuna video nimejaribu kuziona za wenzetu huko nje, wakionesha vifaa vya kivita. Kwa kweli sidhani kama kwa mfumo huu wa kuchora panzi, na kutafuta GPA vyuoni kama...
Kabla ya shule kufunguliwa Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) iliitisha semina kwa walimu wanaofundisha kidato cha V na VI nchi nzima, kuanzia 21-22/06/2025 katika vituo mbalimbali kwa kila wilaya.
Semina hiyo ilihusiana na kuwajengea uwezo walimu kuhusiana na mtaala ulioboreshwa na ni kama...
Katika shule nyingi, hasa za msingi, kumeanzishwa utaratibu wa kutoza michango ya kila siku kwa ajili ya mitihani. Kila siku michango hiyo hutozwa kuanzia Shilingi 300 hadi 1,000 kwa kila Mwanafunzi.
Mtindo huu kwa sasa umekuwa kama fasheni katika shule nyingi, hasa kwenye madarasa yenye...
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuwasilisha andiko lenye kichwa cha Habari “Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) kuweni 'serious' na elimu yetu, kuna uzembe mkubwa unaosababisha kuchelewesha mambo kufanyika” ufafanuzi umetolewa
Pia soma KERO - Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) kuweni 'serious'...
Askari wa kidato Cha nne ana posho ya usafiri, chakula, vinywaji na akiwa na elimu ya diploma au degree au fani nyingine nayo inalipwa posho.
Lakini Lecturer/Mhadhiri mwenye PH D Hana posho yeyote zaidi ya mshahara wake wa mwezi.
Labda apambane na research abahatike kuokota chochote.
Ndugu zangu...
Kwanza kabisa ninakiri kufahamu mchango wa HESLB kwa wanafunzi wa elimu ya juu katika ufanikishaji wa ndoto za vijana kwa kiasi.
hili la ukopeshaji wanafunzi wa elimu ya juu liangaliwe upya haswaa kama mwanafunzi anahitaji kuongeza degree nyingine ila pesa ya kurudisha ili aweze kusoma degree...
Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia kupitia Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) kwa kushirikiana kampuni ya Jolly Futures wameandaa mafunzo kwa walimu wa shule ya msingi kuhusu mbinu za kufundisha Kiingereza ili kuwajengea umahiri utaosaidia wanafunzi kujifunza vyema.
Mafunzo hayo ya siku tatu...
Nilizaliwa, nikakua mtaa. Nikapigwa jua nikiwa mdogo nikihangaika na school kama soldier kwenye mission ya kutafuta life bora. Nilisoma shule ya msingi hadi sekondari kwa tabu, vumbi na njaa, lakini bado nika-graduate A-Level kama shujaa wa ghetto. Then nikabahatika kupata chance ya kusoma chuo...
Nyerere aliwahi kusema kuwa elimu ya msingi lazima ijikamilishe akimaanisha kuwa mwanafunzi akimaliza pale lazima awe na ujuzi unaotakiwa. Pia alisema elimu ya sekondari isiwe bomba la kupitishia watu kwenda vyuo vikuu bali lazima pia itoe maarifa toshelevu.
Sasa Kauli ya waziri mkuu juu wa...
Mtandao wa Elimu Tanzania (TENMENT) pamoja na Kituo cha Sheria na haki za binadamu LHRC wameendelea kuisisitiza Serikali kuhusiana na kufutwa kwa adhabu ya viboko shuleni badala yake kubuniwe kwa adhabu ngingine zenye kuongeza stadi za maisha kwa mwanafunzi.
Soma: Simiyu: Mwanafunzi adaiwa...
Zaidi ya shilingi Milioni 51 zilizotolewa na Mamlaka ya Elimu Tanzania TEA zimetekeleza mradi wa ujenzi wa Vyoo matundu 24 katika shule ya Sekondari Mpechi Halmashauri ya mji wa Njombe mkoani Njombe na kupunguza changamoto ya watoto kuugua magonjwa yanayotokana na uchafu.
Akikabidhi mradi huo...
Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA), Dkt. Leonard Akwilapo, amekabidhi vyeti kwa shule tatu zilizonufaika na miradi ya Mfuko wa Elimu wa Taifa baada ya kukamilika kwa ujenzi wake katika Halmashauri za Wilaya ya Mtama na Masasi.
Dkt. Akwilapo alikabidhi vyeti hivyo wakati wa...
Awali, Mdau wa JamiiForums.com aliandika kuwa Walimu wa Halmashauri ya Arusha wanatarajiwa kupewa mafunzo kwa ajili ya mitaala mipya ya Kidato cha Kwanza kwa malipo ya Tsh. 3,000 kwa siku ikiwa ni malipo ya chai, kwa maelezo kuwa yatakuwa mafunzo ya siku mbili, hivyo kila mmoja atalipwa Tsh...
Mabeberu naona kama wanawashwa washwa, kupitia shirika lao la kibeberu, wametoa ramani inayoonyesha eti ziwa lote ni mali ya Malawi.
Hongera Wizara ya Elimu kwa kutoa muongozo. Tunasubiri Wizara ya Mambo ya nje ipeleke official complaint kwa hawa nyamaume.
Ukweli mchungu kwa mazingira ya Tanzania elimu haina maana yeyote.
Watu waliosoma vizuri uko nyuma asilimia kubwa wapo nje ya nchi wanafanyakazi na kulipwa vizuri
Waliobaki Tanzania wengi ndo wameshikilia serikali elimu yao na vyeti vyao ni tiamatiamaji!!
Mtu alipata four ya 28 akasoma...
Stadi laini (soft skills) ni ujuzi usio wa kiufundi ambao mtu anamiliki na hutumika katika mawasiliano, kushirikiana na wengine, na kutatua matatizo katika mazingira ya kazi au kijamii. Ni muhimu kwa maendeleo ya kibinafsi na kitaaluma, kwani huathiri jinsi watu wanavyoshirikiana na wengine na...
Yah: KUAHIRISHA UTEKELEZAJI WA MTAALA ULIOBORESHWA WA KIDATO CHA TANO MWAKA WA MASOMO 2024/2025
Tafadhali rejea kichwa cha habari hapo juu.
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia (WyEST) ilipokea barua yenye Kumb. Na DC.297/507/01/370 ya tarehe 09/7/2024 kutoka OR-TAMISEMI kuhusu changamoto...
Kila kona ya nchi watu wanalalamikia mfumo wetu wa elimu. Kama ni elimu ya vitendo hata VETA ipo.
Je, wewe ungepewa nafasi ya kubadilisha mfumo wa elimu ungefanya nini?ungeboresha nini?
Weka hoja ya msingi tafadhali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.