edwin soko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    GE2025 Edwin Soko: Waandishi wa habari walijawa hofu ya Sheria za nchi na Maadili kuripoti Matukio Oktoba 29

    Edwin Soko Mwenyekiti wa Taasisi ya Vyombo vya Habari nchi za Kusini mwa Afrika, akizungumza Novemba 5, 2025 katika Mjadala wa Nafasi ya Vyombo vya habari katika Uchaguzi wa Tanzania uliofanyika Oktoba 29, 2025 na kuambatana na vurugu za Maandamano ambapo Vyombo vya habari vilikaa kimya na umma...
  2. Dickson Ng'hily

    Ukweli kuhusu jaribio la Udukuzi wa Kurasa za Mitandao ya Kijamii ya MISA Tanzania Julai 28,2025

    Kwa miaka mingi, MISA Tanzania imekuwa ngome ya uhuru wa vyombo vya habari na nguzo ya haki katika kusimamia misingi na maadili ya taaluma ya habari nchini. Imehudumia wanahabari kwa uaminifu, ikisimama kama dira ya kitaaluma na chombo cha utetezi wa msingi wa demokrasia. Hii ni taasisi...
  3. Roving Journalist

    Edwin Soko awa Mwenyekiti Mpya wa MISA- TAN baada ya kushinda kwa Kishindo

    SOKO ACHAGULIWA KWA KISHINDO KUWA MWENYEKITI MPYA WA MISA -TAN Wednesday, December 04, 2024 Mwenyekiti Mpya wa MISA- TAN Edwin Soko Mwenyekiti Mpya wa MISA- TAN Edwin Soko Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog Mkutano Mkuu wa Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika (MISA-TAN)...
Back
Top Bottom