★Wizara yaweka lengo la kufikisha mfumo huo katika mikoa yote ifikapo 2027
Serikali imeongeza kasi ya matumizi ya mfumo wa kidijiti wa e-Ardhi ili kurahisisha upatikanaji wa huduma za ardhi na hati miliki, huku ikilenga kuufikisha mfumo huo katika mikoa yote nchini ifikapo mwaka 2027...
Wataalamu wa Ardhi kutoka Ofisi ya Kamishna wa Ardhi Msaidizi Mkoa wa Kagera pamoja na Halmashauri zake, wanaendelea na mafunzo ya kujengewa uwezo wa mfumo wa E-Ardhi ili kuongeza ufanisi katika kazi.
Mafunzo hayo yameanza rasmi Tarehe 14 Septemba, 2026 katika ukumbi wa ELCT uliopo Bukoba na...
HUDUMA ZA ARDHI KIGOMA KUNUFAIKA NA TEKNOLOJIA YA MFUMO WA e-ARDHI
KIGOMA
Hatua ya Serikali ya kuendelea kuboresha utoaji huduma za ardhi kwa njia za kidijitali imezidi kuimarika baada ya mfumo wa e-Ardhi kutua mkoani Kigoma, hatua inayolenga kurahisisha upatikanaji wa huduma hizo.
Wataalamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.